BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
Mi najua nyie mmetofautiana ki2 kdogo sana lakni mitazamo yenu iko sawa
Labda ww useme hvi kwe uzi wako MARRIAGE IS FIFTY FIFTY DEPENDING ON CERTAIN CIRCUMSTANCES, bdala ya kuweka hyo HYP......
Kwasabab ulo yaandka na aliyoyaandka mwenye uzi huu hakna lisilotokea ktk ndoa na ili kumaliza mzozo.
Sijaona bado WEWE KINACHOKUUMA NINI? Mie ndugu yako? Amaaaa?Lala1 wewe nitakuwa cha wengi make unakoelekea lazima uwe cha wenye hamu.
Swali zuri sana..ukiangalia watu wanaokandia ndoa hapa jf wana tabia flani hivi..chunguza vzr utagundua kitu..
Duh! BADILI TABIA ndo Asprin kumbe!
Ombi lako nimelisikia nalifanyia kazi mkuu.
Tusiishi kwa mawazo ya kitamthilia
exactly wanaboa....Pere pere hawatulii.....
Marriage is a noble institution. Pamoja na hayo itakuwa na changamoto zake lakini hazitafanya isiwe a "noble institution".
Ndoa ya kitanzaia au kiafrika kwa ujumla wake ichukuliwe katika muktadha wa kiafrika. Tukichukua muktadha au dhana ya ndoa ya nchi zilizoendelea au za magharibi kwa ujumla katika mazingira ya kitanzania, lazima kutatokea mkanganyiko.
Hapo cjakuelewa kdgo mkuu, we uko upande gan ktk kutekeleza huko
Ni kama mume mtarajiwa au?
1.Nashukuru sana umerudi kujibu hoja umeanza kwa kueleza kuwa umetumia uhuru wako wa kueleza unachofikiri na neno ako si sheria,sina tatizo na hilo.
2.Kama ulikuwa una tahadharisha watu wote sawa lakini nilivyosoma niliona kuwa umewalenga wana ndoa tu kana kwamba masahibu magumu hayawapati wengine.
3.Unasema kwamba mapaka sasa hakuna nilipothibitisha kuwa ndoa ni hypocritical institution unasema ni kutokana na kutoeleza mabaya tunaongelea mazuri tu.Kila taasisi ina namna yake ya kukabili changamoto, matatizo ya wana ndoa humalizwa na wana ndoa wenyewe na siyo nje ya ndoa,matatizo ya ndoa hata kama mtakwenda wapi hamuwezi yamaliza maana ni uamuzi wa nafsi moja kuachilia kwa ajili ya mwingine.
kama mmoja hayuko tayari kuachilia hakuna sehemu yoyote wanaweza toa suluhisho,hivyo si maadili ya ndoa kusema siri nje.kwa hivyo unapoona watu hawasemi mabaya ndiyo ethics za ndoa hizo.
Kwa hivyo matatizo yapo, kama vile hata nyinyi mlio single mnaojirusha na wanaume,matatizo yapo mengi tu,kama kutoa mimba,kuingiliwa kinyume cha maumbile maana unakuwa umekula vya watu,kusokomezwa mitulinga ya kila namna maumivu makali,kukandamizwa na jamaa laa kilo 120 umo tu na mijasho wee,kupata magonjwa ya zinaaa,kulea watoto wasio na baba,upweke wa kukosa mme yote haya ni matatizo,naa nikilinganisha na aliye kwenye ndoa ana heri mwenye ndoa mara dufu.
4.kukuambia ubaya tabia yako ya kuchuna hakunifanyi nisiwe na hatia au kuonekana mtakatifu,mimi nimeeleza ambayo huwa unajisifia kila siku,na bado nasisitiza si mambo mazuri siyo kwamba nakuhukumu.
umemaliza kwa kukazia watu waache kuficha kueleza madhaifu ya kwenye ndoa,maadili ya ndoa hayako hivyo labuda uanze wewe ueleze masahibu ya kujirusha maana najua huko hakuna maadili ya kukuzuia usitoe siri tofauti na ndoa.
Za bongo zinashikiliwa na hypocricy! Hahahaaaa! Bila hypocrisy kwisha kazi,Ni kweli mkuu huwezi linganisha ndoa za Magharibu na za kibongo wa Magharibi ndoa zilisha washinda acha sisi tufurahie ndoa zetu.
Ni kweli lakini sehemu kubwa ya maelezo yalikuwa kukandia ndoa! As if anashauri wasiende kwa sababu ndoa siyo.[/QUOT
Mimi na wewe nazani tulielewa kitu kimoja
Hitimisho!
TUWE TU WA WAZI UOLEWE, USIOLEWE, MAISHA YOTE NI CHANGAMOTO! Married people should be honest and stop window dressing of facts THAT THEY ARE THE HAPPIEST, LUCKIEST, AND BETTER THAN EVERYBOY HAVING A HEAVEN ON EARTH AND SINGLE OLD CARGOS LIKE ME SHOULD GO HUG A TRANSFOMER BECAUSE WE ARE PITYFULL! Hypocrisy at its highest!
IT ABOUT TIME WE PUT ALL THE CARDS ON THE TABLE!
''Hakuna Baba Mwenye Gari, kuna Baba mwenye Nyumba tu....!''sawa, ndio mtifuano huo.....