Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Mifumo yetu bado hopeless, ndo maana bora urudi mfumo mmoja tu wa CAS ya TCU ili hata kama kuna shida ni rahisi ku pin point ktk a single system, sasa hivi kila system mbovu tuu

Daaah
 
watu wanasema UDOM tyr mbona hayo majina mie sijayaona na pia kwa profile za watu mbona hakuna majibh.
 
Chuo cha UDOM nilikuwa nawaheshimu kumbe mata.....tu sasa kama watu wamekosa si wawajibu kwa profile zao na watu wameomba kozi hizo hizo wamekosa raundi 3 hlf wanaleta hizo hizo kuwa hazijaja au ELFU kumi imekuwa tamu wanataka waombaji wapya..
 
Jamani kuna mshikaji wangu ana tatzo sijui mna msaidiaje alifungua acc ya UDOM akajiandikisha kisha akaripia vizur tu elfu 10 sasa akiwa anachagua course mara system kama ikawa inamsumbua hv akaamua kulog out then akiwa anataka kulog in acc ikaguma akaenda forget password ili arudishe acc yake ila hakutumiwa kwenye email yake akafungua acc nyingine kwa email nyingine ikakubali vizuri tu akalipia tena elfu 10 ikakubali sasa tatzo kwenye kuhaza matokeo matokeo ya form 6 yamekubali kuja ila ya form 4 anaambiwa namba yake ya form 4 imesha sajiriwa yeye shida yake kupata namba ya UDOM ili aonge nao ili ajue watamsaidia nini hapo. Tumepiga namba zile ambazo zinaonekana mtu before mtu haja log in ila zote hazipatikaniki. Je kama kuna mtu yeyote mwenye namba za UDOM anisaidie ili tutatue ili tatzo before dirisha halijafungwa. Ila akilog out na kuandika namba yake ya form 4 na password anaingia kwenye hii acc yake ya pili. Ingawa tazo la hii acc ya pili matokeo ya form 4 hayaji.
 
Usisingizie system sema amesahau password ya account ya kwanza.
 
Ndio tufanye amesahau password katik acc ya kwanza sasa kama kwel system ipo vizur mtu anaweza vp kufungua acc mbili kwakutumia namba mmoja ya form 4??? Hata hivyo kama system ipo vizur wameshindwaje kutuma link yabkureset password?????
Usisingizie system sema amesahau password ya account ya kwanza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba huku ni Bongo sio kubembelezana kama Zenji.

Hiyo course ni ngumu na chuo ni kigumu. Nenda kusoma shule. Usilete mbwembwe maana chuo kipo mjini karibu na ferry. Usije ukaaanza kufanya uvuvi hapo

Soma shule boss
 
Back
Top Bottom