Mnapigana mabomu wenyewe
halafu mnaanza kulalamika huku.
Poleni wahanga wote;
wakati mwingine chagueni mbunge wa ccm;
sina imani na mbunge wangu, kwanini mabomu yanalipuka sana tokea wewa na chama chako mchukue jimbo???
Mipango ya LEMA na wasaidizi wake,wamepoteza mvuto sasa wanataka huruma kwa wananchi
the big show I like your picture, now that aside, Arusha has RPC, RC and these are the " wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama' if you ask me, they should be kicked out of Arusha and soon !
the big show I like your picture, now that aside, Arusha has RPC, RC and these are the " wenyeviti wa kamati ya ulinzi na usalama' if you ask me, they should be kicked out of Arusha and soon !
Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .
Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .
Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .
Godbless J Lema
tanzania tutashuhudia majanga makubwa zaid kama tutaendelea kuchagua wabunge jamii ya lema
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Mtwara nako anaongoza Lema, mbona mpaka masheikh wetu wanapigwa wakiwa misikitini? Acha chuki binafsi , mbona damu ya Ponda imemwangwa Moro huko ni kwa Lema?Arusha chini ya uongozi wako imeshuhudia umwagaji wa damu na vifo vya kipuuz na visivyo tarajiwa kutokana na aina ya siasa unayoifanya wewe kihiyo
Ni wazi sasa wana arusha wamejifunza kutokana na makosa na kutorudia kufanya selection ya mbunge hopless kama wewe
Ni wazi pia arusha ni kambi ya chadema,basi sio lazima wawape CCM no,wampate mbunge mzuri sampuli hata ya tundu lisu
Lakini si sampuli ya hovyo kama wewe,
Arusha ni mji mkuu wa utalii baada ya zanzibar katika nchi hii,lakin sasa ndan ya uongoz wako sekta yote ya utalii imekufa natural death
Fanya fanya uondoke zako,uongozi chini yako ni laana...