Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,475
- 34,354
Mkuu hizo twitt ni makusudi kabisa kuua hoja ya ukanda. Wameshagundua kuwa hoja ya supreme inawasumbua sana na imeleta mfadhaiko kwa wanachama na watarajiwa. Njia rahisi ni kubadili mjadala ili tusahau aliyosema Zitto kuhusu mikoa ya kaskazini...nyinyi mnataka kuvuruga watu tu.
..kama Zitto alikuwa hataki kugawanya kura basi angebaki CDM.
..mtu amefukuzwa CDM juzi tu; chama chake ndiyo kwanza kimepata usajili, tayari anataka kuunganisha nguvu na vyama vingine!!
..ACT haina ruzuku, haina wabunge, turufu yenu ktk muungano/ushirikiano ni mtu mmoja tu-- Zitto. I dont think huu ni wakati mzuri kwenu kuanza kuzungumzia masuala ya muungano na mashirikiano na vyama vingine.