mbikagani
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 3,107
- 1,782
ukiona mtu anakimbilia kutoa lugha chafu, fahamu kuwa uwezo wake kiakili umekwisha.subiri uone matusi ya chagadema
ukiona mtu anakimbilia kutoa lugha chafu, fahamu kuwa uwezo wake kiakili umekwisha.subiri uone matusi ya chagadema
ZITTO NI mwanasiasa anayejitambua sana. Keep on moving guy, no body will stop you in this war."Mwanzo walipotufukuza walituambia tukatafute vyama vingine hilo likafanyika, tulipopata vyama vya kufanyia siasa wakasema vipo kwa ajili ya kugawa upinzani, tukasema tupo tayari kuunganisha Nguvu ya pamoja kwa ajili kuiondoa CCM wenzetu pia hili hawalitaki sasa ni wajibu wenu kutambua watu gani hawataki kuiondoa CCM.
Wananchi watambue tuna nia ya dhati lakini wenzetu wanaweka ugomvi binafsi mbele ya maslahi ya Taifa. Sisi ACT wazalendo bado tupo taayari kushirikiana kwa mujibu wa misingi. Shabaha yetu ni moja tu kubomoa mfumo wa uchumi wa kinyonyaji na kifisadi ili kujenga uchumi shirikishi wa wananchi"
By Zitto kabwe kupitia Twiter
Hakuna hoja ambayo Zitto ameshindwa kuijibu. Hata hivyo, leo hii ndani ya upinzani tuna watu walikuwa wanachama wa ccm, but still tunawaamini na tumewakabizi nyazifa kubwa sana. How do you blv them?Watanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.
Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?
Upo sahihi mkuu. Anayekataliwa ACT ni yule hasiyekubaliana na katiba ya ACT, unless yeyote anakaribishwa.mkuu kwani kumualika mtu awe mwanachama ni makosa? suala akubali kutangaza mali zake na madeni basi. na akubaliane na katiba ya kizalendo kuilinda , unakalibishwa maana hata wazambi mbele ya Mungu wana nafasi ya kutubu iweje kati yetu wanadamu?
..huyu alifukuzwa.
..kwa hiyo siyo ajabu CDM kusema hawataki kushirikiana naye.
..yaani mtu afukuzwe CDM, halafu wamrudishe kwa kupitia UKAWA?
..Zitto akashirikiane na vyama vingine lakini siyo CDM.
..kwani hakuna vyama vingine vya kushirikiano navyo zaidi ya CDM na UKAWA?
..We are tired of dramas.
cc Mkandara, Kapwela, Chademakwanza, Kimbunga, Nguruvi3
mkuu kwani kumualika mtu awe mwanachama ni makosa? suala akubali kutangaza mali zake na madeni basi. na akubaliane na katiba ya kizalendo kuilinda , unakalibishwa maana hata wazambi mbele ya Mungu wana nafasi ya kutubu iweje kati yetu wanadamu?
Aisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!
Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...
Hilo la kutotaka ushirikiano ijibie Chadema tu. UKAWA sio Chadema pekee, kuna vyama vingi mle, hivyo weka akiba ya maneno.Hii ni siasa, usijeukashangaa kuelekea uchaguzi huu baadhi ya vyama vilivyo leo Ukawa vikaunda ushirikiano na ACT, haitakuwa ajabu, siasa haitabiriki.
Lakini pia Zitto anaongelea hili kujibu propaganda inayoenezwa kuwa anataka kugawanya kura, hilo ni miongoni mwa masuala muhimu kwa kundi kubwa la watu walioichoka CCM.Ni kundi muhimu kwa chama chochote cha upinzani.
Hivyo kwa ACT na Zitto kutangaza wanahitaji umoja, wamejivua hiyo dhana ya kugawanya kura, hivyo kwa sasa wananchi husika watajua sio ACT wala Zitto aliyegawanya kura bali ni hao wasiopenda umoja.Huu ndio msingi ninaouona.
Alinda, nimeona umenipa cheo, NIKUTAARIFU TU RASMI KUWA MIE SIO MWANASIASA NA SIPO KWENYE UONGOZI WA CHAMA CHOCHOTE CHA SIASA, NI MTANZANIA HURU MWENYE MAPENZI MEMA NA NCHI YAKE, MAWAZO YOYOTE NINAYOTOA HUMU HAYAKIWAKILISHI CHAMA CHOCHOTE HUMU BALI NI MAWAZO YANGU BINAFSI.
NA NIKAONA UMENISILIMISHA KABISA KUWA MUISLAM, NIKUTAARIFU TU KUWA MIE NI MKRISTO KAMA WEWE, KAMA UNGENISOMA KWENYE SUALA LA MAHAKAMA YA KADHI UNGETAMBUA HILO.
Acha viroja, ajibu hoja.Ajitokeze aseme kwa kukiri au kuyakana mamilioni ya tiss na zile namba zilizotumika kuyasambaza kwa traitors wenzake
mkuu kwa taarifa yako zitto haeleweki anataka nini.. Husema chochote atakacho bila kujali madhara yake. Aliwahi sema ukawa ni umoja wa wasaka tonge, lakini hili kasahau..ZITTO NI mwanasiasa anayejitambua sana. Keep on moving guy, no body will stop you in this war.
zitto tunampenda sana, ila tunayachukia matendo yake..From now i blve anayemchukia Zitto anapenda ccm iendelee kututawala.
mkuu kwa taarifa yako zitto haeleweki anataka nini.. Husema chochote atakacho bila kujali madhara yake. Aliwahi sema ukawa ni umoja wa wasaka tonge, lakini hili kasahau..
mkuu kwa taarifa yako zitto haeleweki anataka nini.. Husema chochote atakacho bila kujali madhara yake. Aliwahi sema ukawa ni umoja wa wasaka tonge, lakini hili kasahau..
haa haa mkuu lini kafulila alifukuzwa cdm?Hakuna hoja ambayo Zitto ameshindwa kuijibu. Hata hivyo, leo hii ndani ya upinzani tuna watu walikuwa wanachama wa ccm, but still tunawaamini na tumewakabizi nyazifa kubwa sana. How do you blv them?
Kafulila alifukuzwa chadema, baadaye alitoa lugha mbaya kwa viongozi wa chadema, but today yupo UKAWA. How do you blv him?
zitto tunampenda sana, ila tunayachukia matendo yake..
hili la kukaribisha yeyote bila kujali sifa yake mbele ya jamii litaiharibu hiyo act vibaya sana. Time wil tell..Upo sahihi mkuu. Anayekataliwa ACT ni yule hasiyekubaliana na katiba ya ACT, unless yeyote anakaribishwa.