Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

Majibu ya Zitto kwa Wana-CHADEMA

Chadema walishawahi kusema Cuf ni waliberali, Slaa alisema Kafulila ni sisimizi, lakini leo wameungana, dah
haa haa mkuu sijui umekula maharage ya wapi ww? Lini hivyo vyama vimeungana? Kiongozi wake ni nani? Je sheria za vyama vya siasa vinaruhusu vyama kuungana? Hivyo vyama vimeunda umoja wa kushirikiana na si kuungana!
 
Piga kazi Zitto muache mzee Mtei ale mshahara wake wa ubaguzi.
 
Last edited by a moderator:
Lakini matendo ya Mbowe kuuza jimbo la Musoma vijijin kwa Mkono na kuwauzia Chadema fuso mbovu milioni 600 unayapenda
ukweli unafahamika, nani ni ndumila kuwili kwenye upinzani, hayo ya kutunga unayajua ww. Zitto kwa maneno yake tu si mpinzani bali ni mpenda sifa!
 
Piga kazi Zitto muache mzee Mtei ale mshahara wake wa ubaguzi.
zitto hatapata watanzania wanaotumia ubongo wao kufikiri kamwe. Atawapata nyie mliopeleka likizo ubongo wenu. Zitto, leo anazungumza hiki, kesho kile! Haaminiki, haeleweki.
 
Last edited by a moderator:
Watanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.

Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?
wewe kweli mwehu..hizi cheap propaganda na character assassination dhidi ya ZZK mnazitunga na kuziamini wenyewe. si yeye wala usalama wa taifa wenye haja ya kuwajibu.
uzuri ni kwamba ,,, hao wote(zzk na TISS)WAMEWAZIDI AKILI KWA UMBALI MREFU SAAANA KIASI CHA KUTOBABAISHWA NA PROPAGANDA ZA KIBANGIBANGI mnazoziendesha. jiulizeni, kwa nini pamoja na kutumia nguvu nyingi,fedha nyngi na muda mwingi lakini bado mmeshindwa kumteteresha!!!?? ni kwa sababu hamna akili, hamna busara, mmejaa usanii,hamna uzalendo na zaidi ni kwamba mnaendesha chama kama kikundi cha wavuta bangi na wahuni.
MNA KILA SABABU YA KUPANICK na siwalaumu ktk hilo
the man zzk is cruising na hamuwezi kumzuia
subiri matokeo ya uchaguzi hapo october ndio mtamsujudu na kumuimba
 
zitto hatapata watanzania wanaotumia ubongo wao kufikiri kamwe. Atawapata nyie mliopeleka likizo ubongo wenu. Zitto, leo anazungumza hiki, kesho kile! Haaminiki, haeleweki.
hongera zenu madaktari wa Milembe dodoma naona wagonjwa wenu wanapata nafuu kama huyu. Endeleeni kumpa dozi anaemprove taratibu.
 
Si mlisema hamtaki makapi? vipi tena? kumbe CCm ina hazina ya wanasiasa
 
"Ndugu zangu wananchi, nimepigwa mishale ming sana, hata watoto amabo nimewasaidia kupata ubunge leo wanakuja kunitukana , wanasema kuwa ninagawa kura za wapinzani, hivi mtu waliyemwona hafai ana ana nguvu gani ya kugawa za kura za wapinzani?

"sisi ACT wazalendo tumekubali kuungana (kwenye ukawa) wao hawataki hapa nani mbaya? Ng'ombe anaweza kutikisa mkia lakini mkia hauwezi kumtikisa ng'ombe"

ACT wazalendo kukataliwa kwenye ukawa, hakitatetereka na juhudi za kusamabaza uzalendo kwa watanzania. Na sambamba na kujipanga na uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi octobet mwaka huu.
 
..huyu alifukuzwa.

..kwa hiyo siyo ajabu CDM kusema hawataki kushirikiana naye.

..yaani mtu afukuzwe CDM, halafu wamrudishe kwa kupitia UKAWA?

..Zitto akashirikiane na vyama vingine lakini siyo CDM.

..kwani hakuna vyama vingine vya kushirikiano navyo zaidi ya CDM na UKAWA?

..We are tired of dramas.

cc Mkandara, Kapwela, Chademakwanza, Kimbunga, Nguruvi3
Mkuu itakuwaje kama NCCR, NLD na CUF watataka kushirikiana na ACT? Tatizo mnaifanya UKAWA kama CDM na CDM kama UKAWA. Hapo ndipo penye shida kubwa.
 
Back
Top Bottom