Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Majibu ya Tuhuma Dhidi Yangu!

Kale ka-tuhuma ka kutumia jina la mtu kupiga book mbona hukukataja kwenye hiyo list? Au kenyewe ni minor hakako-counted (neglected)? Au kenyewe ni kwa ukweli,....Just curious.

Ushauri wa BURE: This time husikubali Marando akakushauri kisheria ukawasamehe hao waliokutuhumu. Nenda mbele ya sheria ili upate haki yako na sisi wananchi tusiamini kuwa na wewe HKigwangalla ni FISADI KIJANA.
 
HKigwangalla
JF imeharibiwa na watu wenye roho za husda; nadhani wameshtushwa sana na jitihada zako unazozifanya badala ya kuomba ushauri nao wafanye kitu gani wamegeuka ni watu waliokata tamaa ya maisha hasira zao wanataka kuzimaliza kwako; nakupa pole sana kwa hilo endelea na jitihada zako mradi ukifanikiwa hautawasaidia wana CCM peke yao naamini lengo ni kuwasaidia watanzania wote hususani kina mama na watoto
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
From post it not very clear weather or not Emergent Africa ltd is a construction company. My concern is are ALL constructin companies exempt from paying duty on such items as cement,tiles,SUV's etc if so how does Goverment ensure exempt is not abused by corrupt business men/women.
 
Ndugu, naona kama vile uliyemnukuu siye....
My bad Nyani Ngabu!
Ujumbe huu ni kwa huyu MB wetu Bagaile na utetezi wake wa ajabu!

Asipoenda Kisutu nitapigia mstari kuwa MB kajihusisha na dubious deal na ni aibu kuu!
 
HKigwangalla
JF imeharibiwa na watu wenye roho za husda; nadhani wameshtushwa sana na jitihada zako unazozifanya badala ya kuomba ushauri nao wafanye kitu gani wamegeuka ni watu waliokata tamaa ya maisha hasira zao wanataka kuzimaliza kwako; nakupa pole sana kwa hilo endelea na jitihada zako mradi ukifanikiwa hautawasaidia wana CCM peke yao naamini lengo ni kuwasaidia watanzania wote hususani kina mama na watoto
Chama
Gongo la mboto DSM

Mmeshindwa kuwasaidia hao akina Mama na watoto toka Uhuru ndiyo mtaweza leo?

Huwezi msafisha hapa MB Bagaile na hamna aliyesema kama katenda haya lkn kutuondolea wasiwasi sisi wapiga kura why usimshauri aende Mahakamani asafishwe na tuhuma hizi nzito?

Mkuu Gongo la Mboto;naomba mawazo yako:Kwa uvunaji huu wa tembo wetu kweli 2020 atabaki hata tembo 1 Tanzania?Tufanyeje kuwaokoa?
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wangu, haki inapatikana mahakamani na siyo kwenye mitandao kama hii iliyojaa watu wa kila aina na kibaya zaidi, siyo wote wanaingia kwenye mitandao ya kijamii. Kujieleza kupitia mtandao hakuwezi kufuta hiki kitu unachoita UWONGO usiokuwa na chembechembe ya ukweli ndani yake.

Kadai haki yako mahakamani na siyo hapa. Ninyi wanasiasa ndiyo hamuwatendei haki wananchi kwa sababu kama kile kinachoandikwa na magazeti kinakuwa cha uwongo, halafu hamuchukui hatua sahihi, mnatufanya wanachi tuamini na kwa kuamini, hata uamuzi wetu kwenye sanduku la kura unakuwa umeadhirika.

Hizi ni tuhuma nzito, na kama ulivyobainisha, zimekuwa ni mwendelezo kutoka mwaka 2009. Kutokudai haki yako mahakamani kunaacha maswali mengi zaidi ya majibu.

Kama kuna mwanasiasa bado anapata ushauri wa kisiasa kutoka kwa Mabere Marando basi huyo mwanasiasa ana matatizo. Marando hana moral autholity na pia matendo yake yanapingana na misingi ya natural justice kama mwanasheria na pia mwanasiasa.

Kwenye majukwaa ya kisiasa anadai nchi inaangamia kwa ufisadi, mahakamani anawatetea hao mafisadi.

Jf haijaichukua haki yako, ni bora kwenda kupoteza muda wako mahakamani kuliko hapa jf ambapo haki yako haiwezi kupatikana zaidi ya kupata slander zaidi.
 
Kwanini huyu Kingwangala ana-panic?

Mambo mengine haya wanafanya wasidhani wanajidhalilisha wao tu, wakumbuke wana familia, nao wanadhalilika kwa upuuzi wenu wa kukosa maadili.

Mtu unakwepa kodi kwa makusudi kabisa heti kupunguza gharama, halafu unatumia hivyo vifaa kujengea nyumba, malipo ni hapahapa duniani na hizo nyumba wenda zikawaka moto na hata kuathiri maisha ya watu kisa ufisadi wako tu.

Kama viongozi wa umma mnataka wepesi hivyo katika kufanya mambo yenu, je, umeshamfikiria mwana-Nzega atafikaje hapo ulipo? lipa kodi mwana-Nzega afaidike kaka, hapa duniani ni njia tu makazi ya kweli yanatungoja huko peponi/motoni.

CHAGUA MOJA.
 
Anamiliki 51% za kampuni, hausiki na utendaji wa kila siku wa kampuni, huu ni utetezi wa ki-kinana kinana kukubali umiliki wa kampuni inyo safirisha meno ya tembo huku asisitiza kutohusika na biashara hiyo kwani si mtendaji mkuu wa kampuni yake!
 
Nimesikitishwa sana na habari hii hususan kwa kuwa ilichapishwa bila kunipa fursa ya kueleza kwa mapana uhusika wangu. Niwapongeze gazeti la Nipashe kwa kupuuza uzushi huu mara baada ya kunipigia na kueleza upande wangu wa hadithi.
Mkuu are you sure about that?


Dk. Kigwangallah alipotafutwa kwa simukufafanua tuhuma hizo, alisema amebanwa na kazi. Na alipoambiwa ametumiwamaswali kwenye barua pepe yake, aliahadi kujibu lakini hakufanya hivyo.

Alipopigiwa tena jioni, alisema, "Sema harakaunataka nini?" Alipoulizwa juu ya tuhuma hizo alikata simu.

Lakini baadaye aliandika ujumbe kwa simu:"Nitakupigia jioni nikitoka bungeni."

Alipoambiwa inaandikwa habari gazetini,alijibu kwa ujumbe mfupi kuwa tuhuma zilikuwa za uongo bila kufafanua.

Source:
TANZANIA DAIMA

Ulifikiri isingekuwa serious kiasi hiki?
 
Hivi hii emegent africa ltd. ni kampuni ya ujenzi? Swali kwako ndugu hamisi
 
Sasa kama huna sababu ya kuthibitisha lolote kwa yeyote humu nini kimekufanya uandike mgazeti wote huo na kuuweka humu? Si ungeandika na kubandika huko kwenye litovuti lako la www.hamisikigwangalla.com....

umemjibu vizuri sana huyu jamaa anayetuhumiwa kuwa ni mrundi,ila nami nimemshangaa ameyataja magazet matatu tu,mbona hayo magazet mengine yalomwandika hakuyataja?na kama Kigwangala anahis hana sababu ya kutujibu basi angekaa na tamko lake akasoma na huyo mwanahisa mwenzie,
pia amesema yeye ana hisa 40% mkewe 11% je hizo asilimia nyingine anamiliki nani?
 
hamis mwizi duh... anajenga chuo chake cha afya.... anjenga nyumba tatu mfululizo... amenunua magari kibao... duh kaka we fisadi sana sikujua....
 
Anamiliki 51% za kampuni, hausiki na utendaji wa kila siku wa kampuni, huu ni utetezi wa ki-kinana kinana kukubali umiliki wa kampuni inyo safirisha meno ya tembo huku asisitiza kutohusika na biashara hiyo kwani si mtendaji mkuu wa kampuni yake!

ahahhahahahhahaahhahahahahahha
 
UCHAGUZI 2015 sio mbali. Wewe na wenzako kama MAIGE, NGELEJA etc. Mutakiona cha mutema kuni. Ni aibu sana kwa vijana kama nyinyi toka kanda ya ziwa kufanya ufisadii kiasi hiki wakati majimbo yenu yana shida tupu. Unategemea kushinda 2015? Majibu yako marefu sana, ningekuwa wewe ningejibu very simple ila sababu wewe muongo umetuandikia ngojela. AGAIN 2015 coming soon.

Kwahiyo Kigwangalla ni mzee wa ngonjela
 
Back
Top Bottom