Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu 2018/2019:

Wakuu,nimepitia majina ya udsm,japo yapo kwenye blogs tu,hayapo kwenye official website ya chuo kuna kozi nyingi za sayansi hazipo,hili limekaaje wakuu
 
I am done
IMG-20180905-WA0022.jpg
 
Habar wana jf
kwa wale wote walioomba vyuo awamu ya tatu udom tayari wametoa selection
 
Mkuu msaada mbona kwenye akaunti ya mdogo haoneshi chochote accaunt iko vile vile haineshi selection results
wametoa ya multiple na kama haioneshi chochote basi asubiri majina ya single
 
Jaribu kuingia kwenye ku apply program ukiona inakuruhusu jua umekosa uombe tena.
Kumbe sawa ila swali dogo hawa watakao omba awamu ya nne watapata mkopo kweli?

Accaunt tena mbona ya mdogo hakuna kitu
 
Back
Top Bottom