Majibu kwa lara 1

Majibu kwa lara 1

Hahahaaaaaa! NA WEZELE KAJAALIWA SI MASIKHARAAAAA KAMA MUINDI TENA MUHINDI YULE TOLEO LA MWISHO KABISAAAAAAAA! Hahahaaaa! Ndo maana kuchwa kusema wadada àYEYE TENA BEAUTY WA KIJIJI, CUTE WA MTAAA ALAAAAAAAAAA!

Mtoto mashallah...!!
Analipa kotekote..!!!
Nimekuja kwenye kigona cha uruguay...!!#
 
Matatizo ya ndoa kusuluhishwa ndani ya ndoa haliwezi likawa jibu la taasisi ya ndoa kuwa taasisi iliyo jaaa unafiki! Pengine hukuelewa vyema uzi hule.

Sikuona sababu ya wewe kuanzisha uzi huu ulitakiwa kujibu kulekule.

Kwangu mimi sioni ulicho jibu kabisa

kumbe salama lakini ndugu yangu.Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Mtoto mashallah...!!
Analipa kotekote..!!!
Nimekuja kwenye kigona cha uruguay...!!#

Na akome kutuquote mpaka ajue kukata kiuno huyu, na keki nyingine tunamleteaaa ale leo ashibe keki tu
 
Hilo halina ubishiii ANTI SAJOO NDO QUEEN WA MMU, BEAUTY WA KIJI, CUTE WA MTAA, PRETTY WA NYUMBA KUMI, MREMBO KAUMBIKA KILA IDARAAAA! Haya tumpigie makofiiiiiiii,

Bila kusahau huyu SAJO NI DUMEEEE NA MIDEVU YAKE ILA DUME HILI NI DUME DADAAAAAA! Mpo hapo.?

Dume lakini bunduki haina risasi...!!!!!
Piga bastola zzzzzzzzz......!!!!!!
 
Lara1

Bado naona hitimisho lako limepwaya, maana 'hypocritical' ni tabia moja ya taasisi ya ndoa. Ndoa kama taasisi ina tabia nyingi sana, hivyo kuona tabia moja tu na kuhitimisha kuwa baaasi, hivi ndivyo ndoa ilivyo ni kutoa hitimisho lilipwaya sana. Pengine nilazimike kuelewa kuwa tabia hii ya 'unafiki' kwenye ndoa utakuwa umeiona kwenye ndoa nyingi unazozifahamu ambazo nachelea kusema kuwa ndoa zote hizi ulizoziona na tabia hii zinapatikana kwenye mazingira yanayofanana.

Nikushauri uendelee kujifunza tabia zingine za ndoa, pengine utaielewa taasisi hii uzuri tu. Nikuthibitishie kuwa, ndoa ingekuwa na tabia hii pekee, leo hii ingekuwa ni taasisi iliyopitwa na wakati kabisa. Lakini kwa vile ndoa inazo tabia nyingi, na hii ni tabia ndogo sana ya ndoa, sio ajabu ndoa ni taasisi maarufu sana duniani hata leo. Taasisi nyingine yenye sifa hii ya hypocrisy ni taasisi za kisiasa. Lakini umeona zimeacha kuishi? Sababu kubwa ni vile unafiki ni sehemu ndogo tu ya uhalisia. Hivyo, kuhitimisha based on a minute characteristic leaves behind unanswered questions.
Kwa geshima yako nimetoka kwenye kigodorokuja kujibu hapaaa! Okay! What do we have here!

NA KUWA. NA TABIA NYINGI HAKUPOTEZI KWA NAMNA YOYOTE, AU KUFIFISHA TABIA HIO MOJA SUGU NA MAARUFU YA HYPOCRICY! Na hii tabia nimeiona kwenye ndoa za mazingira TOFAUTI TOFAUTI wanachozidiana ni level tu ya HYPOCRICY! Ila HYPOCRICY WAS CONSTANT REGRDLESS DIEFFERENT ENVIRONMENT OBSERVED!

SIJABISHA NA NAKUBALI 100% TABIA ZINGINE PIA ZIPO ADDITIINALY KWENYE HIO TAASISI YA NDOA, LAKI I UWEPO WA HIZO TABIA ZINGINE HAUBADILISHI UKWELI KWAMBA HII TABIA YA UNAFIKI IMO PIA HUMO HUMO! Sasa ukbwa wa hii tabia ndani ya taasisi unategemea ntu na ntu na perception zao. BOTTOM LINE IS IPO IMEJAAA TELEEEEE!

MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION HENCE PROVED BEYOND REASONABLE DOUBT!
 
Nilitoa ushuhuda wa mke wangu kwenye uzii huu moderator wameufuta huoni hata sentesi ya mwisho wameitoa ikaaishia njiani naona ushuhuda wa mambo mazuri hawautaki.

ng`wana ong`wa kulwa sawa mkuu pole mods labda wameona umepemba sana...... au yalikuwa too personal ... isiwe hoja ila ni kutupa tu mwelekeo kwamba kwenye ndoa kuna mazuri na kuyasema any way its okey na pole all good and bad are made for us... okey
 
haya yote yameshashindikana walahi...yaani coment zao walaaa hazinigusi maana wapo wanawake mia ngap hapa wahile mashankupe tu ndio yanayochangia mada.....yapo negative maana hayana ndoa...afu apo yapo bizeee kuhudhuria vitchen party vya mashoga zao jumapili....aibu aibu!!mapaka ya baa hovyooooooo

Umesahau na kucheza kwaito.
 
Na kukata miunooo feni! Haya mrembo sajo OKOTA MAGANDAAA PELEKAA UGANDA YAMEPANDAAA BEI SUKUMIZIWA MDUDE WAAAAAAAAA!

Nani kama mrembo Sajooo? Hakunaaaaaaaaaaaaaaaa!

Atajibeba leo...!!!
amekunywa soda zetu...!!!
Atajibeba leo ...!!!
Amekula keki yetu...!!!
Atajibeba leo....!!!!
Amevaa dera letu...!!!
 
Matatizo ya ndoa kusuluhishwa ndani ya ndoa haliwezi likawa jibu la taasisi ya ndoa kuwa taasisi iliyo jaaa unafiki! Pengine hukuelewa vyema uzi hule.

Sikuona sababu ya wewe kuanzisha uzi huu ulitakiwa kujibu kulekule.

Kwangu mimi sioni ulicho jibu kabisa
Thank you! NO FURTHER QUESTIONS YOUR HONOR!
 
Lara1

Bado naona hitimisho lako limepwaya, maana 'hypocritical' ni tabia moja ya taasisi ya ndoa. Ndoa kama taasisi ina tabia nyingi sana, hivyo kuona tabia moja tu na kuhitimisha kuwa baaasi, hivi ndivyo ndoa ilivyo ni kutoa hitimisho lilipwaya sana. Pengine nilazimike kuelewa kuwa tabia hii ya 'unafiki' kwenye ndoa utakuwa umeiona kwenye ndoa nyingi unazozifahamu ambazo nachelea kusema kuwa ndoa zote hizi ulizoziona na tabia hii zinapatikana kwenye mazingira yanayofanana.

Nikushauri uendelee kujifunza tabia zingine za ndoa, pengine utaielewa taasisi hii uzuri tu. Nikuthibitishie kuwa, ndoa ingekuwa na tabia hii pekee, leo hii ingekuwa ni taasisi iliyopitwa na wakati kabisa. Lakini kwa vile ndoa inazo tabia nyingi, na hii ni tabia ndogo sana ya ndoa, sio ajabu ndoa ni taasisi maarufu sana duniani hata leo. Taasisi nyingine yenye sifa hii ya hypocrisy ni taasisi za kisiasa. Lakini umeona zimeacha kuishi? Sababu kubwa ni vile unafiki ni sehemu ndogo tu ya uhalisia. Hivyo, kuhitimisha based on a minute characteristic leaves behind unanswered questions.

kweli usio na shaka
 
Jana lara 1 alianzisha mada inayosema, wanawake above 30 hata 40 marriage is a hypocrytical institution. Kilichonishitua ni kuita ndoa ni hypocrytical institution tafsiri isiyo rasmi ni taasisi ya kinafiki/unafiki.

Mimi nimeoa na nina mtoto mmoja sikubaliani kabisa na mtazamo huu wa lara 1

Lara 1 ni binti ambaye hajawahi kuwa kwenye ndoa hivyo kujifanya anayajua mambo ya ndoa kwa undani ni uongo,ni sawa na mtu aliyeishia kidato cha sita na kujifanya anajua sana matatizo ya chuo kikuu ili hali hajatia mguu pale.

Anatahadharisha wale ambao ndoa zao zinaonekana ziko vizuri kwa sasa kwamba na wao ndoa zao zaweza geuka kuwa kilio,anasema kwamba kwani ndoa zao zina uspecial upi.

Ukweli ni kuwa ndoa haziwezi kufanana hata siku moja kama anavyotaka yeye ziwe. Si lazima ndoa zote ziwe na migogoro hata kidogo,kuna ndoa zinaanza vizuri zinaishia vizuri.

Zingine zinaanza vizuri zinaishia vibaya,zingine zinaanza vibaya zinaishia vizuri,zingine zinaanza vibaya na kuisha vibaya,kutegemea na wanandoa wenyewe wanavyoendesha ndoa yao.

Anashangaa wana ndoa wa jf hawatoi ushuhuda wa ndoa zao au kuomba ushauri wakati mambo yanapoharibika.kwa vile binti huyu hajawahi kuwa kwenye ndoa sishangai kuona akiuliza kitu kama hiki ndoa ina maadili yake mojawapo ni kutotoa siri nje ya ndoa.

Hii haimaanishi kwamba wafe na tai shingoni kuna taratibu zake akiingia kwenye ndoa ataambiwa ndiyo maana wapo na wasimamizi wa ndoa kuwaelekeza nini cha kufanya.

Lakini hata wale mambo yao yako salama kabisa wanaogopa kutoa ushuhuda wao kuogopa kejeli,dharau kutoka kwa watu wenye mtazamo kama wa huyo dada. Lakini ajue pia walioko kwenye ndoa hasa wanawake wana majukumu mengi ya kifamilia tofauti na walio single.

Anadai kuwa wanawake walioko kwenye ndoa ni wanafiki kwa sababu waume zao wanazini nje ya ndoa na wengine wana watoto nje ya ndoa,wengine hawatoi matumizi nyumbani lakini hawawakatazi,hvyi anauhakika gani hawawakanyi waume zao?

Yeye mwenyewe wapo watu walishamshauri aache tabia yake ya kuchuna wanaume lakini hajaacha lakini si kwamba hajashauriwa.

Anaelekea kuhitimisha kwa kusema ndoa ni safari hivyo wanaofurahi sasa wajiandae kwa lolote mbeleni yaani kufiwa na mwenza,kupata ajali,mwenzi kulogwa.

Hapa amenishangaza zaidi ina maana walio single hawafiwi hata na wazazi,ama rafiki kufiwa ni mpaka awe
Mkuu umeongea sana mkuu kiufupi watu wana stress humu zakupigwa chini mara kwa mara nakukataliwa wakati vikao vya harusi vimeshaanza,watu wana msongo mkubwa wa mawazo mkuu,mtu ashakuwa na wanaume lukuki ila kila akiulizia ndoa jamaa anakata mguu ghafla,sa kwa nini asiwe na mawazo yakuponda ndoa wakati ndoa ni mpango SAHIHI aliouweka MUNGU kwa kila mwanadamu jinsi yakuishi ukishakuwa mtu mzima...binafsi sijaoa ila ninawaheshimu sana nakuwapa pongezi waliopo ndani ya ndoa,matatizo yapo kila mahali na katika mahusiano yoyote hata huku kwa ambao hawajaoa pia yapo ila kitu kinaitwa UVUMILIVU na KUJITAMBUA kwa nini upo hapo ndio silaha tosha yakuishi vyema.
 
Back
Top Bottom