Majaliwa apiga marufuku matumizi ya ving'ora na vimulimuli barabarani kwa madereva wa magari ya serikali

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli

Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika?

----
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka madereva wa magari ya Serikali kutojihusisha na matumizi ya ving'ora na vimulimuli bila kuwa na maelekezo maalumu, kwa lengo la kuondoa migogoro wakati wa matumizi ya barabara.

"Wengine wanajiwekea ving'ora bila kuwa na ruhusa ya kutumia, na wengine hata vimulimuli ilhali vimulimuli vimeelekezwa kwa watu maalumu. Lengo ni kuondoa migogoro ya barabarani, ambapo kila mmoja anaonekana kuwa na haki sawa," amesema Waziri Mkuu Majaliwa.

Ameyasema hayo katika kongamano la nne la madereva wa Serikali, lililofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma, leo Septemba 2 2025.

Aidha, amewataka madereva hao wa Serikali kuepuka matumizi ya namba za magari zisizo halali na kuongeza umakini katika kazi zao ili kuepusha ajali.
 
GzwfbdcWwAA_d0l.jpeg
 
IMG-20250902-WA0062.jpg
 
Back
Top Bottom