Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

tanzania tutashuhudia majanga makubwa zaid kama tutaendelea kuchagua wabunge jamii ya lema
 
Kileo,lwakatare na ben sa8 ndio wanaohusika, wewe ni msukule tu hujui lolote,unatumika kama ndom unatupwa chooni huna thamani tena. Chopa 3 kata 3 ndio mpango mzima,chadema imebaki arusha mjini tu kwingine tumeshaizika
Sasa wewe msukule, kama waliohusika unawafahamu, kwa nini rais wako kiwete wa akili, policcm, usalama na manyang'au wenzio wote msiwakamate na kuwashitaki ktk mahakama zenu zenye majaji vihiyo? Nini kinawashinda? Au mnataka CDM ndio iwakamate as if wao ndo wenye dola? Akili zingine bwana, yaani nyie ndio mnaoshusha IQ za Watz wengi na ndio maana on average kama Taifa tunaonekana ni watu wenye IQ ndogo chini ya wastani kwa viwango vya Kimataifa! Idiot!
 
Godbless J Lema tunakushukuru sana Mheshimiwa!
Haya sasa kama ulivyokwisha kusema ni majanga tena si madogo ila hakika ni majanga makubwa sana!
Haya yametokea wakati watu wakiwa hawajui hili wala lile.
Serikali sasa iweke mambo ya kisiasa pembeni kabisa na ishughulikie haya majanga yasiotakiwa kuonekana mbele ya Wananchi.
Junakushukuru sana Mh. Godbless J Lema kwa dua zako!
 
Last edited by a moderator:
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.

Nina uhakika pasi na shaka yoyote kuwa hata wewe binafsi unajijua kuwa ni PUNGUANI!
 
Michezo ya chadema inaendelea wanaona chama kinakufa wameanza vioja ili waandikwe kwenye magazeti chadema chama cha ajabu kweli.
 
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.
Inajulikana kuwa haya yote ccm mnafanya ili mpate cha kuongea kwenye kampeni 2015,,na haya mnayo ongea sasa,, lakini ccm mnatakiwa kujua mungu si mjinga kama akili za wana ccm mnavyo dhani mtaumbuliwa mapema sana.
 
Michezo ya chadema inaendelea wanaona chama kinakufa wameanza vioja ili waandikwe kwenye magazeti chadema chama cha ajabu kweli.

Tumia akili hata kama umetoka uliko toka mnduku wewe!!
 
mh.pole kweli ni majaribu ila komaa kwani mabomu ayaanzii Arusha tu,fika wape pole mkuu hospitalini.Arusha ni yako mkuu.
 
Dhambi kubwa inayo watafuna wana Arusha ni kitendo chenu cha kuikataa CCM na kazi zake zote. Mikoa, Wilaya, Kata na vitongoji katika nchi yetu ambavyo vimeapa kutoiacha CCM hadi Kifo wananchi wake wanaishi wa amani mustarehe regardless umaskini wao. Kipi ni bora Umaskini au Maisha?

Wana Arusha - Kosa lenu ni kuikataa CCM na dhambi hii ndiyo inayowatesa na itawatesa.
 
Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .

Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .

Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .

Godbless J Lema
sina huwakika na ubunge wako, tunaomba uwasamee walikuchagua, MBONA SADAKA UMEISHATOA SANA HAWATOSHI? kamwambie mganga wako sifa zimezidi. ukiwamaliza nani atakupigia kura au unasahau unachaguliwa na wananchi na ndio unawatoa sadaka. ukome inatosha
 
Uongozi wa juu wa usalama unatakiwa ufikirie kama kuna uhalali wa vyombo vya usalama vya mkoa kuendelea kuwepo. Tukianzia na mkuu wa mkoa, mkuu wa wilaya. Rpc na wasaidizi wake wa ngazi zote, na pia usalama wa Taifa. Yametokea majanga mengi ya mabomu Arusha na hakuna taarifa ya hata tukio moja.
Kama uongozi wa juu utaendelea kukaa kimya itatulazimisha kuamini hata wao wanajua kilicho nyuma ya huu uhaini na uhuni unaofanywa Arusha.
 
Mbunge bwana kuwa hata na kadigirii kamoja ingesaidia sana

du wewe ndio wale wenye fikra kuwa aliyefika chuo kikuu ndio anajua kila kitu na kuchambua mambo, pole sana badilika, siku hizi uwezo wa kufikiri hata mtoto wa form 2 anakushukia nondo. baki na akili zako kuwa pua ya mzungu ndio inayotoa makamasi meupe, huku ya mwafrika ikitoa meusi. tafakari mfano huo.....
 
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.

Wewe utakuwa na akili NUSU mwenye Gundu ni Kikwete kwani tangu aingie madarakani ndio tumeshuhudia mambo mengi mabaya ambayo yalikuwa hayatokei ndani ya nchi yetu kama vile
1. Watu kutekwa, kuteswa kwa kung'olewa kucha na meno
2. Milipuko ya mabomu
3. Mafuriko yaliyopitiliza
4.Kushamili wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya
5. Balaza la mawaziri kuwa na 80% mizigo
 
Dhambi kubwa inayo watafuna wana Arusha ni kitendo chenu cha kuikataa CCM na kazi zake zote. Mikoa, Wilaya, Kata na vitongoji katika nchi yetu ambavyo vimeapa kutoiacha CCM hadi Kifo wananchi wake wanaishi wa amani mustarehe regardless umaskini wao. Kipi ni bora Umaskini au Maisha?

Wana Arusha - Kosa lenu ni kuikataa CCM na dhambi hii ndiyo inayowatesa na itawatesa.

kwani kilimanjaro miccm inapendwa wapi acha kukalia vitu vigumu
 
Wewe utakuwa na akili NUSU mwenye Gundu ni Kikwete kwani tangu aingie madarakani ndio tumeshuhudia mambo mengi mabaya ambayo yalikuwa hayatokei ndani ya nchi yetu kama vile
1. Watu kutekwa, kuteswa kwa kung'olewa kucha na meno
2. Milipuko ya mabomu
3. Mafuriko yaliyopitiliza
4.Kushamili wauzaji na watumiaji wa dawa za kulevya
5. Balaza la mawaziri kuwa na 80% mizigo

ubongo wako sawa na wa sokwe. wewe + lema wote sawa tu ubongo wa SOKWE
 
du wewe ndio wale wenye fikra kuwa aliyefika chuo kikuu ndio anajua kila kitu na kuchambua mambo, pole sana badilika, siku hizi uwezo wa kufikiri hata mtoto wa form 2 anakushukia nondo. baki na akili zako kuwa pua ya mzungu ndio inayotoa makamasi meupe, huku ya mwafrika ikitoa meusi. tafakari mfano huo.....

ubongo wa kuku una unachokiwaza, ni sawa na mwenyekiti wa chama kukosa ata diploma ya usanii. mwenyeakili timamu ni Zitto aliyejitambua na kuona hawezi ongozwa na kichwa panzi mbowe:baby::smile-big:
 
Mnapigana mabomu wenyewe
halafu mnaanza kulalamika huku.

Poleni wahanga wote;
wakati mwingine chagueni mbunge wa ccm;
 
Back
Top Bottom