Majibu kwa lara 1

Majibu kwa lara 1

Kuna mod kilaza, kafuta integral zangu hapa, hivi anajua muda nlotumia kuandaa ile post ili ilete maana na topik hii?

pole mkuu kumbe na wewe masahibu yamekukuta mimi siamini mpaka sasa kufutwa ushuhuda tu wa ninavyoishi na mke wangu niliona kuna kitu cha kujifunza.
 
Mkuu Eli79 mi ningepa lara 1 aje hapa atuambie (1) NDOA NI NINI? (2) UPENDO NI NINI (3) WATU WANAINGIA KTK NDOA KWANINI (4) NINI SABABU ZA KUIFANYA NDOA KUA NI UNAFIKI? (5) MUNGU ANASEMAJE KTK MASWALA YA NDOA NA UPENDO?

Atusaidie hayo tu machache!


Exactly my point mkuu...!
...Sijui wenye hoja ya kuhusisha NDOA--->UNAFIKI wanaliangalia vipi swala la URAFIKI(NGONO)--->UNAFIKI? Au huo ni unafiki wa waziwazi, mimi sijui. Lakini katika mahusiano yasiyo rasmi kuna UNAFIKI mwingi sana, kutatishana tamaa kwingi sana, kupotezeana mda na malengo. Au kwa vile watu wamejichokea, wametafuta MR/MISS RIGHT na hapatikani ndio maana wameona kurusha mawe kwenye taasisi iliyobarikiwa na MUNGU ndio UNAFIKI.

Lakini pia mkuu Ntuzu, tuangalie na hisia kwa nyakati tofauti. The same people who criticise marriage leo, wiki/mwezi/mwaka iliyopita walihitaji sana kuwa ndani ya hii taasisi, lakini uwezekano kuwa mambo hayakwenda walivyotarajia kumewakatisha tamaa na wanaona bora wakatishe wenzao tamaa.

"Hata hivyo, ndoa haikuwekwa kwa ajili ya watu wote, wengine watabaki hivyo''
 
Last edited by a moderator:
Pole sanaaaa! NDO DUNIA ILIVO! Utashangaa za michambo hazifutwi!

Heri michambo kuliko matusi ya nguoni uliyoporomosha kwenye comment ya mtu mmoja na haijafutwa.
Hata kama wanadamu hawawezi tenda haki yuko Mungu atendaye haki hapana shaka humlipa mtu sawasawa na usafi wa mikono yake.
 
Na hiii afu nishushe nondo zangu! NAJUUUTA KUWAFAHAMU!
Mimi binafsi huwa simchukulii serious kiviile kwa kuwa najua huwa ni mtizamo wake tu, lakini pia inaweza kuwa anataka kufuraisha genge tu! kama kawaida yake, lakini nachizika na uchizi wake! naona vituko! napenda kusoma na kutabasama halafu naacha hapo hapo, sioni hata haja ya ku comment . Hutaki unaacha.
 
Hii mada imekuwa competitive kweli mwanzoni, ila naona kama kuna watu wameweka mpira kwapani before 90 minutes!
 
Lara1 ni binti aliyeikosa ndoa, hivyo anajaribu kuwakatisha tamaa wenzake na kuiponda taasisi hiyo!!! Anasumbuliwa na ugonjwa fulani unaitwa INFERIORITY COMPLEX, kama kuna mwanajamvi ana utaalamu wa kisaikolojia amsaidie huyu binti, kwa kweli yupo kwenye hali mbaya sana!!! SHE IS SUFFERING SERIOUSLY.

Umenena kweli mkuu.
 
B

Lara1 inaelekea una wivu, afu haujui kama una wivu, wewe sema unayotaka kusema lakini,BEING IN MARRIAGE IS 100% BETTER THAN BEING SINGLE, kiafya na kiimani za dini zetu.
Haya maisha yana raha na shida kila mtu anajua hivyo usitake wanandoa wayatangaze matatizo kwa sababu sio njia ya kupata suluhu, afu kama zile nyakati za furaha ni nyingi kuliko za shida kwa nini wa-concentrate kwenye shida zao??

Asipouelewa ukweli huuu baaaaaaaaaaaasi.
 
This woman is frustrated with her life....kwanza ameenda age ( whether she deny it or not). Japo amesafirisafiri na kukutana na watu na kupata exposure kiasi lakini bado...... maana kama mtu anakaa anawashangaa watu kwanini hawaleti matatizo yao ya chumbani kwenye social media basi mtu huyo ana dosari kubwa sana.
She is so frustrated though she can't admit it before all this crowd.
Unaangalia tu post yake unacheka life goes on. Ni failure kwenye suala la mahusiano...ndio maana amebaki kuchuna tu.
Unajua kahaba huwa anatoa k ili apate hela....not a different scenario kama kutoa k and expect dough in return or any material things.
Kafail tayari...she is frustrated. Ipo wazi kabisa

Jamani tafuteni namna ya kumsaidia huyu dada siku zote yeye vita na ndoa sijui kwa nini?
 
Hawana hoja walianza kwa kutukana sasa matusi tumeyazoea hawana hoja zaidi ya kuweka mpira kwapani.
ndoa na iheshimiwe na watu wote.



Mambo ya wakina dada wa mjini hayo magumu sn! Mie MNYANTUZU ntayajulia wapi ndugu?
 
Nikija mwenyewe MTUHUMIWA NAMBA 1 WA KESI HII MNAPOTEA, nikiondoka mnajitutumua kurudi HAHAHAAAAA! NA BADOOO!

Ng`wana ong`wa kulwa nipo huwa sijui kupepesa macho wala kukwepesha uso ndiyo nimemfunga paka kengele haya twende na hoja.Ndoa na iheshimiwe na watu wote, una jipya?
 
Kuna dokta mmoja anaitwa Dr.Mo alitaka kumsaidia..akagoma..mwishone atarukwa ichizi..ooho wazazi wangu wazazi wangu.. Anadhani wengine hawana wazazi humu...watu waliomzunguka wanamtia ujinga na kumdanganya..mtu ni narrow minded..kakosa exposure ya vitu..anashikia bango vitu kidogo anavyovijua

la kuvunda halina ubani mkuu.
 
Mkuu Eli79 umeongea vitu vichache lkn vinagusa baadhi ya Maana ya ndoa! Sio mtu aje hapa aseme ndoa ni UNAFIKI bila KUTUAMBIA ni Maana ya ndoa!

Mimi ambae napenda mambo ya Kiroho nionapo haya Naona ni muendelezo Wa Kauli za kishetani kupingana Na Mungu! Maana Mungu ametuagiza wanadamu tuoane lkn leo tunapoita ndoa ni UNAFIKI tunahararisha UZINZI NA UASHERATI NJE YA NDOA! Sasa hii MACHUKIZO MBELE ZA MUNGU!

Kweli mkuu Mungu mwenyewe alishauri si vema huyu mtu huyu awe peke yake akamtafutia msaidizi wa kufanana naye leo anakuja mtu kalewa hela za kuchuna mabuzi na kubwabwaja ndoa ni unafiki?.ajabu ya mwaka.
 
hivi kumbe huwa unakesha?
missing u nzuna
kwamba????? siogagi? kwani nimebishaaaa anti sajo walaaaaa we oga kwa raha zako masaa ishnanne maana shimo lako la taka limejaa taka laini na ngumu hahaha lazima ujiswafi kuvutia wateja competition ni kubwa jitahidi kutaste kila sampuli lol
 
seriously kuna ndoa ambazo ukiona wanavyoishi unaishia kusema "Bless me ooh Lord,nami nikaishi na mume wangu kama wanandoa wale"

na kuna zingine duh..ni majanga

kama zilivyo changamoto kwenye mahusiano kabla ya ndoa..kuna changamoto pia kwenye mahusiano ndani ya ndoa

muhimu ni kujua namna na nani wa kumhusisha katika kupambana na changamoto hizo

wazazi wetu waliweza..why not us..lets be positive...
 
Kweli mkuu Mungu mwenyewe alishauri si vema huyu mtu huyu awe peke yake akamtafutia msaidizi wa kufanana naye leo anakuja mtu kalewa hela za kuchuna mabuzi na kubwabwaja ndoa ni unafiki?.ajabu ya mwaka.



Tatizo wengi huingia KTK NDOA kwa SABABU zao binafsi!

Wengine hufata Mali, wengine kusaidiwa kimaisha yani kila mmoja NA SABABU zake NA ndo maana huzaa NDOA UNAFIKI COZ SIO MTU SAHIHI!

Lkn km ukimpenda MTU jinsi alivyo km MUNGU alivyotupenda sisi NA makosa yetu basi NDOA itakua nzuri sn maana UPENDO HUVUMILIA NA HAUHESABU MABAYA! NA yoyote Mwenye hofu au Mashaka hakufanya KAMILIFU KTK UPENDO COZ HOFU MASHAKA IMEJAA MATESO CHUKI ETC!
 
seriously kuna ndoa ambazo ukiona wanavyoishi unaishia kusema "Bless me ooh Lord,nami nikaishi na mume wangu kama wanandoa wale"

na kuna zingine duh..ni majanga

kama zilivyo changamoto kwenye mahusiano kabla ya ndoa..kuna changamoto pia kwenye mahusiano ndani ya ndoa

muhimu ni kujua namna na nani wa kumhusisha katika kupambana na changamoto hizo

wazazi wetu waliweza..why not us..lets be positive...



mwallu NA miss neddy nimeona niwasalimie dada zangu! Mko poa Lkn?

Sijamuona wifi yenu Khantwe Leo? Au katoroshwa?

Dada zangu nawapenda sn

Siku njema!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Eli79 mi ningepa lara 1 aje hapa atuambie (1) NDOA NI NINI? (2) UPENDO NI NINI (3) WATU WANAINGIA KTK NDOA KWANINI (4) NINI SABABU ZA KUIFANYA NDOA KUA NI UNAFIKI? (5) MUNGU ANASEMAJE KTK MASWALA YA NDOA NA UPENDO?

Atusaidie hayo tu machache!

akijibu hayo maswali mi sio REALITY ,do you think she can?kwa mtazamo wake aisee big No
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom