hawezi waona kwani huyu ni miongoni mwa wale waliosemwa kwenye zile mail kuwa waongezwe kwenye mitandao ili kuongeza nguvu za usaliti.......Vp Nape, Mwigulu, Makonda, Shonza, January et al... vijana wenzako wa CCM huwaoni??
hawezi waona kwani huyu ni miongoni mwa wale waliosemwa kwenye zile mail kuwa waongezwe kwenye mitandao ili kuongeza nguvu za usaliti.......Vp Nape, Mwigulu, Makonda, Shonza, January et al... vijana wenzako wa CCM huwaoni??
unaweza kuniambia tofauti ya kosa la LOWASSA(Richmond) na kosa la PINDA(ESCROW) kama umenielewa utajua kwa nini mkulima alisalimika, na kuanzia hapo utakuwa umepevuka hutamuita tena EL fisadi.
Tuache porojo tutafute watu wenye uwezo bnafsi.
siku nyingine ntaomba tuanzishe mada kuhusu EL aliiba nini. baada ya hayo unatuambia nini kuhusu kauli ya Mbowe bungeni kwamba EL alionewa? je DJ naye ni mwizi? maana alitetea!wote wezi tu ....aliyeiba kuku na aliyeiba ngombe wote wezi tu........Kama mna mkakati wa kutetea wezi basi hamna sababu yakuanzisha chama kingine mngejiunga CCM .......
Watanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.
Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?
yani wewe sijui muhaya wa wapi, hivi kwanini mnatumia nguvu nyingi kumkubali zzk watu wa ccm, wakati act ni upinzani. kweli mahaba niue.Aisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!
Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...
Double agent!
Sisi ACT wazalendo bado tupo taayari kushirikiana kwa mujibu wa misingi. Shabaha yetu ni moja tu kubomoa mfumo wa uchumi wa kinyonyaji na kifisadi ili kujenga uchumi shirikishi wa wananchi
Marekani wanaongea na Iran juu ya ISIS. wenzenu hawana maadui wa kudumu....huyu alifukuzwa.
..kwa hiyo siyo ajabu CDM kusema hawataki kushirikiana naye.
..yaani mtu afukuzwe CDM, halafu wamrudishe kwa kupitia UKAWA?
..Zitto akashirikiane na vyama vingine lakini siyo CDM.
..kwani hakuna vyama vingine vya kushirikiano navyo zaidi ya CDM na UKAWA?
..We are tired of dramas.
cc Mkandara, Kapwela, Chademakwanza, Kimbunga, Nguruvi3
yani tunakaa naye kwenye vikao vya ndani tunapanga mbinu za kumkabili adui yetu, yeye anatoka hapo anapeleka taarifa na mbinu zetu kwa adui.
huyu Traitor ni wa kuaminika jamani??
Uhusiano wa Ztto, usalama wa Taifa, Chama cha mapinduzi na viongozi waandamizi serikalini hauwezi kuuponesha Ukawa. Si sahihi Act kujiunga Ukawa vinginevyo tumekubaliana kuipalilia ccm madarakani.
Mwanzo walipotufukuza walituambia tukatafute vyama vingine hilo likafanyika, tulipopata vyama vya kufanyia siasa wakasema vipo kwa ajili ya kugawa upinzani, tukasema tupo tayari kuunganisha Nguvu ya pamoja kwa ajili kuiondoa CCM wenzetu pia hili hawalitaki sasa ni wajibu wenu kutambua watu gani hawataki kuiondoa CCM.
Wananchi watambue tuna nia ya dhati lakini wenzetu wanaweka ugonvi binafsi mbele ya maslahi ya Taifa. Sisi ACT wazalendo bado tupo taayari kushirikiana kwa mujibu wa misingi. Shabaha yetu ni moja tu kubomoa mfumo wa uchumi wa kinyonyaji na kifisadi ili kujenga uchumi shirikishi wa wananchi
By Zitto kabwe kupitia Twiter
Hivi si ni hiki chama (couple of weeks ago) kilitangaza kuwa yeyote atakayeshirikiana na UKAWA atakuwa MSALITI na atafukuzwa uanachama. Yaani nilishangaa, yaani ACT nao wanajua neno MSALITI. Kumfukuza mtu uanachama kwa kushirikiana na UKAWA ni elements za CCM, na mfano mmojawapo ni wa juzi kufukuwa kwa Mzee Moyo.
That's not a rocket science.