Mbunge bwana kuwa hata na kadigirii kamoja ingesaidia sana
Nina mashaka na we maana tangu ushindwa vibaya kalenga umekuwa ukitafuta namna ya kuja Mjini umeshindwa
Ukajitaidi kutumia mbinu ya kuja kupitia kusema unaacha bunge LA katiba BADO ukabuma
Sasa umepata mbinu mpya yakuja Mjini karibu ila IPO siku utadaiwa haya yote
Pole sana Kaka Lema tunajuwa kila neno baya juu yako litasema lakini wale wote wenye kuishi kwa matumaini basi tuko pamoja na wewe haya ni majaribu kwako na wanamabadiliko wote;
Imeadhiri uhuru kwetu,Pole sana jembe lema'
una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Mbunge zezeta kabisa huyu jamaa sijapata kuona
Ni hasara kabisa kwa arusha na nchi kwa ujumla.yeye bila kutaja taja udin na kanisa hajiskii raha
Huko bar kulipotokea mlipuko anakotaka kueleka muulize zile picha zake za utupu ataenda kuendelea kuzigawa ili atafute sympathy??
thanks watapigana lakini hawatashinadaNimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .
Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .
Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .
Godbless J Lema
Ile hasara ya magogoni imebakisha Miezi 18 tu.Lema ni hasara kwa taifa
Ndiyo mbinu ya kuingilia Mjini baada ya kipigo cha kalenga hizi damu zitawalilia
thanks watapigana lakini hawatashinada
watashindana lakini hawatashinda
watalipua mabomu kwenye nyumba za ibada, mkituna ya hadhara na kwenye mikusanyiko lakini hawatashinda
wataleta fitina, kejeli and foolish analysis lakini hawatashinda
hii ni kwa sababu upande wetu umetawaliwa na haki, ukweli na uwazi uwajibijkaji na uwajibikishaji pia kwa wale wote wenye njia mchepuko
poleni Arusha but stay cool
ukoo wa mipanya ni marufuku A Town; tawanya hii taarifa hapo Lumumba.Mnapigana mabomu wenyewe
halafu mnaanza kulalamika huku.
Poleni wahanga wote;
wakati mwingine chagueni mbunge wa ccm;
Au niile mbinu ya kupeleka utalii mwoshi mnaendeleza nn??