Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
DIPLOMA IN ACCOUNTANCY VS DIPLOMA IN PUBLIC ACCOUNTING AND FINANCE
akoseme ipi.
akoseme ipi.
Yeyote tu.DIPLOMA IN ACCOUNTANCY VS DIPLOMA IN PUBLIC ACCOUNTING AND FINANCE
akoseme ipi.
Kaka ni mfumo ambao uko automatic sasa kama hajacoment chochote utaanzia wapi kuomba tenaJaribu kuingia kwenye ku apply program ukiona inakuruhusu jua umekosa uombe tena.
Changamoto za udahili kila aina ya changamoto watu wamezitaja ila wahusika wako kimyaMim account yangu haina maandishi kwenye status. Hata yale ya succesful received hayapo
we si ulipata SAUT???Mim account yangu haina maandishi kwenye status. Hata yale ya succesful received hayapo
UDOM Tayari wameshatoa results na wameanza round ya nne.Vyuo vikubwa majina tu , hasa SUA, UDSM, UDOM,MZUMBE, nk lakini hakuna lolote katika mifumo yao ya udahili,
HEKO KWA ARDHI UNIVERSITY wanajitahidi sana kila round kwa mifumo bora ya inayoendana na ratiba sahihi ya TCU.
Big up IT wa ardhi na vyuo vingne vinavyojitahidi kwa udahili ulio fast like,
Napendekeza IT wa ardhi wawe mifano kwa vyuo kama SUA, UDSM na vingine ambavyomifumo ni magumashi
mkuu ndiyo Tz vuta subira watafungua shida kwel kwel
watafanya wakitaka kwa muda wao bhana si unajua mbongo akitangulia
Vyuo vikubwa majina tu , hasa SUA, UDSM, UDOM,MZUMBE, nk lakini hakuna lolote katika mifumo yao ya udahili,
HEKO KWA ARDHI UNIVERSITY wanajitahidi sana kila round kwa mifumo bora ya inayoendana na ratiba sahihi ya TCU.
Big up IT wa ardhi na vyuo vingne vinavyojitahidi kwa udahili ulio fast like,
Napendekeza IT wa ardhi wawe mifano kwa vyuo kama SUA, UDSM na vingine ambavyomifumo ni magumashi
mbona Airuhusu Kuomba Tena We Jamaa Umekula Maharage Ya Wapi Mbona Muongo MuongoKama account haina application status jua umekosa hivyo ingia tena kujaribu ku apply upya utaona system inakuruhusu ku apply upya kuna dogo amekosa ndio hivyo ilitokea.
Sasa maajabu ni kile cha TIA mtu kaandikiwa 'Pending for Selection' mara 'Selection on Progress' tangu round ya kwanza hadi ya nne imeandikwa hvyo hvyo tu hahahahaha. Halafu ukiwauliza wanakwambia subiri mchakato unaendelea hahahahaha!
Chuo ni sehemu wasomi walipo kuanzia walimu hadi wanafunzi, sasa mara nyingine unashindwa kuelewa huu usomi wa watanzania una matatizo gani?.?.? mbona wanakwama hata vitu vya kawaida kabisa ambavyo havihitaji hata punje ya elimu?.?.?.
Mm nilidhani chuo tena chuo kikuu ndio kingekuwa mfano hai wa namna wasomi wetu wanavyo act na ku behave lkn ni contrary kabisa.....!
Hahahahahahahaha!