Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha . Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari . Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda . Godbless J Lema
Lema wewe ni great person....una mkono wa Mungu, na uwepo wako umetibua sana mipango na kunyofoa mizizi yote iliyojengwa kinyonyaji, kidini, kishetani..na iliyoandalia kummaliza yeyote anyeamka kuondoa huo ushetani.CCM ni shetani..its a matter of time wata collapse kabisa, wanajaribu kutuwekea fear ili tukiwa waoga washinde..ila tukiwa majasiri ..shetan atatoweka ghafla sana. Lema ukabila uliohubiriwa na hawa watawala, wakawafundishwa watu kuwachukia wachaga,na kuharamisha kila sehemu alipo mchaga, na kugeuza hayo kuwa sifa mbaya kwa CDM, udini unaohubiriwa na kufadhiliwa na watawala, na kusingizia CDM..yaani hawana hana ujasiri wa kusimama hadharani kwa mambo waliyoyajenga kwa gharama na mipango ya muda mrefu.NI wazi tupo ktk kipindi kigumu....Ila Mungu atasimama..Mungu anapigana ktk kila front..hata hapo Bungeni Mungu anaonenakana Kupigania upande sahihi.
 
Magari mabovu yanavutana.
 
Lema rocks...si mmemuona hata ktk hiyo mikoa yenu anavyokubalika?
 
Magari mabovu yanavutana.
Mbona hamuongei chochote cha kukemea wapiga mabomu..?Haha...au lengo lengu si usalama ila ni Lema kuondoka?Lema hatishwi na shetani...atakemea pepo,atamwangalia shetani machoni mwenyewe apotee.....si mlimsikia warioba bungeni..alivunja fear na kila kitu kwa hotuba safi..mkabadili mikao, sasa bado mnahangaika, akaja Lissue.bunge likaganda kumsikiliza TBC wakazima...hayo ndio Lema alikuwa kaifanya.
 
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.

Nadhani hilo ni swala la imani yako tu.. Tukianza kuangalia matukio ya "majanga" kuwa yameletwa na watu walioko madarakani tutajikuta tunawaingiza hadi na wale tunaowaheshimu...
 
Call spade a spade hakuna matusi hapo.Ulitaka nikwambieje kwani uwezo wako ndo ulipofikia wa kukejeli waliovuja damu.Nimewauliza nyie wapangaji wa ujinga ndani ya bongo zenu Ars ni nchi?Kama siyo jee mtawala wa nchi hii tumsemeje kwa majanga yanayotokea ktk nchi anayotawala!Je hayo mauaji ya Musoma ni Lema yupo pale!
wewe kweli fa.la. mauaji ya msoma yana historia yake. ni yakiukoo na wala hayajaanza leo japokuwa suluhisho lake liko karibuni. arusha yetu hatujawahi shuhudia upuuzi huu tunaouona sasa hivi chini ya mini kabang.
 
Ni sawa yoote ulosema ila unaweza kufikiri zaidi ukimaliza wakati (perio).Yote ni mauaji ,hivyo mauaji ya historia ndo yendelee ila mapya yanayotokana na CCM ndo ya kupigia kelele.Mi naona ukiacha ile tabia iliyokatazwa Uganda utakuwa na ufahamu uliojivua kwa sababu ya mahaba na ukoo wa panya.Unajua majina mengine huendana na tabia ndo maana jina lako na ufahamu wako vinalandana.
 
Duh..ndio kusema hawa magaidi wa siku zote wameamua tumia bomu la kienyeji kwa vile la kichina liliumbua watu....haiwezekani kuwa ni kisasi cha biashara wapasue bara mbili za karibu, na Bomu sio option ya watu wa Arusha,ambao ni maarufu kwa kutumia mitutu zaidi.....km ni kisasi basi ingetembea mitutu ikinya risasi, na watu wangepekuliwa, na hela kidogo kuibwa ..pengine na mtu kupigwa risasi..km si mhusika.Hapa option inabaki mpiga mabaomu wa kawaida kabadili mbinu..au wale jamaa walio na Obsession ya wanawake wenye makalio makubwa km jila hiyo hiyo bar...m.a...r..a...k..o bar..ila sasa talibani walio na obsession na hao viumbe kwanini wasiende nyingine ambazo kuna biashara kabisa..... ?Tuendelee kufanya uchambuzi.....bado mpigaji wa soweto, olasiti ..ndie suspect wa kwanza, hata reaction yao hainyeshi sana kujali..zaidi ya kuriport na kuanza nyooshea watu wasio na serikali vidole.
 
Ni sawa yoote ulosema ila unaweza kufikiri zaidi ukimaliza wakati (perio).Yote ni mauaji ,hivyo mauaji ya historia ndo yendelee ila mapya yanayotokana na CCM ndo ya kupigia kelele.Mi naona ukiacha ile tabia iliyokatazwa Uganda utakuwa na ufahamu uliojivua kwa sababu ya mahaba na ukoo wa panya.Unajua majina mengine huendana na tabia ndo maana jina lako na ufahamu wako vinalandana.
matausi yanini sasa. si ujibu hoja. kama hoja zimekuzidi kimo unasepakimya kimya badala ya kuanza kutukana humu. binafsi mtu kama wewe nakuona mpuuzi tu kama wapuuzi wengine.
 
Nadhani umeshapat clue nani kafanya ni walewale wameona kutumi aya kichina ni nouma..kwani jeshi likija linaweza to majibu magumu kuficha akina muigulu...yalikuwa maandalizi ya kuwawawahi UKAWA wasiingie mitaani KOVA ndipo atarudi ktk media ..tishio la ugaidi kw ahiyo pasiwe na mikusanyiko.
 
Mbona hamuongei chochote cha kukemea wapiga mabomu..?Haha...au lengo lengu si usalama ila ni Lema kuondoka?Lema hatishwi na shetani...atakemea pepo,atamwangalia shetani machoni mwenyewe apotee.....si mlimsikia warioba bungeni..alivunja fear na kila kitu kwa hotuba safi..mkabadili mikao, sasa bado mnahangaika, akaja Lissue.bunge likaganda kumsikiliza TBC wakazima...hayo ndio Lema alikuwa kaifanya.

lema wana arusha tumemchoka
 
CCM wanapolisi ambao wanafanyakazi kwa faida ya CCM sio wananchi, iko wapi intelejensia ya Adengenye & jeshi la POLISI???
 
Asnte sana Kiongozi wetu unaye tujali na kutupenda.Hii ni mbinu ya ccm ya kutaka kudanganya watu kuwa mabomu siyo kanisani tu na mikutano ya chadema bali ni popote,kazi ya Mwigulu baada ya kutoka china ndo hiyo sijui itakuwaje ila tunamuomba Mungu awadhihirishe na kuwaadhibu hawa watu wanaotaka kuharibu amani yetu kwa kungang'ania utawala

Kweli wewe ni kilaza, acha viroba tumia akili kichanganua mambo na si kushadadia ujinga...
 
tambua hii vita mlionzisha na wachaga inatulenga mpaka na sisi tulio ndani ya ccm,tutapambana na ninyi wahafidhina wa ccm wenye nia ovu na hili kabila na taifa kwa ujumla,ni kiasi cha muda tu

mkuu hiyo vita iishie huku huku!
 
tambua hii vita mlionzisha na wachaga inatulenga mpaka na sisi tulio ndani ya ccm,tutapambana na ninyi wahafidhina wa ccm wenye nia ovu na hili kabila na taifa kwa ujumla,ni kiasi cha muda tu

sisi tunapambana wa wachaga wa chadema wanaotuvurugia mji wetu wa arusha wakiongozwa na chizi lema
 
sisi tunapambana wa wachaga wa chadema wanaotuvurugia mji wetu wa arusha wakiongozwa na chizi lema
Jinsi huyu mongela anavyofanya kwa wachaga wenzangu na kuwatukana ndani ya vikao tumempa muda tu ndio atajua vitendo vyake vya ukabila wanaccm tumechoshwa navyo,huwezi lazima mtu kuipenda ccm kwa uchochezi wa ukabila bali sera madhubuti na kwa hoja nzuri,na kila mchaga au mpare ana uhalali wa kupenda kile anachoona kinamfaa kama mimi nilivyoichagua ccm
 
mkuu hiyo vita iishie huku huku!
Sio rahisi unavyodhani tumeshaanza na huyu mkuu wa wilaya mongela ndio atajuta kututukana wachaga na wapare ndani ya kikao atajua kuwa sisi ndio ccm damu damu kuliko yeye wa juzijuzi,sisi ndio teamlowasa hataamini amuulize mkurugenzi wa meru aliyekuwa anashabikia mambo ya ukabila na ya nasari yuko maswa sasa hivi.sisi sio washabiki wa ccm bali wazalendo wa chama haswa
 
Back
Top Bottom