Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Kazi ipo hapa sasa, watapata vipi risiti kutoka kwa Mrisho Gambo?[/QUOTE]

Hata mie najiuliza swali hilo. Huyu mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wa wilaya unampataje? Pia biashara ya magendo kama hiyo inaweza isiwe na risiti vile vile.
 
..huyu kijana muhuni....anataka kudanganya watu..anafikiri wote mazuzu humu....Ukitazama majibu yake anaandika utafikiri hajasoma chuo...daktari mzima aibu tu....Majibu yake anadanganya..maana anajua hata lengo la kutaka kuanzisha chuo ni la kibinafsi...yaani anatumia njia ya kudanganya anaanzisha chuo ili apate hizo tax weivers.....at the end of the day anajipatia materials kwa ajili ya biashara zake.....otherwise kuna sababu gani kwa yeye kudanganya umiliki wa hisa kwenye kampuni yake na mkewe???.....hakuna kinachoweza kuelezea hilo zaidi ya usanii.....kama kawaida yao....huwa wanaanza hivi hivi hawa.....mwishowe wanakua mafisadi wakubwa.....kwa kupitia ccm yao.....

Mkuu, nenda hospitali ya wilaya ya Nzega anapojifanya anajenga chuo, kwa kweli ni kashfa, ni nguzo tu zimesimama na jamvi la chini hakuna la maana linaloendelea, ujenzi umesimama kwa zaidi ya miaka 3, ilikuwa ni kampeni, hana lolote ni wizi tu! Kama sio tapeli ajibu zile hoja zangu na za KALOKAZA
 
Last edited by a moderator:
Tutafika hatua hata Tanzania ikibainika kukiuka sheria za kimataifa rais atasema siyo mimi ni watendaji wa IKULU! siku zote nasema 'huwezi kulala na maiti bila kulia'.kampuni yako ikibainika kuiba na kukiuka sheria basi mwizi ni wewe mmiliki,msitufanye wajinga bwana
 
Umenena vyema mkuu.
 
Hamisi Kigwangallah ni Mbunge, Kitendo chakuja jamvini kudanganya watu kwa sababu ya stori iliyoandikwa na gazeti la Tanzania daima, na kumbeza Mwandishi wa stori hiyo kuwa amedanganya. Sijui Mwandishi huyo kama ataendelea au ataacha, ila kwa sababu ya uongo uliozushwa na Kigwangalla anayejiita Mwadilifu. Huyu kijana ni Mwizi, anadharau watanzania kwa kuwaona ni wajinga, wasio na akili. Kwa maneno yake mwenyewe kwenye tamko lake amesema anamiliki 40%, na 11% ni za mke wake. Aje jamvini kama alivyofanya jana aseme amedanganya TIC au amedanganya jamvini, na kwa manufaa gani anahadaa watu jamvini.......... sio mwadilifu, ananitishia maisha sasa. angalieni mnaomwona Kigwangalla kuwa wa maana kumbe ni wale wale tu, anamtukana mwandishi wa Tanzania daima, kale kajamaa ka Tanzania daima kako makini Kigwangalla omba radhi jamvini, jiuzulu utumishi wa umma, umejivunjia heshima

Huyu jamaa ni Muongo.Attachement hiyo hapo juu
 
tani 5000 za cement unasamehewa kodi halafu unasema we siyo FISADI??
KWANZA HATA SIKUTEGEMEA KAMA NA WEWE NI FISADI HIVYO. KWELI CCM IMEOZA. TANI 5000?? THAMANI YAKE SH. NGAPI KWA HIZO TANI??
AU LABDA ULIKOSEA NI TANI 5. Vinginevyo wewe ni fisadi papa.
Kama wabunge wote wasamehewe kodi tani 5000 si wapiga kura ndo wataumia?
Hata aibu huna? KWELI UMDHANIAYE MSAFI CCM KUMBE NDIYE KACHAFUKA KWA MAJI YA CHOONI plus mavi kabisa.
 
Umefanya usanii wa kugawana hisa na mkeo ili kuudanganya uma eti kampuni siyo yako. Upuuzi tu Kingwangala unaofanya. We mwizi tu unafaa upigwe mawe na huyo mke wako.
 
Kama hali ndo hii, sina imani na mtu yeyote ndani ya magamba. TUMEIBIWA VYA KUTOSHA JAMANI LOO-HAMNA HATA AIBU. INASIKITISHA
 
Nijuavyo mimi kwa mujibu wa maadili ya kiuongozi mtu anayeitwa kiongozi hatakiwi kujihusisha na biashara. Hata kama sheria hazijasema wazi wazi bado ki ethics haipendezi. Sasa wewe Kigwangwalla unakuja hapa kutuamia unamiliki kampuni na mambo kadha wa kadha sijui nimenunua SUV... aisee siwezi kusema kwamba nimekuwa dissapointed maana sikutegemea kipya kutoka kwako. I feel very sorry kwa wananchi wako wa huko Nzega nadhani kwa sasa watakuwa wako mbioni kukuhukumu come 2015.
 
CCM kama chama imeingiaje kwenye hii issue?. Mbona umeamza kuifunika blanketi kwa mambo yanayohusu mtu binafsi. Kwa hiyo unataka CCM ijibu tuhuma za HKigwangalla?

Mbona issue ya Kinana chama kinamjibia kwa nguvu zote?
 
Kistaarabu mtu akianzisha thread anawajibika kutenga muda wa kujibu hoja zinazoibuka kwenye thread hiyo.

Kuanzisha thread na kuiacha ikielea elea na maswali sio ustaarabu, hasahasa kama mtu huyo ni verified user.
 
Hamisi Kigwangallah ni Mbunge, Kitendo chakuja jamvini kudanganya watu kwa sababu ya stori iliyoandikwa na gazeti la Tanzania daima, na kumbeza Mwandishi wa stori hiyo kuwa amedanganya. Sijui Mwandishi huyo kama ataendelea au ataacha, ila kwa sababu ya uongo uliozushwa na Kigwangalla anayejiita Mwadilifu. Huyu kijana ni Mwizi, anadharau watanzania kwa kuwaona ni wajinga, wasio na akili. Kwa maneno yake mwenyewe kwenye tamko lake amesema anamiliki 40%, na 11% ni za mke wake. Aje jamvini kama alivyofanya jana aseme amedanganya TIC au amedanganya jamvini, na kwa manufaa gani anahadaa watu jamvini.......... sio mwadilifu, ananitishia maisha sasa. angalieni mnaomwona Kigwangalla kuwa wa maana kumbe ni wale wale tu, anamtukana mwandishi wa Tanzania daima, kale kajamaa ka Tanzania daima kako makini Kigwangalla omba radhi jamvini, jiuzulu utumishi wa umma, umejivunjia heshima

Daaah 40% mpaka 78%?? Hili jambazi sugu kabisa utawezaje kumiliki asilimia zote afu unakuja kudanganya watu hapa afu jinsi alivyo mweupe kaanzisha uzi usiku wa manane ili wadau wasimshtukie Mh kwa hili umechemsha tena sana...
Asante mkuu kwa uthibitisho coz tumetambua kipi original na kipi feki
 
Kazi ipo mwaka huu!! Hawezi kurudi hapa , kwa ushahidi wote huu uliomwagwa.
Labda kwa ID nyingine.
 
Huwa najiuliza hivi huko bungeni huwa mnakimbilia nini? kumbe mna agenda zenu za nyuma ya pazia mnaanzisha makampuni halafu mnatafuta tiketi za kuingia bungeni ili biashara zenu mziendeshe kwa kutuibia sisi wananchi. Wakati huku wenzenu PAYE inatumaliza na nyie hata hii haiwagusi. Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
 
Kampuni ya MBUNGE WA NZEGA imepewa tenda ya kujenga CHUO CHA AFYA NZEGA!!!!

Something fishy,,,, no wonder mnaitetea sana hii serikali yenu maCCM kiasi cha kuwaita wenzenu mataahila, mnakula sana. Adui mkubwa wa Mtanzania ni CCM na wafuasi wake.

Hakuna mtu hata mmoja anayeipenda CCM kama chama bora cha siasa, wote mnaipenda CCM kwa kuwa inawapa ulaji wa rushwa, tenda, na misamaha ya kodi. Mfano hata humu JF ZeMarcopolo anapenda CCM ili apate Dezo ya kugombea Ubunge CCM Morogoro vijijini, Shonza na Mwampamba wanapenda CCM ili wawe wanasafiri na Nape kwenda mikoani kumsema Dr Slaa na kuambulia viposho vya hapa na pale. Kuipenda CCM lazima uwe na akili ya maiti, na wenye akili hizo wanaopenda CCM ninaowajua mimi ni Mafilili na Chama tu...
 
Kazi ipo mwaka huu!! Hawezi kurudi hapa , kwa ushahidi wote huu uliomwagwa.
Labda kwa ID nyingine.

Nakuona hapa chini mzee marcopolo tetea vijana wako.

Hapo hamna cha kutetea amelikoroga mwenyewe alinywe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom