Majina haya yana maana gani

Ok pouwa mkuu samahani kwa kuingilia Thread yako.....

Asante mkuu kwa kunielewa, usijali Erick sijalikataa liko kwenye List.

ANGALIZO: Asije mtu humu akakutana na mtu mwenye mtoto ana moja ya majina tajwa hapo juu akajua ndio WA KUSOMA. Hayo majina anaweza kuyatumia yeyote yule.
 
Mpaka sasa orodha kutoka JF imekaa hivi;

Jovine, Collins, Jolly, Godbless, Lookman, Brillant, Bright, Ivan, Hans, Ricky, Krish, Cris, Christian, Abraham, Reuben, Jay, Junior, Erick Jubilant, Prosper na Johson.

Samahani kama jina ulilolipendekeza halimo ujue halijakidhi ushindani. Unaweza ukaendelea kutaja au kunichagulia lipi bora kati ya hayo juu.

Asanteni.
 
SweetLady we unanijua vema.....iambie jamii ukweli km mi nina sifa hizo....
Wasifu wa Erick wote:
1.Wapole sana
2.Wastaarabu sana
3.Wako makini sana na kila kitu wafanyacho
4.Hawana makuu
5.Wanapenda watu wote
6.Wanamcha Mungu

7.wanapenda kutongoza kimya kimya kama hawatongozi vile.
 
Hasira za kuzira atakuwa amerithi kwako,lol! Muambie kabisaa mjini gawasusi manake ukisusa wenzio wala tena kwa umma na kisu!
Johnson ni kijana wangu,
ni msafi sana ila ana hasira za kuzira
sijui kama ni jina au ni tabia.
 
Back
Top Bottom