Steven Robert Masatu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2009
- 2,458
- 1,826
Umesema kuwa hujihusishi na uendeshaji wa biashara ya kampuni kama mtendaji wa kila siku.
Kwamba kampuni ya Emergent Africa Ltd ina watumishi wake sehemu mbalimbali.
Anayetakiwa kukanusha hayo madai ni wewe mwenye hisa 40% au ni kampuni ya Emergent Africa Ltd?
Could this be another one man company or a family company?
Could this company be a sham or mere a façade concealing the truth facts?
Would you mind us piercing the corporate veil to know what is going behind?
I was about to ask the question mkubwa. Sasa kigangwallah anajibu kama mwanahisa au msemaji wa kampuni, na alishaeleza kwenye pragragh hapo juu kwamba kampuni ina wafanyakazi wanaojitegemea (separate management unit).