Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

Lakini mkuu, kwanini zzk ndio adui yenu number 1 badala ya ccm?? Au na ninyi ni mapandikizi tu kuhadaa watz?? Back to the point,cuf wanamkubali kinoma na wako tayari kushirikiana sasa ninyi mna nini nae?? Au mlitaka akalime?

cuf kama wanamkubali Lipumba asingesusia mwaliko wake siku ya uzinduzi wa chama, kwa taarifa yako cuf wanaiona act kama adc, zitto na hamadi lao moja tofauti yao mmoja ni mkigoma mwimgine ni mpemba
 
“Ndugu zangu wananchi, nimepigwa mishale ming sana, hata watoto amabo nimewasaidia kupata ubunge leo wanakuja kunitukana , wanasema kuwa ninagawa kura za wapinzani, hivi mtu waliyemwona hafai ana ana nguvu gani ya kugawa za kura za wapinzani?

“sisi ACT wazalendo tumekubali kuungana (kwenye ukawa) wao hawataki hapa nani mbaya? Ng’ombe anaweza kutikisa mkia lakini mkia hauwezi kumtikisa ng’ombe”

ACT wazalendo kukataliwa kwenye ukawa, hakitatetereka na juhudi za kusamabaza uzalendo kwa watanzania. Na sambamba na kujipanga na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi octobet mwaka huu.

Source Raia mwema

Mie hakyanani sasa nimeacha kununua Raia Mwema kwa jinsi ilivyobeba gunia la ujinga la kumtukuza Zitto... nilikuwa sikosi raia tanzania na raia mwema sasa hivi sinunui upuuzii!!! Yaani Ulimwengu kawa hivi gazeti lake linabeba ajenda ya kumbeba mtu binafsi sio hoja!!
 
Zitto umekataliwa mpaka mbinguni

Hahahah hilo lijamaa linagundu sana ukikaa na lizito lzm maisha yako yaharibike huon afande sele ashaharibika tayar.mtu anayaamin ktk nguvu za giza ilihal ni kjana ni wa kumuogopa zaid ya shetan
 
Nyie wazalendo mtaunganaje na wasio wazalendo? wabaguzi? wakanda? wazee? wasakatonge? nyie shenzi kweli
 
“Ndugu zangu wananchi, nimepigwa mishale ming sana, hata watoto amabo nimewasaidia kupata ubunge leo wanakuja kunitukana , wanasema kuwa ninagawa kura za wapinzani, hivi mtu waliyemwona hafai ana ana nguvu gani ya kugawa za kura za wapinzani?

“sisi ACT wazalendo tumekubali kuungana (kwenye ukawa) wao hawataki hapa nani mbaya? Ng’ombe anaweza kutikisa mkia lakini mkia hauwezi kumtikisa ng’ombe”

ACT wazalendo kukataliwa kwenye ukawa, hakitatetereka na juhudi za kusamabaza uzalendo kwa watanzania. Na sambamba na kujipanga na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi octobet mwaka huu.

Source Raia mwema

Kwamba UKAWA ni mkia ACT ndiyo Ngombe!
Hata mwaka haujaisha kejeli kwa wapinzani tayari imekuwa wimbo-Mengi yamezungumzwa lakini kilichodhahiri ACT-ni brach ya CCM na Zitto yuko huko kutimiza ahadi ya Kazi aliyopewa-ni suala la Muda tu majibu yatakuwa wazina hasa watakapo anza kuparuana ndani ya CCM.
 
Wataelewa zitto wacha twende mdogomdogo, ila waowenyewe ukiona wamekazania ujue wamesha tambua mziki wake
 
Ivi BAVICHA kwa akili zenu mnafikiri cuf na nccr watakubali kuburuzwa kama mlivyo zoea kuwaburuza? Sera ya usaliti hamkuanzia kwa zzk bali kwa hao mlioungana nao leo tena mliwaita wasaliti,mashoga na ccm b. Mnafikiri Lipumba ni mjinga au Mbatia ni mpumbavu zzk ni jembe la kisiasa msithubutu na watu tunavyosema chadema inakufa mwaka huu aturopoki ile dhambi ya kuwashuhudia uongo cuf na nccr mwaka huu ndio watawaonyesha nini maana ya adabu. Na act ni zaidi ya mnavyofikilia jiulizeni mwaka 2010 kalibia asilimia hamsini na kitu hawakupiga kura unajua kwanini? Jiulizeni mbali na kujaa kwenye mikutano ya chadema wananchi kwanini haikushinda uchaguzi? TUKUTANE OCTOBER

Jipe moyo na kitawi chenu act-migebuka haitutishi
 
Kuendelea kumjadili Mfalme wa Mayuda(Wasaliti) ni kuendelea kumpatia publicity asiyostahili kutokana na matendo yake kuwa dhahiri mbele ya umma.

Makamanda tuache kabisa kumjadili popote halafu muone kama hatasahaulika kama kina NGAWAIYA
 
Mkuu itakuwaje kama NCCR, NLD na CUF watataka kushirikiana na ACT? Tatizo mnaifanya UKAWA kama CDM na CDM kama UKAWA. Hapo ndipo penye shida kubwa.

..ikifika hapo maana yake hivyo vyama vingine vimeona kwamba CDM hawana maana tena ktk muungano huo.

..I think it is too early kwa CDM kushirikiana na Zitto. Pia ukumbuke Zitto anatuhumiwa kwa USALITI, na kutowaheshimu na kuwakubali viongozi wake wa CDM.

..Zaidi, uzingatie kwamba Zitto naye amewahi kuwatuhumu UKAWA kwamba si lolote bali ni WASAKA TONGE.
 
Vipi kuhusu Chadema kushirikiana na CUF kwenye umoja wao wakati huo huo CUF anashirikiana CCM au hii haina tatizo kosa ni kushirikiana na Zitto, ndiyo maana Mnyika kasema wazi adui yao wa kwanza ni Zitto.

..CUF na CCM wanaunda serikali ya umoja wa kitaifa.

..ushirikiano wao unaelekezwa na katiba ya Znz.

..zaidi, ushirikiano huo haukulenga CUF na CCM, bali vyama vitakavyoshika nafasi ya kwanza na ya pili ktk uchaguzi ZNZ.

..jambo ambalo ulitakiwa kulielewa ni kwamba CUF na CCM hawashirikiani ktk harakati za uchaguzi.

..siku CUF na CCM watakapokubaliana kuachiana majimbo, au kuwa na ilani moja ya uchaguzi, then hoja yako itakuwa na mashiko.

cc Kapwela, Mkandara
 
Last edited by a moderator:
Marekani wanaongea na Iran juu ya ISIS. wenzenu hawana maadui wa kudumu..

..lakini wanazungumza baada ya miaka mingi ya "vita baridi."

..pia wanazungumza baada ya kugundua kwamba kuna adui anayeweza kuwatafuna wote.

..CDM na ACT bado hawajamu-identify their common enemy.

..they have to identify their common enemy first, then watajua kama hoja zao za USALITI na USAKA TONGE ni muhimu kuliko kushirikiana kupambana na huyo common enemy.

..CUF na CDM nao walikuwa na magomvi yao. Lakini vitimbi walivyofanyiwa na CCM ktk bunge la katiba viliwalazimisha kuungana.

..Je, ni jambo au tukio gani litakalopelekea CDM na ACT kuungana? Zaidi wataungana ktk mazingira na utaratibu gani?
 
..CUF na CCM wanaunda serikali ya umoja wa kitaifa.

..ushirikiano wao unaelekezwa na katiba ya Znz.

..zaidi, ushirikiano huo haukulenga CUF na CCM, bali vyama vitakavyoshika nafasi ya kwanza na ya pili ktk uchaguzi ZNZ.

..jambo ambalo ulitakiwa kulielewa ni kwamba CUF na CCM hawashirikiani ktk harakati za uchaguzi.

..siku CUF na CCM watakapokubaliana kuachiana majimbo, au kuwa na ilani moja ya uchaguzi, then hoja yako itakuwa na mashiko.

cc Kapwela, Mkandara
Unajidanganya mkuu wangu CUF nawapenda kwa kitu kimoja tu. wana Interest zao na they come first. Uchaguzi wa mwaka 2010, CUF waliungana na CCM kumwangusha Chadema bara kwa kuahidiwa Katiba ya Zanzibar na mamlaa ya viongozi wa serikali. Leo wanaungana na Chadema kwa sababu wanataka Serikali 3 za Jumuiya na Chadema wameingia kichwa kichwa. Chadema akibadilisha tu na kusema rasimu ifanyiwe marekebisho katika sehemu walozitaka wao hapo utawajua CUF.

CUF itawapa ushirikiano huo Chadema na NCCR lakini walichosahau ni kwamba CCM Zanzibar haikubali upuuzi huo kabisa na leo CCM Zanzibar inapata wanachama na washabiki wengi zaidi kuliko miaka ya nyuma kutokana na kwamba katiba hiyo imeweza kujenga makundi ya Wapemba na Waunguja. Ni kama vile ASP imerudi upya..

CUF wao wana interest zao juu ya Zanzibar nje ya hapo hawajali lolote linaloweza kutokea bara kama chama kimoja hapa Canada cha Kifaransa cha Quebec. Wao wanatazama interest za Quebec tu hawajali ya Uhafidhina wala Ujamaa.
 
Hilo la kutotaka ushirikiano ijibie Chadema tu. UKAWA sio Chadema pekee, kuna vyama vingi mle, hivyo weka akiba ya maneno.Hii ni siasa, usijeukashangaa kuelekea uchaguzi huu baadhi ya vyama vilivyo leo Ukawa vikaunda ushirikiano na ACT, haitakuwa ajabu, siasa haitabiriki.

Lakini pia Zitto anaongelea hili kujibu propaganda inayoenezwa kuwa anataka kugawanya kura, hilo ni miongoni mwa masuala muhimu kwa kundi kubwa la watu walioichoka CCM.Ni kundi muhimu kwa chama chochote cha upinzani.

Hivyo kwa ACT na Zitto kutangaza wanahitaji umoja, wamejivua hiyo dhana ya kugawanya kura, hivyo kwa sasa wananchi husika watajua sio ACT wala Zitto aliyegawanya kura bali ni hao wasiopenda umoja.Huu ndio msingi ninaouona.

..nyinyi mnataka kuvuruga watu tu.

..kama Zitto alikuwa hataki kugawanya kura basi angebaki CDM.

..mtu amefukuzwa CDM juzi tu; chama chake ndiyo kwanza kimepata usajili, tayari anataka kuunganisha nguvu na vyama vingine!!

..ACT haina ruzuku, haina wabunge, turufu yenu ktk muungano/ushirikiano ni mtu mmoja tu-- Zitto. I dont think huu ni wakati mzuri kwenu kuanza kuzungumzia masuala ya muungano na mashirikiano na vyama vingine.

cc Mkandara, Kimbunga, Nguruvi3, Alinda, Ritz
 
Nifuate kati mada nilianzisha ya "UKAWA NI KIINI MACHO" Tulonge mkuu..Japo natoka nitarudi sii muda mrefu.
 
Unajidanganya mkuu wangu CUF nawapenda kwa kitu kimoja tu. wana Interest zao na they come first. Uchaguzi wa mwaka 2010, CUF waliungana na CCM kumwangusha Chadema bara kwa kuahidiwa Katiba ya Zanzibar na mamlaa ya viongozi wa serikali. Leo wanaungana na Chadema kwa sababu wanataka Serikali 3 za Jumuiya na Chadema wameingia kichwa kichwa. Chadema akibadilisha tu na kusema rasimu ifanyiwe marekebisho katika sehemu walozitaka wao hapo utawajua CUF.

CUF itawapa ushirikiano huo Chadema na NCCR lakini walichosahau ni kwamba CCM Zanzibar haikubali upuuzi huo kabisa na leo CCM Zanzibar inapata wanachama na washabiki wengi zaidi kuliko miaka ya nyuma kutokana na kwamba katiba hiyo imeweza kujenga makundi ya Wapemba na Waunguja. Ni kama vile ASP imerudi upya..

CUF wao wana interest zao juu ya Zanzibar nje ya hapo hawajali lolote linaloweza kutokea bara kama chama kimoja hapa cha Kifaransa cha Quebec. Wao wanatazama interest za Quebec tu hawajali ya Uhafidhina wala Ujamaa.

..mzee mwenzangu hiki ulichoandika siyo taarifa rasmi.

..zaidi, taarifa zenyewe ni wewe peke yako mwenye habari nazo.

..hapa tunazungumzia taarifa rasmi; taarifa ambazo mimi na wewe tuna access nazo na tunaweza kuzifanyia uchambuzi.

NB:

..ninachoelewa mimi ni kwamba SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA YA ZNZ ni suala la kikatiba.

..matokeo ya uchaguzi mkuu wa ZNZ ndiyo yanayo-determine vyama vipi vitaunda serikali hiyo.
 
Taarifa zipi mkuu wangu mbona hukuzisema? ya Kwamba CUF wanatazama interest zao kwanza. Ushidi wa Umoja wa Kimataifa umeundwa na vyama vipi? vyma gani vingine vilishirikishwa au umesahau?

Sijakataa popote kuwa matokeo ya Uchagaguzi mkuu ZnZ ndiyo yana determine chama gani kitaunda serikali, hata huku Bara ni hivyo hivyo sheria moja tu, lakini nachokisema CCM mwaka huu hatashidwa ZnZ kwa sababu tayari uhasama wa Upemba na Uunguja umeshaanza kushamiri zaidi kwa hoja za kina Jussa bunge maalum la Katiba. CCM wana mbinu nyingi hamuwezi washinda na UKAWA hii hata kidogo.
 
Back
Top Bottom