Majibu kwa lara 1

Majibu kwa lara 1

NDOA INA MIAKA 28, MIMI WA MWISHO NA WATOTO WOTE WAMEZALIWA NDOANI! My motherwas a woman of virtues,

lara 1
mamako amekuwa hero wako kwenye mengi sana!!
umewahi kufikiria kumfanya awe hero.wako kwenye ndoa na mahusiano
anzia uchumba wake mpk kuwalea mwenyewe akimake kwa mshahara na kufuga,bado.mlisoma,mlivaaa,mlikula na aliendelea kutuma nauli kwa mumewe ulaya arudi !
na aliporudi alimpokea!
wana ndoa ya miaka 29 sasa!
aint that lovely ?
 
NOT LIFE MY DEAR PEOPLEEEEEE! UGRATEFUL PEOPLE!
Nilie nje si nakuona UNALIA JAMANI KWA UCHUNGU, KUTUPIGIA SIMU SAA 9 UNADHANI MPANGO, AU KUMPIGIA MAMA SAA 9 UNADHANI FURAHA HIO, MWENYEWE ANA MSEMO WAKE KIMENUKAA KWA NDUGUYO SHOSTI AMAKA TU TUJADILIANE!

So my dear WENYEWE WANANDOA KUITA VIKAO VYA UKOO KAZAA NJE, ANANIPIGA, KAHAMA NYUMBANI UNAFIKIRI HUO UKOO HAUPIGI MAJUNGU? Hahaaaaaaaa!

Wanandoa mna tabia hio mnoooo! Sasa mi ndugu zangu wananijua sikopeshiiii!

Akianza lara na miaka yako 40 fyoko fyoko namuwahiii BIBI KUOLEWA NA HUYO KINGKONG NDO UNAONA UMEFIKAAAAA.? Watoto ushawaharibu sura hao! Au basi na wewe kumpata huyo EMOLO akuoe sinywi maji yakashuka! Au huyo bwana unae mfuga wewe na wa kuni9igia kelele bwana achana na mimi, au siku hizi analala ndani unajitia kuongea nakupa siku tatu usiniamshe saa 9 tukamtafute ma bar! Hahahaaaaaa! I PUT THEM IN THEIR PLACES! THEY CRUCIFY ME I CRUCIFY THEM NGOMA DROOO TUNAHESHIMIANA! The good part haya mambo yanakua yanamla ndani so nikiyaweka mezani aaaaaaah! Kimyaaaaaaa!

KOKOTE UTAKAKO KAA VITA IPO TUNABADILISHA UPANDE TU EITHER DEFENCE AU STRIKER!

Ndio maana nimekwambia ndoa hazifanani... Kila watu na style yao. kama ndugu/ shosti wako anawaamsha matisa ya usiku, ana emoro, kaharibu wtt sijui, ni ndoa yao, siyo zetu. You cannot generalize huo mfano wako kwa kila ndoa.

and, there is nothing wrong with being 40 and single.. as long as you are emotionally and mentally satisfied with your choice
 
NDOA ZA WANAZOJIHESHIMU NDO NITAZIHESHIMU TUUUU HIZI ZA HYPOCRICY MTANISAMEHE BUREEEEEE! Haiwezekani nikutajie the AFTER PILLS afu kesho niiheshimu ndoa yako! Thubutuuuuuu! Au najua kabisaa kimada wako flani niheshim ndoa yajko! Thubutuuuuuu!

Hapo hapana hata mimi nakusapoti lazima wajiheshimu na sisi ndiyo tuheshimu
 
Kinacho ni chekesha kwenye huu uzi watu wana kubali ndoa ni moja ya taasisi zilizo jaa unafiki ndio maana wanataka matatizo yabaki ndani ya ndoa(siri ) na ya siende nje wakimaanisha waendelee kucheka Mbele za watu huku ndani wanaumia na wanapo zidiwa ndio wanasema au mpaka wanapo achana!

Bahati mbaya zaidi kwa sababu wengi wanaolewa ili waonekane wameolewa hivyo hawawezi kusema yanayo wakumba ndani ya ndoa wako radhi kupigwa mpaka wafe Lakini wako kwenye ndoa lakini wataendelea kusema ndoa ni taasisi yenye mazuri tuu na wana kataa kusema yale mabaya hili watu wajifunze.

Ni lazima matatizo yanazo zikabili ndoa yasemwe ili watu wajifunze na wajue kuwa mtu anapo ingia kwenye hasidhani ana kwenda peponi!

Mtoa mada mwenyewe kuanzia paragh alipoanza na neno lakini aMekubaliana na wanao sema ndoa ni taasisi iliyo jaa unafiki!
ndoa ina changamoto, na maisha bila changamono yapo dull. lakini changamoto hazifanani kwenye kila ndoa. utakayemuoa pia, hafanani tabia wala makuzi na mimi.

So, utakapooa utakutana na changamoto zako na utazisolve accordingly. uhitaji kuiga solutions za changamoto za ndoa yangu. Anavyonibembeleza mme wangu akinikosea, haimaanishi na mkeo atakubali kebembelezwa kwa style hiyo hiyo. au nachomfanyia mmewangu, haimaanishi na mkeo atakufanyia, au hata akikufanyia hivyo utaridhika. Subirini, kama mkiingia mtakutana na challenges zenu na mtazisolve kivyenu
 
Hii ni sawa na hadithi ya nyani 'Sizitaki mbichi hizo'
Nyani aliziona ndizi mbivu zilizomvutia zikining'ing'inia juu ya mgomba wake. Akatamani azipatte kwa kuzirukia ili azichume ale. Aliruka mara ya kwanza. Ikabakia kidogo kuzifikia. Akajaribu mara ya pili huku akiongeza nguvu zaidi, lakini kwa bahati mbaya hakuzifikia tena. Akajaribu mara ya tatu, uwezo wake wa kuzifikia uliendela kupungua kuliko hata alivyoanza. Kwa kukata tamaa ndipo akasema 'SIZITAKI MBICHI HIZI' Wenye kujua fasihi wanaweza sasa kumwelewa lara 1 kuandika alivyoandika. Mara nyingi huyu lara 1 huandika juu ya ndoa au wanaume. Mimi nadhani hayo ndiyo anayowazana hulazimika kutumia njia ya kuandika ili kupunguza msongo wa mawazo. Tiba mojawapo ya kukabiliana na msongo wa mawazo ni kuandika.
Ni kweli lakini sehemu kubwa ya maelezo yalikuwa kukandia ndoa! As if anashauri wasiende kwa sababu ndoa siyo.
 
Na mkija kuwaponda single ladies MSEME UKWELI TUNAWAPONDA ILA HALI KULE NAISHIKILIA KWA MAOMBI!

Haina haja ya kupondana,ila pale ambapo wanaenda ndivyo sivyo lazima waambiwe uhalisia wa maisha.Likewise to the married ones.
 
NDOA ZA WANAZOJIHESHIMU NDO NITAZIHESHIMU TUUUU HIZI ZA HYPOCRICY MTANISAMEHE BUREEEEEE! Haiwezekani nikutajie the AFTER PILLS afu kesho niiheshimu ndoa yako! Thubutuuuuuu! Au najua kabisaa kimada wako flani niheshim ndoa yajko! Thubutuuuuuu!

Hahahahaha, likewise to the singles anaejieshimu ataheshimiwa.
 
Waliwaaaaaaaa tuuu weye mtoto wa kiume, wanaume wazuri wawajua pia teeeeeeeh! Wachaaaaa! Mtoto lainiiiii watu wanakufaidii tu! Kantangazeeeeeeeee! GAWA ZANZIBARA HIOO GAWA KWA PROMOSHENI UTUKOMOE SIE WABAYA YAKHEEEEE!

HAHAHAAAAAAAAAA! Wewe tene MOST BEAUTIFUL DUME GELO WA HILI JAMAVI.! Alaaaaaaaaaaa! Tutakupatia wapi sie ! WAPE WAPE VITU HIVO WAFAIDI MALI ZAKO MWENYEWEEEE!

yani ww hasara tupu.
 
lara 1
mamako amekuwa hero wako kwenye mengi sana!!
umewahi kufikiria kumfanya awe hero.wako kwenye ndoa na mahusiano
anzia uchumba wake mpk kuwalea mwenyewe akimake kwa mshahara na kufuga,bado.mlisoma,mlivaaa,mlikula na aliendelea kutuma nauli kwa mumewe ulaya arudi !
na aliporudi alimpokea!
wana ndoa ya miaka 29 sasa!
aint that lovely ?

p

Well she is my and all BUT I HAVE TO DISAGREEE! It waa not a smart move! Maybe because she had two kids, kidogooo naweza muelewa ila angekuwa hana mtoto sidhaniii!

Yale sio maisha ni kusurbive tu! For what? Why should i pay for somebodys else mistake?

29yrs is lovely BUT THE OPPORTUNITY COST IS HUGE MEIIIIIN!

I am sorry but My mom is not my hero! She was too weak, too sweet, too devoted and and IT IANT COOL!
 
Hahahahaha, likewise to the singles anaejieshimu ataheshimiwa.
SASA MNACHOLIA LIA GENERALISATION IHESHIMIWE NA WATU WOTE NINI??? Au WOTE manake nini? Tulizeni ball kabisaaaaa! Usipoheshimu yako mimi hio watu wote tukuheshimu kama mazombi wakti mwenyewe mufilisiiii mtanisamehe!
 
Haina haja ya kupondana,ila pale ambapo wanaenda ndivyo sivyo lazima waambiwe uhalisia wa maisha.Likewise to the married ones.
This is what i call ALL CARDS ON THE TABLE!
 
Kuna mod kilaza, kafuta integral zangu hapa, hivi anajua muda nlotumia kuandaa ile post ili ilete maana na topik hii?
 
Hii ni sawa na hadithi ya nyani 'Sizitaki mbichi hizo'
Nyani aliziona ndizi mbivu zilizomvutia zikining'ing'inia juu ya mgomba wake. Akatamani azipatte kwa kuzirukia ili azichume ale. Aliruka mara ya kwanza. Ikabakia kidogo kuzifikia. Akajaribu mara ya pili huku akiongeza nguvu zaidi, lakini kwa bahati mbaya hakuzifikia tena. Akajaribu mara ya tatu, uwezo wake wa kuzifikia uliendela kupungua kuliko hata alivyoanza. Kwa kukata tamaa ndipo akasema 'SIZITAKI MBICHI HIZI' Wenye kujua fasihi wanaweza sasa kumwelewa lara 1 kuandika alivyoandika. Mara nyingi huyu lara 1 huandika juu ya ndoa au wanaume. Mimi nadhani hayo ndiyo anayowazana hulazimika kutumia njia ya kuandika ili kupunguza msongo wa mawazo. Tiba mojawapo ya kukabiliana na msongo wa mawazo ni kuandika.
Hahahaaaaaaa! NDOA NIMEANZA KUIANDIKA HUU MFUNGO WA RAMADHANI, NDO HAMKALIKI HUMU ILA KAWAIDA MADA ZANGU ZINAJULIKANA SIO ZA SINKI NA DINING TABLE! Hahahaaaaa! Mambo hata ukioga jioni hutoki lea watoto hapo! Hahahaaaa! Na kesho nina mada mpya MPAKA MFUNGO UISHE MMU NI HALALI KUONGELEA NDOA TU!

Hayo mengine ni DUA YA KUKU, MASKINI KUKU AKESHA AKIOMBA, ALIA NA MOLA WAKE, ILA MWEWE MIE NIKISHUKA NASHUKAAA TU KAMA MVUA. KUKU WE OMBA DUA ZAKO WEEEE ILA MWEWE KAMA KAWAIDA KWA RAHA ZANGU HAINIPATI HATA ROBOOOOO!

Tangu lini kelele za chura zikamzuia tembo kunywa maji? Hahahaaaa!
 
Back
Top Bottom