Majambazi yanatikisa kariakoo

Majambazi yanatikisa kariakoo

Ni wale ndugu zetu wanajiandaa kwenda Xmas ushagoo..na hawataki kwenda mikono mitupu. Kazi ipo..eeeeh Mola mwingi wa huruma na rehema tuepushe na hawa watenda maovu.
 
Du mwisho wa mwaka huu jamani Mungu atunusuri na majanga manake kipindi wezi wanatafuta hela ya sikukuu
 
Du Aiseee Hatari sana wazee wa kazi(Majambazi) nomaaaaaaaaa,Hiyo ni racket watu washachonga ndio maana ukitaka kufanya any deal inatakiwa uwe makini sana,kama unaenda bank waambie hao watu unaofanya nao utatoka saa 3 asubuhi kumbe ulifika tangia jana au nitatumia morogoro raod kumbe unapitia ali hassan mwinyi road na pia kama ushazoe gari lako basi badirisha tumia hata bittle ili mradi uwapoteze directions
 
Mtu m1 amekufa katika jaribio la kupora fedha zilizokua zikipelekwa benki Kariakoo souce... ITV BREAKING NEWS 12:00
 
Jambazi aliyekamatwa ana 24 years anayefahamika kwa jina la Haleluya
 
Hao majambazi wapuuzi sana sijui wametoka wapi unaenda kuiba kariakoo katikati utoke salama.
 
Jambazi aliyekamatwa ana 24 years anayefahamika kwa jina la Haleluya
Du ni kweli hii X-Mas inawasababisha hawa kina Haleluya kufikiria kwenda Mgombani tu na magari ya anasa
Huu Mchoro ni mtu kauchora toka Dukani kuwa unafanyika kila siku na akauuza au akaufanya na tayari umeshabumbuluka kila kitu kiko wazi sasa
 
Jambazi aliyekamatwa ana 24 years anayefahamika kwa jina la Haleluya
Aiseee!!! Haya..Amen.
Maisha yamebadilika sana siku hz....serikali na jamii kwa ujumla iangalie upya suala la kutengeneza ajira kwa Vijana. Miaka 24 ni nguvu kazi ya Taifa.
 
Wanaiba pesa nyingi namna hiyo hawajui mwisho wa dunia ni wiki hii!! Why kujichumia dhambi kwa pesa ambayo hautaweza kuitumia. Soo sad!
 
Pesa za waharamia, jamaa angu ananiambia majamba... majambazi yamesepa na mshiko wa maharamia
 
Back
Top Bottom