Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

kigangwalah 40% + Ze wife 11% + 49%????????= mhhhhhh!!!! nani huyu 49%??????
 
maaandishi yote ya nini? make it brief you fisadi leaner
 
Ukiwa karibu na choo lazima unuke........., CCM si chama safi tena. Na hakuna anayependa usafi/haki/uadilifu wa dhati akategemea kuupata CCM au kuibadili CCM iwe safi. By the way nbona mnatumia nguvu na muda mwingi kujibu tuhuma badala ya kutekeleza ahadi zenu, wananchi hawatawachagua kwa umahiri wa kujibu tuhuma na kupangua hoja za wapinzani, bali watawachagua kwa ahadi mlizotekeleza na maendeleo mtakayo wapatia. 2015 hiyoooo clock is ticking
 
Mwenyekiti wa TAMISEMI, halimashauri zijiandae kutoa bahasha nene!
 
Kwa viongozi wote wa CCM mnamiliki vikampuni vya kuwatafutia pesa za kampeni siyo! Madbida, Kinana, Kigwangwala na wengine hongereni sana kwa ujasiriamali.
 
mimi hata kusoma nimeshindwa maelezo marefu utafikiri polisi
 
Mmeshindwa kuwasaidia hao akina Mama na watoto toka Uhuru ndiyo mtaweza leo?

Huwezi msafisha hapa MB Bagaile na hamna aliyesema kama katenda haya lkn kutuondolea wasiwasi sisi wapiga kura why usimshauri aende Mahakamani asafishwe na tuhuma hizi nzito?

Mkuu Gongo la Mboto;naomba mawazo yako:Kwa uvunaji huu wa tembo wetu kweli 2020 atabaki hata tembo 1 Tanzania?Tufanyeje kuwaokoa?
Mkuu kwa jinsi Chadema ilivyojigeuza chama cha uongo na fitina mahakama zetu kusikiliza kesi muhimu; hivi uliwahi kuambiwa kama tembo wetu tasa?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ufafanuzi kwenye visa 51% zenu,je alibaki 49% za nani?Hebu kokotoa vyema au itie nyama hoja yako.
 
jamani CCM tuoneeni huruma muda mwingine... kuna life after death..wananchi wenu mnawaomba kura vizuri wakati wa uchaguzi na baada ya hapo mnawasulubisha..so far,ukifa huendi na kitu my dear!!!!i feel sorry for you

CCM kama chama imeingiaje kwenye hii issue?. Mbona umeamza kuifunika blanketi kwa mambo yanayohusu mtu binafsi. Kwa hiyo unataka CCM ijibu tuhuma za HKigwangalla?
 
Naona wewe JF inakukosesha usingizi kabisa hizo tuhuma zimetolewa kwenye magazeti huyo GAMBA HK kaamua kuzijibu umu sasa JF imeharibiwa kivipi unataka tukubaliane na utetezi wake wa kitoto unatakiwa kujua tuliopo umu tuna bongo nzuri za kufikiria hatuwezi kusikiliza utetezi wa kipuuzi kama wa HK.
Usingizi kwangu laini tu JF ni kisiwa cha ufahamu; kimeharibiwa na nyie wapiga majungu na fitina wakubwa labda niwaulize mbona hamkuja na nguvu hizi za kuhoji wakati nabii wenu wa kuchonga alipojikopesha milioni 140 au CEO Mbowe alipojipa tenda ya zaidi milioni 350? Tatizo wadaku nyie mnachagua ya kurukia kwasababu ya njaa zenu; ni la ajabu gani aliliofanya HKigwangalla mpaka mtoke povu la mdomo?
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mh Kigwangwala hujatujuza wenye hisa wenzako tofauti na mkeo kwenye kampuni hiyo tajwa ni kina nani hilo nalo liweke wazi ili kuondoa utata
 
nimependa tu pale palipoandikwa "si kila aliye CCM ni FISADI"
am sure kigwangala utafafanua hapa ulikuwa unamaanisha nni?
 
Mkuu CHAMA na wewe unaunga mkono upuuzi huu.Ifike mahali tuweke pembeni itikadi zetu za kisiasa kwa ajili ya kuliokoa Taifa letu.Mbali na tuhuma anazo tuhumiwa nazo ziwe za kweli zisiwe za kweli.Ukiyasoma maelezo yake inaonekana ni mtu mwenye uwezo mkubwa sana kifedha.Mtu ambae hakusitahili hata kusamehewa kulipa kodi na serekali yetu kama ingekuwa makini kama alisamehewa kweli kwa mjibu wa maelezo yake yasiyo na ushahidi.Huu ni upuuzi mwingine tunao upinga unaofanywa na serekali yetu.Mtu mwenye uwezo mkubwa kabisa wa kulipa kodi anasamehewa kulipa kodi huku mwananchi ambae ni masikini kabisa ambae anatakiwa kusaidiwa anapelekewa mgambo kupigwa mabuti ili aweze kulipa kodi kwa nguvu pengine na kufungwa kabisa.Eti tajilri mkubwa kabisa mwenye nazo anasamehewa kulipa kodi na yeye bila hata chembe ya aibu anajitokeza hadharani nimesamehewa kulipa kodi na serekali kwa kisingizio cha kujenga Chuo cha afya.Hicho chuo cha afya kitakuwa kinatoa huduma bure kwa mwananchi?.
Mkuu Tukundane
Kama hoja ya misamaha imetokana na sheria zilizopo; na kwa maelezo ya mh. HKigwangalla hajengi hoteli ni chuo cha afya ambacho kinaendana na taaluma yake; sasa kosa lake ni lipi kama sheriaa inamruhusu kufanya? Ningepingana naye kama ametumia misamaha ya kodi kujitarisha kwa kuuza mali iliyosamehewa kodi; wengi huu uchangiaji wenu ni wa kisiasa ambao umeegemea zaidi siasa za maji taka; kama ni kweli mna hoja ya kupinga maelezo ya HKigwangalla njooni na data ambazo zitasuta kauli yake; magazeti ya bongo yamegeuka ni uwanja wa mipasho na majungu wataandika chochote ili wauze magazeti; lile gamba lilojipa milioni 140 au lile gamba lilojipa tenda kwa mlango wa uani wa zaidi ya milioni 350 mbona mmeyanyamazia? Mngeanza na nyumbani kabla ya kupiga kelele kwa jirani
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
By Hussein Bashe Ndg zangu,

Awali ya yote niwatakie Juma Pili Njema na Kwa Ndg zetu wanoenda kanisani siku ya Leo waendelee kuombea Taifa letu na Viongozi wetu kufanya maamuzi ya Busara juu ya Hatima ya Maisha ya Watanzania na Taifa kwa Ujumla.

Nimeanza na maneno hiyo hapa juu kufatia matukio miwili,Moja ni Tukio la Arusha na Pili ni Tukio la Maamuzi ya Baraza la Madiwani la wilaya ya nzega.

Nzega
Halmashauri ya wilaya nzega imepitisha Bajeti na mipango ya Mendeleo ya mwaka wa fedha 2013/4 kilichonisikitisha ni Madiwani kujitengea milioni 82 kwa ajili ya ziara Kwenda mkoa ya Arusha, Dodoma Kama ziara ya kujifunza,Wakati wilaya inakabiliwa na Changamoto za uharibifu aw miundo mbinu kufatia muda Nyingi, makazi ya wananchi wengine yameharibika, shule za msingi na secondaries hazina Madawati, waalimu hawana nyumba, vituo vya Afya having dawa za kutosha ,tunakabiliwa na tatiizo la Maji Mijini na vijijini.

Wakati Hali ikiwa hivi fedha hizo ni Intrest(RIBA) iliyotokana na fedha zilizowekwa benki Baada ya mgodi kutulipa 2bn, Wabunge wakiwa wajumbe wa kamati ya fedha wamepitisha hili,mbali hapo wameunda tume ya Watu 15 Kwenda Dar kukutana na Katibu mkuu aw Nishati kufatilia madai Kila mjumbe atapewa posho ya siku 80,000 kwa siku 10 mbali na posho za madereva kwani wataondoka na gari za halmashauri, mbali na mafuta, kuna tume ya kufatilia mji mdogo nayo inawajumbe 10 imetengewa mamilioni ya pesa.

Mbali na Hilo wakubwa wameamua kumchukua fedha 2bn kuanzisha Benki ya Maendeleo ya Nzega ikiwa na dhamira ya kutoa mikopo kwa Wananchi aw Nzega, wanafanya maamuzi haya huku wakifahamu Halmshauri ya wilaya ya Nzega Ina Fedha za Mfuko aw Maendeleo ya Vijana, Mfuko aw Maendeleo ya Kina Mama, Mabilioni ya Jk vyote hivi vimeshindwa kusimamiwa na Fedha zake kwa Miaka yote hazijawahi kuwa na Mrejesho chanya Leo tena wanatenga fedha ili kuanzisha Benki itakayoendeshwa na Watu wale wale, kwa Mfumo ule ule, kuwakopesha Watu wale wale ambao Mara zote wanaposhindwa kurejesha hutumika sasa zile zile kuwasamehe.

Huu ni mchezo kwenye maisha ya wananchi aw wilaya ya nzega ambao hawana High school, hawana barabara za uhakika, waalimu hawana makazi, wanafunzi hawana maabara, hawana Madawati, zahanati hazina Madawa, mikopo ya Mabilioni ya Jk haikufanikiwa, mikopo ya Mfuko wa Maendeleo wa Vijana haikufanikiwa, mikopo ya Mfuko wa Maendeleo ya Kina mama haikufanikiwa Leo zinatengwa fedha za kuanzisha Benki ya kukopesha wana Nzega, kuna Mabenki mawili nzega, kuna taasisi za mikopo zaidi 5 kwa matatizo yanayokabili wilaya lie huu ni Kupoteza fedha za wananchi wa Nzega kwa posho na kuandaa maradi ambayo haina Tija.

TUKIO LA ARUSHA.
Tukio la kuuwawa Kijana aw Chou cha uhasibu na matokeo Yake badala ya kutafuta wauwaji kunatengenezwa mazingira ya kuleta Instabillity kwa kumkamata LEMA, Kaka yangu Mulongo katika hili alivolisimamia na kulitekeleza ameonyesha Udhaifu aw Hali ya Juu na matokeo Yake inavunjia heshima Serekali ya Chama chetu na Kuongeza chuki dhidi ya CCM Hakukua na sababu ya Kubahave the way he did pale chuoni ,alionyesha kiburi hakua humble, hakutumia Busara katika jambo hili.

Wakati kuna Kijana ameuwawa, na yeye ndie Rais wa eneo lile attitude alionyesha Hakukua na leadership pale, tunakabiliwa na uchaguzi kuna mtu ameuwawa na si Tukio la kwanza, Nguvu iliyotumika kumkamata lema Leo CCM mkoa wa Arusha wanakabiliana na maswali mengi kuliko Majibu, inasikitisha viongozi wanaotuwakilisha kuongoza ndio hao tunawaona Bungeni, ndio hao Kina Mulongo na maamuzi na attitude ya kaka Mulongo ,ndio hao Kama Baraza la Madiwani aw Nzega ambao kwao semina safari, posho, maradi isiyotekelezeka, kuunda tume ya kuchunguza madai ya wafanyakazi ni kuitengea fungu Wakati kk Bajeti wameisha tenga fedha za kulipa madeni halafu unaunda tume ya kuchunguza madeni ambayo umeisha lipa.

Ndg zangu wana CCM chuki za Watanzania dhidi ya chama chetu zinaongezeka Kila siku na hii ni kutokana na Tabia zetu wenyewe Wakati hospitalini hakuna Vifaa vya Kina mama kujifungulia sisi tunajitengea fedha za ziara 82m, posho za 80,000 kwa siku, tunaanzisha miradi ambayo haitawasaidia wananchi kk kero zao za Kila siku, Wakati mwanafunzi ameuwawa na kibaka tunatumia mabomu, Rundo la Askari kumkamata mtu Moja kwakua si mwana CCM, wananchi nyumba zimebomolewa na mvua, hakuna Bajeti ya kuwasaidia hawa Watu ,hakuna Madawati, dawa hospitali ,tunaelekeza fedha ktk mambo yasiyogusa maisha Yao.

Unless tubadilike na kuanza kutambua Watanzania hawajatupa madaraka ilituchezee maisha Yao ,unless tutambue uongozi ni dhamana tutendelea kuchukiwa na Leo sitashangaa Arusha tukipoteza kata 4 zilizowazi, tunawalazimisha Watanzania kutafuta matumaini kwa wapinzani kwa sisi wenyewe kuamua kujipa Utawala badala ya Uongozi. Binafsi swala la nzega nimekiandikia Barua chama changu wilayan kukiomba kutazama upya maamuzi ya Full Council na kutambua upya vipaumbele halmashauri ya Nzega inakabiliwa na Changamoto Nyingi hawatakiwi kuchezea fedha za walipa kodi. Hili la Arusha CCM inatakiwa kutolishabikia RC amemis-handle the whole thing.




NAOMBA UJIBU HILO HAPO JUU KWENYE KIJANI MAANA UTETEZI WAKO HAPO JUU SIJAKUELEWA LAKINI VIONGOZI WENGI WA CHAMA TAWALA HUWA HAWAKUBALI MPAKA KABALI IKAMATE VIZURI KAMA WAMEIBA.TOA UFAFANUZI HILI LA NZEGA PIA.
 
Kigwangala umetoa utetezi dhaifu sana. Umedai kuwa wewe si mtendaji mkuu kwenye hiyo kampuni lakini hapohapo umeahidi kuwashughulikia watakaokuwa wamehusika katika uuzaji wa vifaa hvyo.. Unajielewa kweli?
 
· Dr.kigangallah kutumia vifaa vilivyolipiwa ushuru kwa ajili ya kujengea hospitali na badala yake akafungua dukaa la vifaa vya ujenzi kupitia kampuni anayomiliki hisa asilimia 78 inaitwa emergent african Limited
· Vigae (Tiles zilizoingizwa nchini) na Emergent Africa ya Dk Kigwangala tokea China na kupewa msamaha wa kodi Mrisho Gambo Mkuu wa Wilaya ya Korogwe aliuziwa mabox 114 kwa shilingi 22,OOO




Mkuu Tukundane
Kama hoja ya misamaha imetokana na sheria zilizopo; na kwa maelezo ya mh. HKigwangalla hajengi hoteli ni chuo cha afya ambacho kinaendana na taaluma yake; sasa kosa lake ni lipi kama sheriaa inamruhusu kufanya? Ningepingana naye kama ametumia misamaha ya kodi kujitarisha kwa kuuza mali iliyosamehewa kodi; wengi huu uchangiaji wenu ni wa kisiasa ambao umeegemea zaidi siasa za maji taka; kama ni kweli mna hoja ya kupinga maelezo ya HKigwangalla njooni na data ambazo zitasuta kauli yake; magazeti ya bongo yamegeuka ni uwanja wa mipasho na majungu wataandika chochote ili wauze magazeti; lile gamba lilojipa milioni 140 au lile gamba lilojipa tenda kwa mlango wa uani wa zaidi ya milioni 350 mbona mmeyanyamazia? Mngeanza na nyumbani kabla ya kupiga kelele kwa jirani
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Wale magamba wanao lipwa buku 7 Lumumba waje wamsaidie.
 
daaaaaaaaaaah kweli nchi ina wenyewe ......makampuni ya nje na vigogo ndo mnapeana hii misamaha ya kodi ......akheri ungekaa kimya ........tu mkuu ......hapa umejishushia heshima ......unataka utuambie hao waliouziwa vifaa vya ujenzi watadai receipt ?........serikali inapotoa misamaha ya kodi inafuatilia kama umeuza au vifaa vyote vimetumika kwenye ujenzi wa mradi uliopewa msamaha wa kodi ........ungekaa kimya kwa sababu umeonyesha jinsi gani mfumo wa serikali yetu ulivyo mbovu na jinsi wewe kama muwakilishi wa wananchi (ukumbuke sisi tumekuchagua ukatuwakilishe bungeni) unatumia madaraka vibaya baadala ya kupigana na huo mfumo mbovu ..haijalishi we ccm au chadema ......hapa umeshemsha ......mkuu
 
Back
Top Bottom