Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Majaribu makubwa mengine Arusha - Lema

Arusha chini ya uongozi wako imeshuhudia umwagaji wa damu na vifo vya kipuuz na visivyo tarajiwa kutokana na aina ya siasa unayoifanya wewe kihiyo

Ni wazi sasa wana arusha wamejifunza kutokana na makosa na kutorudia kufanya selection ya mbunge hopless kama wewe

Ni wazi pia arusha ni kambi ya chadema,basi sio lazima wawape CCM no,wampate mbunge mzuri sampuli hata ya tundu lisu

Lakini si sampuli ya hovyo kama wewe,

Arusha ni mji mkuu wa utalii baada ya zanzibar katika nchi hii,lakin sasa ndan ya uongoz wako sekta yote ya utalii imekufa natural death

Fanya fanya uondoke zako,uongozi chini yako ni laana...

Wewe ni MSIBA wala si majanga kwani mtu hawezi kuongea unayotamka akawa anatembea lazima awe ameoza
 
Duh! Pumba zingine hata haijulikani ni za mpunga au za mahindi...
Kwa hiyo wabunge wanashughulikia mambo ya siasa tu...

Lema kama Lema atafanya nini ili wahusika wote wafikishwe kunakohusika kama sio ushabiki usiokua na mbele wala nyuma?

Lema anaishi kwa matukio tu hawezi kushawishi umma bila kupitia matukio na Maandamano?
 
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.

Mbunge zezeta kabisa huyu jamaa sijapata kuona

Ni hasara kabisa kwa arusha na nchi kwa ujumla.yeye bila kutaja taja udin na kanisa hajiskii raha

Huko bar kulipotokea mlipuko anakotaka kueleka muulize zile picha zake za utupu ataenda kuendelea kuzigawa ili atafute sympathy??
 
Nikikumbuka jinsi katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kilewo alivyommwagia tindikali musa tesha kule igunga, naona hawezi kushindwa kutekeleza hili tukio la arusha, jinsi lwakatare alivyokamatwa na ile video yake akipanga ugaidi hawezi kushindwa kutekeleza hili la arusha. Wanaweza kushirikiana hawa
 
Hii ni mbinu mfu ya kupunguza speed ya kuangalia nondo Za Lisu kwenye mikisanyiko
 
Nchi hii tuna shida kubwa.
Neno maajabu kwako limekuwa siasa?
WTF!

Mnaoshabikia tu hamuwezi kufikiri nje ya box, Maana ushabiki umewafunga macho dhidi ya Uhalisia. pamoja na Dhanio la Lema kulinganisha tukio la jana na la Olasit ikiwa pamoja na soweto, Hakutupi mwanga wahusika ni kina nani sana sana atazidi kujenga fikra potofu.
 
Nikikumbuka jinsi katibu wa chadema mkoa wa kinondoni henry kilewo alivyommwagia tindikali musa tesha kule igunga, naona hawezi kushindwa kutekeleza hili tukio la arusha, jinsi lwakatare alivyokamatwa na ile video yake akipanga ugaidi hawezi kushindwa kutekeleza hili la arusha. Wanaweza kushirikiana hawa

Mm nikikumbuka rais wako na chemba na polic walivyorusha mabomu yote hata hilo ni wao wametuma watu,
Kama hukubalian na mm jiulize kwann? Kikwete hatak kuunda tume ya majaji huru?
Jiulize ww rais wako amehusika tunakila sababu,
Au njoo arusha usema chadema ndo wamehusika uangalia kama hujarud mguu mmoja kule,
Tutakubandua kiboga ile mbaya!!
 
Kileo,lwakatare na ben sa8 ndio wanaohusika, wewe ni msukule tu hujui lolote,unatumika kama ndom unatupwa chooni huna thamani tena. Chopa 3 kata 3 ndio mpango mzima,chadema imebaki arusha mjini tu kwingine tumeshaizika
 
Nimepata taarifa jana ya mlipuko wa Bomu uliotokea Arusha katika Bar ya Arusha Night Park , taarifa niliyoipokea inasema baadhi ya Watu wameumizwa vibaya sana lakini hata hivyo bahati nzuri mpaka sasa sijapokea taarifa ya Binadamu aliyepoteza maisha .

Maisha yanaendelea kuwa magumu katika fikra za Watu kwani milipuko kama hii ilianzia Kanisani halafu ikafuata katika Mkutano wa hadhara wa Chadema na sasa ni kwenye Bar za Pombe , sijui ni nini kinaendelea Arusha , lakini ni vyema muda wa kutafakari ukaongezewa nafasi . Kama Mbunge sina neno zaidi mpaka nitakapokuwa nimefika Arusha leo nakuona na kutafakari .

Poleni sana Familia zote zilizofikwa na majanga haya nawaombea kwa Mungu huku nikitambua mashaka makubwa ya Watu wote wa Arusha . Majaribu haya ni makubwa lakini kwa Dua na Sala mtashinda .

Godbless J Lema
Lema,

Siyo kila tukio Arusha unalichukulia mitizamo ya kisiasa Arusha kuna uhalifu sana inawezakana tukio hili likawa la uhalifu unaposema majaribu makubwa unakuwa unajichanganya jipe muda fuatilia kwa makini ndiyo utoe tamko lako.
 
Una gundu tangu uwe mbunge arusha imekuwa ya majanga tu! Wewe ni mbunge wa majanga, fikiria tangu kipindi kile cha maandamano watu wengi wamepoteza maisha na wengine ni vilema wa kudumu.

Huwezi kuandika utani kwenye suala serious kama hili.
 
Back
Top Bottom