UDOM Tayari wameshatoa results na wameanza round ya nne.
Hakuna kitu kilicho anza zaidi ya kutoa tu majina ya multiple third round
UDOM Tayari wameshatoa results na wameanza round ya nne.
Udom wameweka kozi ambazo zipo toka round hadi ya 4 bado unaomba unakosa...aisee CAS irudi .Habari Jf,Mpaka sasa na shindwa kuelewa TCU wame ruhusu vyuo kudajili tena kwa awamu ya nne ila hakuna chuo ata kimoja kilicho ruhusu udahili zaidi ya chuo kikuu cha ardhi tu na kama vipo vingine tuna omba kuvijua,bora ata udom wame toa izo gapes zilizopo katika kozi ila cha kushangaza wana toa izo gapes huku wana toa multiple third round sasa watajua vipi watu wata kao confirm kubaki apo udom,mbona kama vyuo vina taka kuleta mambo ya ajabu chuo kama SUA ndo na shindwa kuki elewa kabisa sijui ndo wana nafasi kidogo kwa watu wa digrii ila kwa watu wa diploma wana toa nafasi za kutosha,chuo kama SUA sijaona kitangaze udahili kwa round ya tatu na wali ishia tu second,second pia walitoa majina kidogo sana sasa sijui ndo upungufu wa lectures room kwa kweli ni vitu vya kusikitisha tume ya vyuo vikuu ina mamlaka makubwa sana katika vyuo vikuu apa Tanzania ila vyuo havi fuati vile tume ilivyo amrisha ina kuwa haina maana TCU kutangaza 4th round ila vyuo vingi bado vipo kimya kama vipo tunaomba uorodheshe hapa Jf.Na kama chuo hakina nafasi kwa kozi yeyote ile toeni matangazo katika profile zenu za chuo kuliko tuendele kusubiri vitu visivyo julikana kwanini Tanzania tuba kuwa bado tupo nyuma sana ivi katika technology wakati IT students wame jaa tu mtaani wana print matshrt.Kwa kweli izi system zina kera sana kama ii mifumo ime wa shinda mbora mrudishe mfumo wa zamani ila sio huu,ina kera sana Jf nzima ina jaa tu ma lalamiko ya udahili necta mashuleni wa tubanie katika utungaji wa mitihani na kutupandishia grade kila siku ila watu bado wana faulu tu tena kwa statistic kubwa bado tena chuo iwe stress nyingine..Ni kero kwa kweli
Udom wameweka kozi ambazo zipo toka round hadi ya 4 bado unaomba unakosa...aisee CAS irudi .
Ingia pembeni kushoto kuna sehemu unaclick inandika APPLY PROGRAME...mbona Airuhusu Kuomba Tena We Jamaa Umekula Maharage Ya Wapi Mbona Muongo Muongo
Hilo nalo linanitatiza nafasi zipo ila watu wakiomba na bado wanakosaUDOM Imekaaje hii nafasi zipo halafu mtu anakosa nafasi. Kazi kweli kweli
Udom wameweka kozi ambazo zipo toka round hadi ya 4 bado unaomba unakosa...aisee CAS irudi .
, hata CAS Haya mambo yalikuwepo. Una vigezo vyote na uliiweka Kozi first choice na bado unatemwa. Unapiga moyo konde unadhani labda ushindani ulikua mkubwa na waliopata walikuzidi vigezo. Ghafla bin vuu unakuta Ile Kozi uliyotemwa ipo tena second round na nafasi kibao (kama zote vile
) . Inabidi a apply tu chuo kingine. Kama rounds zote hizo anagonga besela tu basi na hii atagonga besela.Hakika bongo kichwa ngumu toka first round mtu ana division two ya CBG anaomba Bachelor of Science with education amekosa Lakini Capacity bado ipo sasa sijui achagueje labda ili apate
UDOM Imekaaje hii nafasi zipo halafu mtu anakosa nafasi. Kazi kweli kweli
![]()
![]()
, hata CAS Haya mambo yalikuwepo. Una vigezo vyote na uliiweka Kozi first choice na bado unatemwa. Unapiga moyo konde unadhani labda ushindani ulikua mkubwa na waliopata walikuzidi vigezo. Ghafla bin vuu unakuta Ile Kozi uliyotemwa ipo tena second round na nafasi kibao (kama zote vile
![]()
) .
Lakini tusiponde sana pengine huwa wanaongeza nafasi zaidi ya zile za first round .
Hakika bongo kichwa ngumu toka first round mtu ana division two ya CBG anaomba Bachelor of Science with education amekosa Lakini Capacity bado ipo sasa sijui achagueje labda ili apate

ume ongea point sana mkuu maana kuna watu wame komalia tuna jaza cozi zenye ushindani adi education kweli tuna kosambona Airuhusu Kuomba Tena We Jamaa Umekula Maharage Ya Wapi Mbona Muongo Muongo
Embu angalia hapo wewe bwege unadhani mimi kama wewe hiyo first round!!!Sasa Unampanikia Nan Bwege N Wwe Unayemfanyia Maomb Bwege Mwenzio Sisi Wenzio Tushatusuaga Mzunguko Wa Kwanza Tena Tunabembelezwa Pa Kwenda
Huyo mjinga hapo juu ameanza matusi mwenyewematusi yanini kikubwa tunatakiwa kueleweshana aani ambaye hajui ajuzwe jaman