Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Jinsi huyu mongela anavyofanya kwa wachaga wenzangu na kuwatukana ndani ya vikao tumempa muda tu ndio atajua vitendo vyake vya ukabila wanaccm tumechoshwa navyo,huwezi lazima mtu kuipenda ccm kwa uchochezi wa ukabila bali sera madhubuti na kwa hoja nzuri,na kila mchaga au mpare ana uhalali wa kupenda kile anachoona kinamfaa kama mimi nilivyoichagua ccm

arusha tunataka wazawa sasa hivi.. jiji la arusha hamna amani kwa ajili ya vurugu za chadema,,chadema hatuwataki arusha mkuu... au sio mkuu? hahaha
 
Ili uiokoe Arusha Kutoka kwenye haya majanga,nakusihi acha ubunge, wewe ndio Tatizo.
 
arusha tunataka wazawa sasa hivi.. jiji la arusha hamna amani kwa ajili ya vurugu za chadema,,chadema hatuwataki arusha mkuu... au sio mkuu? hahaha
Unatia huruma kwa alichoandika jamaa....kimekumaliza kabisa..haha..umebaki unajichekesha km fisi..
 
Back
Top Bottom