Majibu kwa lara 1

Majibu kwa lara 1

Af hii mada kumbe bado inaendelea? Aah mimi nimezichoka hizi mada jamani
 
sikupata muda wa kusoma ile post ya Lara ya marriage ni unafki institutn..hii ya majibu kwa lara nimesoma ila sio post zote..JAMANI NDOA TSAAAAMUUUU tusidanganyane coz hakuna maisha yasiyo na challenges..nyie mlio single hamgombanagi na boyfriends? hamtendwi? hamuachwi kila siku? na kwanza ukiolewa ni heshima ya mwanamke..tusipotoshane..na ugomvi wa ndoa jamani hatitangazagi kila mahali sio sawa na kugombana na boi/girlfriend unaenda kumuhadithia shost..
 
Ngoja nasubiri atoke huko sijui kwenye kigodoro nakaba mpaka kivuri chake.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.

anazani ndoa simple act hajui pale heshima kuu inaanza tawala kashazoea vigodoro cant blame ila nikiambiwa nimuoe lara bora niweke box nilipe jina latifa kuliko kuka na huyo mfugo unaweza pata murdercase for pulling a trigger
 
Mkuu Eli79 mi ningepa lara 1 aje hapa atuambie (1) NDOA NI NINI? (2) UPENDO NI NINI (3) WATU WANAINGIA KTK NDOA KWANINI (4) NINI SABABU ZA KUIFANYA NDOA KUA NI UNAFIKI? (5) MUNGU ANASEMAJE KTK MASWALA YA NDOA NA UPENDO?

Atusaidie hayo tu machache!

Mkuu umeuliza maswali 'logic' sana ambayo inabidi mtu atulie sana ili atoe majibu. Kwa aina ya majibu ya huyo uliyemuuliza anayotoa sidhani kama atajibu. Huu uzi ulitawaliwa kwa vijembe kama bunge maalumu la katiba, ila kwa jinsi ilivyo, mtu kishasoma na kuelewa tofauti kati ya usiri wa changamoto za ndoa na 'unafiki' wa wanandoa.
 
sikupata muda wa kusoma ile post ya Lara ya marriage ni unafki institutn..hii ya majibu kwa lara nimesoma ila sio post zote..JAMANI NDOA TSAAAAMUUUU tusidanganyane coz hakuna maisha yasiyo na challenges..nyie mlio single hamgombanagi na boyfriends? hamtendwi? hamuachwi kila siku? na kwanza ukiolewa ni heshima ya mwanamke..tusipotoshane..na ugomvi wa ndoa jamani hatitangazagi kila mahali sio sawa na kugombana na boi/girlfriend unaenda kumuhadithia shost..

Waeleze na wewe queen yawezekana wataelewa.
 
Back
Top Bottom