fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Msaliti kawaida hakosi neno, mlitegemea nini kwa ZZK?
Khaa!!! Umenichekesha sana. Unasubiri dodo lidondoke chini ya mNazi. OK time will tell YOUNa fedha za Lowasa atalipaje?
Na hao CCM wanaomundalia mikutano na fedha watalipwaje? ZZK ni msaliti mbaya bilblia inatamka wazi kuwa saizi yake ni "kufungwa jiwe kubwa ili atumbukizwe baharini asiibuke tena!! time will tell wait----------
Ulevi wa Mbowe, Slaa, Lema, Mnyika na vijibwa vyao ndiyo unaiua demokrasia Tanzania. Walaaniwe na kila mtanzania mpenda demokrasia ya kweli
subiri uone matusi ya chagadema
Ngoja waje Bavicha na virob vyao,ndo mida yao hii subiri tu uone,Tena usiombee wanywe Gongo we subiri tu
Aisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!
Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...
Afande Sele ana cheo kikubwa kuliko msafiri Mtemelwa kwenye ACT ? mbona ndio anapanda majukwaani wakati mwenezi wa Taifa akiwa hapewi nafasi ? au kiongozi mkuu anaamua nani apande jukwaani na nani abakie chini?
siku nyingine ntaomba tuanzishe mada kuhusu EL aliiba nini. baada ya hayo unatuambia nini kuhusu kauli ya Mbowe bungeni kwamba EL alionewa? je DJ naye ni mwizi? maana alitetea!
unaweza kuniambia tofauti ya kosa la LOWASSA(Richmond) na kosa la PINDA(ESCROW) kama umenielewa utajua kwa nini mkulima alisalimika, na kuanzia hapo utakuwa umepevuka hutamuita tena EL fisadi.
Tuache porojo tutafute watu wenye uwezo bnafsi.
Watanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.
Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?
yani tunakaa naye kwenye vikao vya ndani tunapanga mbinu za kumkabili adui yetu, yeye anatoka hapo anapeleka taarifa na mbinu zetu kwa adui.
huyu Traitor ni wa kuaminika jamani??
Vipi kuhusu Chadema kushirikiana na CUF kwenye umoja wao wakati huo huo CUF anashirikiana CCM au hii haina tatizo kosa ni kushirikiana na Zitto, ndiyo maana Mnyika kasema wazi adui yao wa kwanza ni Zitto...huyu alifukuzwa.
..kwa hiyo siyo ajabu CDM kusema hawataki kushirikiana naye.
..yaani mtu afukuzwe CDM, halafu wamrudishe kwa kupitia UKAWA?
..Zitto akashirikiane na vyama vingine lakini siyo CDM.
..kwani hakuna vyama vingine vya kushirikiano navyo zaidi ya CDM na UKAWA?
..We are tired of dramas.
cc Mkandara, Kapwela, Chademakwanza, Kimbunga, Nguruvi3
Watanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.
Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?
Ukishaonja nyama ya binadamu huwezi acha aslan!nukuu toka kwa Baba wa TaifaWatanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.
Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?