Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Angalia basi hapo uone maana sipendi mtu kutukana mtu usiyemfahamu wakati hauna uhakika na unachoongea
 
Attachments

  • 1.PNG
    1.PNG
    31.6 KB · Views: 45
unabisha tu haya hiyo sio apply
 
Attachments

  • 2.PNG
    2.PNG
    9 KB · Views: 46
Basi usiwe unashoboka na kuanza kutukana watu bwege wew
bwege Mwenyewe Tena Ludia Comment Yako Mwanzo Nlipohulza Mbna Akaunt Bdo Azna Majbu Wewe Ukashoboka Ukasema Ukiona Hvo Umekosa Basi Ludia Kuomba Una Uakika Unafikili Kwa Wote Kuna Hyo Ali Wengne Aufany Lolote Cpend Malumbano Yasiyo Yamsing Tusichafue Post Ya Watu Tuache Wenye Mawazo Ya Msing Wachangie
 
bwege Mwenyewe Tena Ludia Comment Yako Mwanzo Nlipohulza Mbna Akaunt Bdo Azna Majbu Wewe Ukashoboka Ukasema Ukiona Hvo Umekosa Basi Ludia Kuomba Una Uakika Unafikili Kwa Wote Kuna Hyo Ali Wengne Aufany Lolote Cpend Malumbano Yasiyo Yamsing

sasa kusema kurudia tena kuomba ndio nimekutukana mpaka unarudi na matusi hayo wewe kweli kimeo , yani mtu kukuambia utakua umekosa wewe unaona hilo ni tusi , mimi nimekwambia ukiona hakuna status jua umekosa sababu huyu aliyenipa akaunti yake nimuangalizie na yeye hakuna status yoyote lakini nilipoingia kwenye sehemu za ku apply naona wanaruhusu kuomba tena hivyo inamaana kwamba amekosa round ya tatu aombe tena
 
Attachments

  • 3.PNG
    3.PNG
    4.7 KB · Views: 36
Baba huku ni Bongo sio kubembelezana kama Zenji.

Hiyo course ni ngumu na chuo ni kigumu. Nenda kusoma shule. Usilete mbwembwe maana chuo kipo mjini karibu na ferry. Usije ukaaanza kufanya uvuvi hapo

Soma shule boss
 
Sawa mwanaume wa dar
 
Mbona wakati wa 3round tarehe 24-26 application form ilkuwa inafunguka na watu tuka apply nashangaa saizi Wanasema hii ndo third round wakati ni fourth rounds

Kila kitu ni umama tu
 
Nimepiga hiyo course hapo mahali, unatakiwa ujipange sana kama umechaguliwa kwenda kujiunga pale
 
Hahaaa sio pamchezo mchezo, ingawa nilimaliza bila sup ila mziki wake niliuona
 
sasa kusema kurudia tena kuomba ndio nimekutukana mpaka unarudi na matusi hayo wewe kweli kimeo , yani mtu kukuambia utakua umekosa wewe unaona hilo ni tusi , mimi nimekwambia ukiona hakuna status jua umekosa sababu huyu aliyenipa akaunti yake nimuangalizie na yeye hakuna status yoyote lakini nilipoingia kwenye sehemu za ku apply naona wanaruhusu kuomba tena hivyo inamaana kwamba amekosa round ya tatu aombe tena
Mlikuwa hamja elewana wote mkuu kweli kuna baadhi na ona waki fungua account zao wana ruhusiwa kuapply tena ila wengine io sehem ya kuapply tena bado haija tokea na hakuna taarifa yeyote zaidi ya io application status,ni ivyo tu wakuu
 
Back
Top Bottom