Majibu kwa lara 1

Majibu kwa lara 1

Na wewe UNAHAMU YA KIGODORO NIKUITIE TULETE NA KEKI KABISAAA? Sema SUUUU!

Hahahahaha !!!! Ngoja nikusaidie kumwita mpiga ngoma missneeeddyyyy!!!
uje na tarumbeta loh!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mod kilaza, kafuta integral zangu hapa, hivi anajua muda nlotumia kuandaa ile post ili ilete maana na topik hii?
Pole sanaaaa! NDO DUNIA ILIVO! Utashangaa za michambo hazifutwi!
 
lete nipo tayar kwa mtanange.. domo lako refuu litakatia hapa.
Mxiuuuuuuuuuuuuuu,! Huna la kufanya zuia nisiandike basi? Kelele za chura hazinizuii tembo kunywa maji! I dare you!
 
Ndio maana nimekwambia ndoa hazifanani... Kila watu na style yao. kama ndugu/ shosti wako anawaamsha matisa ya usiku, ana emoro, kaharibu wtt sijui, ni ndoa yao, siyo zetu. You cannot generalize huo mfano wako kwa kila ndoa.

and, there is nothing wrong with being 40 and single.. as long as you are emotionally and mentally satisfied with your choice

Hapo sawaaaaaaaa! Sio wale wa kutaka kujifanya bora zaidi!
 
Mxiuuuuuuuuuuuuuu,! Huna la kufanya zuia nisiandike basi? Kelele za chura hazinizuii tembo kunywa maji! I dare you!

hahaaaa huna lolote kujifanza mjanja kumbe hamna kitu
 
Kinacho ni chekesha kwenye huu uzi watu wana kubali ndoa ni moja ya taasisi zilizo jaa unafiki ndio maana wanataka matatizo yabaki ndani ya ndoa(siri ) na ya siende nje wakimaanisha waendelee kucheka Mbele za watu huku ndani wanaumia na wanapo zidiwa ndio wanasema au mpaka wanapo achana!

Bahati mbaya zaidi kwa sababu wengi wanaolewa ili waonekane wameolewa hivyo hawawezi kusema yanayo wakumba ndani ya ndoa wako radhi kupigwa mpaka wafe Lakini wako kwenye ndoa lakini wataendelea kusema ndoa ni taasisi yenye mazuri tuu na wana kataa kusema yale mabaya hili watu wajifunze.

Ni lazima matatizo yanazo zikabili ndoa yasemwe ili watu wajifunze na wajue kuwa mtu anapo ingia kwenye hasidhani ana kwenda peponi!

Mtoa mada mwenyewe kuanzia paragh alipoanza na neno lakini aMekubaliana na wanao sema ndoa ni taasisi iliyo jaa unafiki!

THANK YOU SO MUUUUUCH! No further questions your honor!
 
ndoa ina changamoto, na maisha bila changamono yapo dull. lakini changamoto hazifanani kwenye kila ndoa. utakayemuoa pia, hafanani tabia wala makuzi na mimi.

So, utakapooa utakutana na changamoto zako na utazisolve accordingly. uhitaji kuiga solutions za changamoto za ndoa yangu. Anavyonibembeleza mme wangu akinikosea, haimaanishi na mkeo atakubali kebembelezwa kwa style hiyo hiyo. au nachomfanyia mmewangu, haimaanishi na mkeo atakufanyia, au hata akikufanyia hivyo utaridhika. Subirini, kama mkiingia mtakutana na challenges zenu na mtazisolve kivyenu
Hahahahaha unani chekesha yani unasema inabidi mnyamaze kwakuwa matatizo hayafanani? Wakati kila leo wanao amua kuyaeleza asilimia kubwa yana fanana?

Pengine mnajaribu kuonesha kuwa ndoa ni taasisi yenye mazuri tuu? Pengine mnafikiri ukweli ukisemwa wengine hawato tamani kujiunga!

Mnachotakiwa kujua kuwa hata kama mkisema mabaya yanayo wakumba ,watu hawato acha kuingia kwenye ndoa bali watazidi kujifunza!
 
Umeonaaaaaaa! HYPOCRICY WANAVOSHINDWA KUDHIBITISHA PASIPO SHAKA KWAMBA HAIMO KABISAAA NDANI YA HIO INSTITUTION! Wanabakia kuzunguka mbuyu tuuu! Ipo isisemwe , imalizwe tu kimya kimya? WTF? Kubalini tu we are bunch of hypocrites( not all but most of you) within a hypocritic institution BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSS!

THE TRUTH WILL SET THEM FREE! Sijaona mtu akitoa hoja kuonesha USAFI WA HIO TAASISI NA KUTOKUWEPO ANY ELEMENTS ZA HYPOCRISY NI MAWAZO YANGU! Hata hawajielewi wengine humo humo wanakubali ipo iminyiwe, wengine wanabisha, wengine hands down wameafiki! Mvurugano tupuuuuuuuu!

Watu hawawezi kuacha ila inakuwa FAIR PLAY ALL CARDS ON THE TABLE! ( viongozi wa kidini wangeniona ninavoandika hapaa ningepigwa TOTAL BAN dini zoteee mpaka hinduuu! Hata wapagani wangenitimulia mbali!)
 
Ruttashobolwa, ndoa kama zilivyo taasisi zote duniani, inakabikiwa na chahgamoto nyingi sana. Lakini maisha bila changamoto yana furaha kweli, lazima binadamu akabiliane na hizo changamoto..ziwe za ndoa au maisha kwa ujumla.

Swala la kutoa ya chumbani, sidhani kama Ni vyema mtu kutoa mambo ya chumbani kwake. Ni lazima kuwe na mipaka ya kipi mtu akiseme na kipi kiachwe chumbani. Mtu anayetoa mambo ya chumbani anakosa zile core ethics za kuitwa mwanandoa...hata daktari akitoa siri za mgonjwa anaonekana hafai coz siri za mgonjwa anatakiwa azitunze.
 
Last edited by a moderator:
Lara 1 naomba sentensi tatu tu...za kunileweshaa kabula sijaa giza SAVANA AAAAAAAAAAA baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii so nisiende kwa ndoaaaa!11
 
Umeonaaaaaaa! HYPOCRICY WANAVOSHINDWA KUDHIBITISHA PASIPO SHAKA KWAMBA HAIMO KABISAAA NDANI YA HIO INSTITUTION! Wanabakia kuzunguka mbuyu tuuu! Ipo isisemwe , imalizwe tu kimya kimya? WTF? Kubalini tu we are bunch of hypocrites( not all but most of you) within a hypocritic institution BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSS!

THE TRUTH WILL SET THEM FREE! Sijaona mtu akitoa hoja kuonesha USAFI WA HIO TAASISI NA KUTOKUWEPO ANY ELEMENTS ZA HYPOCRISY NI MAWAZO YANGU! Hata hawajielewi wengine humo humo wanakubali ipo iminyiwe, wengine wanabisha, wengine hands down wameafiki! Mvurugano tupuuuuuuuu!

Watu hawawezi kuacha ila inakuwa FAIR PLAY ALL CARDS ON THE TABLE! ( viongozi wa kidini wangeniona ninavoandika hapaa ningepigwa TOTAL BAN dini zoteee mpaka hinduuu! Hata wapagani wangenitimulia mbali!)

no wasingekuban maana inafik stage wengine hata kwa wasuluhishi wanachokwa
ndoa ni hekma,busara,heshma na uvumlivu wa hali ya juu cause unaishi na mtu ambae mmelelewa tofauti mmoja kusini mwingine kaskazini
so all in all changamoto zipo nyingi tu but zinapaswa kisolviwa kwa hekma sana si kila mtu anaweza kua msuluhishi!
ndoa ni commitment kiukweli kabisa cha msingi na kuomba ni kumpata aliye tayari kujicommit au kama mwenza wako nae ana commitment i hope mtafika tu!
 
SASA MNACHOLIA LIA GENERALISATION IHESHIMIWE NA WATU WOTE NINI??? Au WOTE manake nini? Tulizeni ball kabisaaaaa! Usipoheshimu yako mimi hio watu wote tukuheshimu kama mazombi wakti mwenyewe mufilisiiii mtanisamehe!

Sio maneno yetu, biblia ndo inasema."NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE."
 
Lara 1 naomba sentensi tatu tu...za kunileweshaa kabula sijaa giza SAVANA AAAAAAAAAAA baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii so nisiende kwa ndoaaaa!11
UKIENDA AU USIENDE CHANGAMOTO ZIKO PALE PALE! NOTHONG WILL CHANGE! Maybe tofauti itakuwa UMEHAMA KUSTRIKE UMEHAMIA DEFENCE YA TIMU PINZANI ILA LIGI ILE ILE!
Hamna paradiso kokote, duniani kuhangaika binadamu kaumbiwa!
 
Hahahahaha !!!! Ngoja nikusaidie kumwita mpiga ngoma missneeeddyyyy!!!
uje na tarumbeta loh!!!

hahahahaha tarumbeta linapigwa kwa sababu maalumu afu mpaka tupewe amri na bosi
sijaona mchango wako kuhusu huu uzi hebu tiririka
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom