Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,243
Haya wahi lumumba ukadake buku 7 yakoAisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!
Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...
mwanzo walipotufukuza walituambia tukatafute vyama vingine hilo likafanyika, tulipopata vyama vya kufanyia siasa wakasema vipo kwa ajili ya kugawa upinzani, tukasema tupo tayari kuunganisha nguvu ya pamoja kwa ajili kuiondoa ccm wenzetu pia hili hawalitaki sasa ni wajibu wenu kutambua watu gani hawataki kuiondoa ccm.
Wananchi watambue tuna nia ya dhati lakini wenzetu wanaweka ugomvi binafsi mbele ya maslahi ya taifa. Sisi act wazalendo bado tupo taayari kushirikiana kwa mujibu wa misingi. Shabaha yetu ni moja tu kubomoa mfumo wa uchumi wa kinyonyaji na kifisadi ili kujenga uchumi shirikishi wa wananchi
by zitto kabwe kupitia twiter
Mkuu laki si pesa umenikumbusha kuhusu Kafulila. Hivi mkuu Salary Slip kafulila alifukuzwa kwa tuhuma gani, siyo usaliti kweli?
Watu mna UJASIRI ambao hata Shetani hana....Zitto umekataliwa mpaka mbinguni
Jitume maana Mbowe na Mtei wannakutegemea...Lusifa at Work
Mtu aliyeonekana hafai anaweza vipi kugawa kura za upinzani?? Mkia hauwezi kumtikisa ng'ombe ila ng'ombe anaweza kutikisa mkia hahahahaha., mkuu panic iko wapi hapo?Zitto amepanic
Jitume maana Mbowe na Mtei wannakutegemea...
Mkuu itakuwaje kama NCCR, NLD na CUF watataka kushirikiana na ACT? Tatizo mnaifanya UKAWA kama CDM na CDM kama UKAWA. Hapo ndipo penye shida kubwa.
subiri uone matusi ya chagadema
Mtu aliyeonekana hafai anaweza vipi kugawa kura za upinzani?? Mkia hauwezi kumtikisa ngombe ila ngombe anaweza kutikisa mkia hahahahaha., mkuu panic iko wapi hapo?