Exactly my point mkuu...!
...Sijui wenye hoja ya kuhusisha NDOA--->UNAFIKI wanaliangalia vipi swala la URAFIKI(NGONO)--->UNAFIKI? Au huo ni unafiki wa waziwazi, mimi sijui. Lakini katika mahusiano yasiyo rasmi kuna UNAFIKI mwingi sana, kutatishana tamaa kwingi sana, kupotezeana mda na malengo. Au kwa vile watu wamejichokea, wametafuta MR/MISS RIGHT na hapatikani ndio maana wameona kurusha mawe kwenye taasisi iliyobarikiwa na MUNGU ndio UNAFIKI.
Lakini pia mkuu
Ntuzu, tuangalie na hisia kwa nyakati tofauti. The same people who criticise marriage leo, wiki/mwezi/mwaka iliyopita walihitaji sana kuwa ndani ya hii taasisi, lakini uwezekano kuwa mambo hayakwenda walivyotarajia kumewakatisha tamaa na wanaona bora wakatishe wenzao tamaa.
"Hata hivyo, ndoa haikuwekwa kwa ajili ya watu wote, wengine watabaki hivyo''