KILAKA
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 374
- 127
Na nasema hiviii..Ikifikia lara1 anatolewa japo mahari tu,asisitite kutujuza hapa.
Mkuu hii nimeipenda sana!!!
kwa kweli hata mimi ningependa kujua.
Na nasema hiviii..Ikifikia lara1 anatolewa japo mahari tu,asisitite kutujuza hapa.
jibu swali
mkuu huyu kahabakichaa anamaindi eti sura yake mbaya mi mamaake
JIBU SWALI ZANZIBAR BEI GANIIII? Wasikia aibu kusema waigawa bure eeeh! Halooooooo, shoga lanu mie hilooooooo! Wachaaaaa!
Shosti jiandae kesho nakupeleka kwa mwarabu!
Na wanaume nyie MIDUME DADAAAAA! Kwani uongo? Sajo keki ilikukolea eeeh? Hahaaaaaa!Unajua anakera sana! Wakisha ona magumu wanazuga kuponda midemu mingi humu uchuro nyodo sasa...!
Si huko UZRI WAKO, NA BEUTY ILIPOJIZATITI.? Au ?zanzibar ndo wapi ?
Hahahahaaaaaaa! Aoge apunguze harufuuuu na ile Zanzibar anayogawa bila kuoga mbona pasingetoshaaaa? Hahahahahahaaaa!kwamba????? siogagi? kwani nimebishaaaa anti sajo walaaaaa we oga kwa raha zako masaa ishnanne maana shimo lako la taka limejaa taka laini na ngumu hahaha lazima ujiswafi kuvutia wateja competition ni kubwa jitahidi kutaste kila sampuli lol
Unajua anakera sana! Wakisha ona magumu wanazuga kuponda midemu mingi humu uchuro nyodo sasa...!
Sema wewe labda watakusikiaa!Mimi sijaolewa na bado naomba Mungu ila sio ili mradi kuolewa.
Lakini tunayaona jamani...
wanawake tuna makundi meeengi kwenye social networks...
Akifanyiwa jema na mumewe anapost kwa mbwembwe hadi utakimbilia kupiga magoti kumlilia Mungu nami nipe ndoa nifurahi kana naniii...
Yakimkuta sasa utasikia
" Admin naomba usinitaje, nipo kwenye ndoa mwaka wa 3 ila kuna 1,2,3.... "
ukisoma hivyo visa utasema Ee Mungu kikombe hiki kiniepuke.
Sasa huu sio unafiki????
Wanaume mnatetea najua hamjui tunayosimuliwa na wake zenu huko SECRET ROOM.
kumbe bado kama mimi ndo maana nilikudokeza miss chagga nyota yako na yangu 'zimewowana'Hapo hapana hata mimi nakusapoti lazima wajiheshimu na sisi ndiyo tuheshimu
Tobaaaaaaaaa! UNAMGEA HADI MBWA WAKO MWEEEEEEE! Yewiiiiiiiiiiiii, kweli sajo umetishaaaaaa! Mbwa kabisa unamuwekea zanzibar yako afaidiiiii? Khaaaaaa! Nimelulubali!mpuuzi tu namuonganishia mbwa wangu hapa
Tobaaaaaaaaa! UNAMGEA HADI MBWA WAKO MWEEEEEEE! Yewiiiiiiiiiiiii, kweli sajo umetishaaaaaa! Mbwa kabisa unamuwekea zanzibar yako afaidiiiii? Khaaaaaa! Nimelulubali!
MPE TU SI YAKO LAKINI,! Mmmmh! We mtoto nomaaaaa!
Wachaaaaaaa weeee! Eeeeeh! Mbwa anavumiliaSURA YA ZANZIBAR YAKO!? Hahahaaaaa! Usijekungatwa tu kalio na zanzibar yote ikajeruhiwaa! Ponda rahaaaaa, ponda rahaaaaa shosti langu la ukwee hilo! Lipstic niliokipaka mchana urudishe anti sajo sio kujikaushaaaa!ongea bei ya hicho kifunza mbwa wangu amesema sura atavumilia
Mimi yangu nilimaliza jana,hapa kuna mambo mawili ambayo ndo yanafanya kuwe na mkanganyiko,moja ni swala la umri ambalo ndo lara 1 analipigania,lingine ni taasisi ya ndoa kuitwa ya unafiki ng`wana ong`wa kulwa analipigania,kila jambo lina mazuri na mabaya yake,kuna mazuri ya kuchelewa kuoa/kuolewa na kuna mabaya yake hali kadhalika kuna mazuri na mabaya ya ndoa.
Mabaya ya kuchelewa kuolewa hayatufanyi tuwahukumu kwamba ndo mmekosa kabisa na kwamba hamfai,hali kadhalika mabaya ya ndoa au changamoto zake yasiwafanye kuihukumu taasisi hii kuwa ni ya unafiki.Ukweli ubaki kuwa ukweli.
Na wanaume nyie MIDUME DADAAAAA! Kwani uongo? Sajo keki ilikukolea eeeh? Hahaaaaaa!
Na wanaume nyie MIDUME DADAAAAA! Kwani uongo? Sajo keki ilikukolea eeeh? Hahaaaaaa!
I don' t give ----..go ---- urself..Whateveeeer! Leo niko na aunt Sajo special day yake leo! Ila wewe coz nimekuja bila unafiki hunipi shidaaa! I WONT GROW UP, WHAT WILL YOU DO ABOUT IT?
Chief naona uliniita nikajua kutu cha maana , Kumbe ni kwenye mada za hivi vitoto ambavyo hata havijui vinataka nini, don't use ur precious time to argue na hivi vitoto, vimejaa utoto mwingi nlijaribu kuongea navyo nkaona vina uswahili na utoto nkachana navyo, its too low for me , tukutane kesho downtown silver spring kuna deal ya dialysis mahali nkupe mchongo.Acha ushamba na ujuaji wa kitoto kitoto..grow up..do u think he has time for ur fkn crying baby arguments..
kumbe bado kama mimi ndo maana nilikudokeza miss chagga nyota yako na yangu 'zimewowana'
Lara1 ni binti aliyeikosa ndoa, hivyo anajaribu kuwakatisha tamaa wenzake na kuiponda taasisi hiyo!!! Anasumbuliwa na ugonjwa fulani unaitwa INFERIORITY COMPLEX, kama kuna mwanajamvi ana utaalamu wa kisaikolojia amsaidie huyu binti, kwa kweli yupo kwenye hali mbaya sana!!! SHE IS SUFFERING SERIOUSLY.