The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,249
- 17,423
Ingekuwa vema kama angesema hizo 49 % ni za nani badala ya kutuambia zake na za mke wake (40 + 11 %)!!!!!!
Mkuu are you sure about that?
Ulifikiri isingekuwa serious kiasi hiki?
Kwa hiyo Kigwangala nae ni jipu....msamaha wa kodi