Majina haya yana maana gani

Hahahaaaaaaa safi sana siunajua inawezekana wanakuwa na furaha sana km majina yao yasemavyo....
Yah unajua akina Erick ni stressfree kila siku....
Sawa bhana, ila its kind of hard to blv haugusi kabisa yale mambo yetu..
 
Wakuu kuna mtu kanipm eti nimwite JUBILANT maanake Shangwe,
anayejua maana halisi ya majina KRISH na CRIS aniambie.
 
Samahani sana Erick na wenzako acheni story zenu tuendelee na post yangu. Iam serious about this, thank u.
 
Kweli mko juu nimekubali..
Hatubahatishi....
Ila wapo wachache wanachafua sifa zetu...
Halafu kiukweli majina yetu wote tunafanana life style sijajua ni kwanini na kuna uhusiano gani wa jina na maisha halisi kitabia
 
Ok pouwa mkuu samahani kwa kuingilia Thread yako.....

Asante mkuu kwa kunielewa, usijali Erick sijalikataa liko kwenye List.

ANGALIZO: Asije mtu humu akakutana na mtu mwenye mtoto ana moja ya majina tajwa hapo juu akajua ndio WA KUSOMA. Hayo majina anaweza kuyatumia yeyote yule.
 
Huku si mmeambiwa muondoke au?
Sasa hata msibani huwa wanakaa bila kucheka hata kidogo? lol

Samahani sana mkuu kama nimekukera nia yangu haikuwa kumfukuza mtu, lkn kwa sbb hii ishu ni nyeti zaidi ya nyeti tulizonazo nilitaka tujikite kwenye majina na maana zake. Jumapili ndio mtoto anabarikiwa ndio natakiwa niende na jina rasimi. Niko home na mama kwa Partenity leave.
 
mpe jina la ukoo wenu.
 
Back
Top Bottom