Majibu kwa lara 1

Matatizo ya ndoa kusuluhishwa ndani ya ndoa haliwezi likawa jibu la taasisi ya ndoa kuwa taasisi iliyo jaaa unafiki! Pengine hukuelewa vyema uzi hule.

Sikuona sababu ya wewe kuanzisha uzi huu ulitakiwa kujibu kulekule.

Kwangu mimi sioni ulicho jibu kabisa
 
kwani mi nimebishaaaaa wewe ni mzuri sana hata mi sikupati mtoto unalipa kila idara umekamilika kasoro machine ime expire lol

Jamani kateni kekiiii SAJO KAJILETAAA ASIJETUTOROKAAAA HUYUU
 
Sajo anatafuta kiki ashaipata ye mremboo namba moko wengine wote tupo nyuma yakeee AACHE UMBEAA hajaumba hata mmojaaa mdomo kama kasuku pote pote anataka awepoooo looooo
Hilo halina ubishiii ANTI SAJOO NDO QUEEN WA MMU, BEAUTY WA KIJI, CUTE WA MTAA, PRETTY WA NYUMBA KUMI, MREMBO KAUMBIKA KILA IDARAAAA! Haya tumpigie makofiiiiiiii,

Bila kusahau huyu SAJO NI DUMEEEE NA MIDEVU YAKE ILA DUME HILI NI DUME DADAAAAAA! Mpo hapo.?
 
Thread imeshaisha hii mkuu, mashost wameingia na kigodoro cha kumsuta Mrembo REALITY

Na kule hajaja kajifanya notification hajazionaaz, tunamlisha kekiii na kumuogesha shampein dume zima hovyoo eti wenzie wabayaa,ainame sasa ye mzuriii
 

kama hamtaki ndoa endeleeni kushughuliwa na mijamaa mtakumbuka shuka kukiwa kumekucha.
 
Na kule hajaja kajifanya notification hajazionaaz, tunamlisha kekiii na kumuogesha shampein dume zima hovyoo eti wenzie wabayaa,ainame sasa ye mzuriii
Na kukata miunooo feni! Haya mrembo sajo OKOTA MAGANDAAA PELEKAA UGANDA YAMEPANDAAA BEI SUKUMIZIWA MDUDE WAAAAAAAAA!

Nani kama mrembo Sajooo? Hakunaaaaaaaaaaaaaaaa!
 


hehehe na still una kadi mia za kitchen party apo na arusi....sasa kwa experience yote iyo si uingie na ww ukaumie...maana kilio cha wengi arusi sasaaa...ingia tu mpenz au hamna wakuingia nae..atoke wapi!!!tobaa!!!
 
Nimetoa jibu moja tu elekezi SHOKA MOJA MBUYU CHINIIII!

Huko tushahama mada imeisha lara kigodoro kinaanza upyaa sie tena mama SHGHULII kazi yetu kuwashisha adabu, REALITY A.K.A SAJO WA MMU njoo ule kekiii ulijifanya notification hujazionaa eeeeeeee na badoo
 
Last edited by a moderator:
Wameonaa UNAPOTOSHA UMAA NA MFANO WA KUTUNGA KAMA ULE USIOKIDHI MATAKWA YA JAMII! Hahahaaaaaa! Toa mfano hai usookataliwa na saverza jf!

Nahisi kuna mkono wako kufutwa ushuhuda wa mke wangu kupunguza uzito wa hoja yangu.Ndoa na iheshimiwe na watu wote ukiwemo wewe lara 1
 
Huna ushuhuda sema tu kale kanyama kanakopikiwa huko chini kamekukolea tu;
Na siku ukija kufunguka macho utalia na moyo wako.

Nilitoa ushuhuda wa mke wangu kwenye uzii huu moderator wameufuta huoni hata sentesi ya mwisho wameitoa ikaaishia njiani naona ushuhuda wa mambo mazuri hawautaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…