Majina halisi ya WanaJF waliofariki

Kuna watu nilikuwa nawakubali sana sijui wamepotelea wapi, pape, masikini jeuri, woman of subsatance?
 
Mleta mada embu tuletee mada ya wanaofwata baada ya hawa kufa tuangalie kama tupo kwenye list yako
 
sijuwi Mwl Mwakaijange yupo?? hapa jf simuoni tena
 
dah....watu wabaya sana, nimepotea tu hapa jukwaan miezi michache tayari washaconfirm nimeRIP.

Mimi nilitaka nianzishe tangazo LA mchango wa rambirambi kwa akili yako duh kumbe bado upo?
 
Nadhani ni vema kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki kama alivyopendekeza PJ kwenye posti moja hivi. Mimi naanza:

1. Juma Kidogo
2. Baruti Mwesiga aka Kandambili
3. Profesa Jwani Mwaikusa
4. Regia Mtema
5.

Baruti wa mamlaka ya viwanja vya ndege?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…