Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

kwanza: sio mwoshi ni moshi

pili :Lema sio mbunge wa moshi

tatu:Tukio limetokea arusha na sio moshi

nne :Haupo serous thus why unakurupuka na kujibu pumba na pumba yenyewe unakosea spelling

Siyo wachaga wanataka watalii wakishuka KIA waelekee MOSHI ndiyo sehem salama na wanamtumia kijana wao baada ya maandamano siyo mmebadili mbinu kweli au
 
Lema ana akili fupi sana. Yeye kila kitu anawaza siasa tu. Ndiyo uwezo wake wa kufikiri ulipoishia. Shame on you Godbless Lema
 
Ndiyo mbinu ya kuingilia Mjini baada ya kipigo cha kalenga hizi damu zitawalilia
Hivi nyie maccm ni lini mtakuwa na jambo serious?? Hata mahali ambapo damu za watu zimemwagika ma wengine kupoteza viungo badi mnaongea ujinga??? Hapa kuna uhusiano gani na Kalenga?? Ndoo dharau mnazozionyesha kwa Watanzania kwa miaka 53 sasa. Utakuja kuelewa siku ikikipata wewe au mmoja wa familia yako. Stay tuned
 
Mtwara nako anaongoza Lema, mbona mpaka masheikh wetu wanapigwa wakiwa misikitini? Acha chuki binafsi , mbona damu ya Ponda imemwangwa Moro huko ni kwa Lema?

sasa si bora sisi tumepigwa huku tukipigania rasilimali ya taifa

kuliko nyinyi mnapigwa eti kwa maslahi ya lema,kama sio u.fa.la tuite nini??

mnakua kama chanuo..,kazi zake ni mbili tuh kuchana nywelee na kusuka nywelee..

lini mtaanza kujitambua??
 
Kusoma siyo kuelimika!!!Hujawaona ma profesa hata kutawala nyumba kumewashinda?USIWE MTUMWA WA FIKRA
Ingekua kusoma ni kuelimika basi wasomi wasingefanya viroja kipindi hiki cha kuunda katiba. Tunaona wasomi kadhaa wakishindwa hata kutetea maslahi ya nchi zaidi hujifanya vipofu kabisaaaa.
 
Arusha haijawa salama tangu machalii wa arusha wakupe huo ubunge, unajukumu la kujitafakari mwenyewe. kulikoni kipindi chako tu na jimbo lako tu?
Poleni sana waathirika wa haya majanga ambayo kwa upande wangu naona kwa namna moja au ingine siwezi kuyatenganisha na lema.

Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .

Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .

Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .

Godbless J Lema
 
Lema wewe ni laana kwa mji wa Arusha. Umeusababishia majanga ule mji uliokuwa mzuri na hata ukaitwa Geniva of Africa. Huna maana yoyote unapojifanya kuwafariji wanaArusha wakati wewe ndiye muasisi wa siasa chafu za damu. Ula....aniwe Lema.
 
Wewe binadamu unamatatizo makubwa! Nasikia huna mtoto eti Lema ndio kasababisha!
 
hayo ni majambazi yalitaka kupora pesa za mauzo....hiyo bar ni.maarufu kwa jina la makalio bar
 
Mipango ya LEMA na wasaidizi wake,wamepoteza mvuto sasa wanataka huruma kwa wananchi

hayo mabom yamelipuliwa na makamanda wa chadema ili wafanye uporaji baada ya kuthibitiwa wasiandamane
 
Nina mashaka na we maana tangu ushindwa vibaya kalenga umekuwa ukitafuta namna ya kuja Mjini umeshindwa

Ukajitaidi kutumia mbinu ya kuja kupitia kusema unaacha bunge LA katiba BADO ukabuma

Sasa umepata mbinu mpya yakuja Mjini karibu ila IPO siku utadaiwa haya yote

lema wana arusha wamemchoka. anatafuta huruma.. hata alipue jiji zima lazima mwakani ang'oke.. hatuwezi kuongozwa na mbunge dizain yake
 
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.

Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?

Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.

Sasa kama ww unafahamu usalama unavyo fanya kazi c ungekaa kimya!! Usalama gani hapa Tz milipuko kila kona kila kukicha na Tindikali. Mapanga Musoma yamewashinda kazi kufuga vitambi tu!!!
 
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.

Endeleeni tu kulipua watu wasio na hatia ili umsingizie Mh Lema.LAKINI,damu za watu hao zitawalilia hadi vitukuu vyenu!na Kumbuka kila auaye kwa ipanga atakufa kwa upanga

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
We lema nawe huuishiwi viroja?
Ni kweli Bomu limelipuka na watu kujeruhiwa lakini unaposema ni majaribu kwa lema ina maana wewe kila kitu ni siasa.

Acha kujenga picha usiyoiweza tangu lini wewe ukawa Msemaji wa Vyombo vya Usalama?

Lema jiangalie sana
Mambo ya Usalama wa Raia sio wa kuja kubwabwaja huku jamii forums wakati hujui hata 1/3 ya tukio.
Wewe mpuu.zi saana!.. Ulitaka aseme nini?
 
Arusha mmekuwa watumwa na wafungwa wa uhuru na amani lakini haitwafanya muwe wafungwa au watumwa wa fikra na mabadiliko. Napendekeza waziri wa ulinzi ajiuzulu kwa kushindwa kuzima matukio ya arusha kwa mfululizo. wanatuua kwa vitu vyenye ncha kali huku na wao wakifa kwa mafuriko, ajali na maradhi msiogope hakuna atakaeishi milele

Tuko pamoja na nyie Watanzania wa Arusha

Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .

Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .

Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .

Godbless J Lema
 
Wakuu naomba kutoka nje ya mada kidogo nizungumze kuhusu jambo linalotajwatajwa hata kwenye mada hii yaani elimu.
Hivi kweli kuna mtu yeyote anaweza kujisifia kaelimika katika karne hiI hasa kwa wale waliosoma shule na vyuo vya Tanzania na hata waliosoma vyuo vya nje ya nchi visivyo na hadhi ya kimataifa?!

Hivi kielelezo cha usomi ni kubeza na kudhalau wengine ambao unadhani hawakusoma?

Je si kweli kwamba msomi mwelimika anakuwa wa msaada na mwenye kuwahurumia wasiosoma ili elimu yake idhiirike kwa kuwahudumia wasio elimu?

Nakumbuka sana enzi za waliosoma boarding school za kutoka mkoani kwako kwenda mkoa mwingine, wale mabubu wa shuleni tulikuwa tunawatambua wakati wa likizo kijijini kwa mikwara mizito ya kiingeleza fake na u too much know, kumbe likizo ikiisha wanarudia ububu na uzezeta wao shuleni kwao!

Hivyo nawahasa ndugu zangu mnaojinadi kwenye mitandao kuwa na elimu kuna siku akina maxince merro na wenzake watatunga mtihani kwa wana jf ili tuone nani atapata maksi nyingi kuwashinda wengine.
 
Lema, one of the hope less and empty headed in the bunge maalum
 
Wewe mwehu msukule mj.inga nakwambia natamani nikuambie kilicho moyoni mwangu lakini naiheshimu jukwaa langu tu!
huna chochote cha maana cha kusema zaidi ya matusi acha upuuzi. lema ndo mbunge mpuuzi kuwahi kutokea arusha pengine na tanzania kwa ujumla. sio lazima wana arusha mchague chama kingine kama bado mnaipend hiyo chadema-saccos kutoka tengeru basi chagueni watu wenye akili kama akina lisu, mnyika na mdee.
 
Back
Top Bottom