Majambazi yanatikisa kariakoo

Majambazi yanatikisa kariakoo

Mi ninachopenda kujua ni hawa majambazi hizi silaha nzito ya kivita wanazitoa wapi? Ama ndio hao hao walioko serikalini ndiyo wanawapatia kwa kazi zaidi!
 
baada ya kusubiri hizo benki kurudisha faida kwa jamii kama wanavyodai sikuzote wao wameamua kuchukua hiyo faida wenyewe kabla hawajapewa.
 
Mi ninachopenda kujua ni hawa majambazi hizi silaha nzito ya kivita wanazitoa wapi? Ama ndio hao hao walioko serikalini ndiyo wanawapatia kwa kazi zaidi!p

Muulize yule waziri mdogo wa ccm aliyelizwa na dada mjasilimali wa morogoro, si alikuwa nalo la kivita pia!!??
 
Mi ninachopenda kujua ni hawa majambazi hizi silaha nzito ya kivita wanazitoa wapi? Ama ndio hao hao walioko serikalini ndiyo wanawapatia kwa kazi zaidi!p

Certainly from DRC, Somalia and Burundi through our poorly managed country borders.

If you work and live in Dar through out this may be difficult to comprehend.

More resources in form of personell and equipment are required to secure our borders.
 
TAARIFA ILIYOIFIKIA GLOBU YA JAMII
HIVI TOKA TOKA MAENEO YA KARIAKOO
JIJINI DAR ES SALAAM ASUBUHI
HIII,INAELEZA KUWA WATU WAWILI
WAMEPOTEZA MAISHA NA MMOJA
KUJERUHIWA MGUUNI BAADA YA
MAJAMBAZI KUVAMIA GARI MOJA DOGO
LILILOKUWA LIMEBEBA HELA AMBAZO
WALIKUWA WAKITAKA KUZIIBA.
MAJAMBAZI HAO WALIFANIKIWA
KUMUUA MMILIKI WA GARI HILO PAPO
HAPO BAADA YA KUTOKEA
MALUMBANO,WAKATI WALIPOKUWA
WAKITAKA KUFUNGULIWA GARI HILO
HUKU YEYE AKIKATAA.
NA WALIPOFANIKIWA KUCHUKUA HELA
HIZO WAKAWA WANAKIMBIA HUKU
WANANCHI WENYE HASIRA
WAKIWAKIMBIZA NA NDIPO MAJAMBAZI
HAO WALIPOAMUA KUANZA KUPIGA
RISASI HOVYO NA KUMKUTA MTU
MMOJA KICHWANO AMBAYE NAE
ALIPOTEZA MAISHA HAPO NA MWINGINE
KUJERUHIWA MGUU.
JESHI LA POLISI LILIFIKA ENEO LA TUKIO
NA KUANZA KUFUKUZANA NA
MAJAMBAZI HAO AMBAO WALIFIKA
SEHEMU NA KUZITELEKEZA HELA HIZO
NA KUINGIA MITINI.
GLOBU YA JAMII INAENDELEA
KUFUATILIA JUU YA TUKIO HILO NA
TUTAKUWA TUKIPEANA TAAFRIFA KADRI
ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA.

Source: issamichuzi.blogspot
 
Wanaiba pesa nyingi namna hiyo hawajui mwisho wa dunia ni wiki hii!! Why kujichumia dhambi kwa pesa ambayo hautaweza kuitumia. Soo sad!

laughing.gif
 
Mi ninachopenda kujua ni hawa majambazi hizi silaha nzito ya kivita wanazitoa wapi? Ama ndio hao hao walioko serikalini ndiyo wanawapatia kwa kazi zaidi!p

Burundi na Congo DRC wale wa M 23 wanazipata wapi?
 
Back
Top Bottom