Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,621
- 10,843
Nimeshindwa kwakweli acha nishuke huu mtumbwi wa vibwengo
.Hii chai wanyweshe wanao
Pengine ana jaribu kutaka ku establish cause of action.lakini kaishia kuleta mambo ambayo ni unnecessary mengiKiini Cha story yako n nn
Kwanin usilete summary fupi Kwamba aukiaribuje
Mamb ya kuanza kuongelea vidato haina maana kbsa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Anaandika mambo mengi ya siyo na msingi hiyo Mass Communication aliyosoma sijui imemsaidia nini.Pengine ana jaribu kutaka ku establish cause of action.lakini kaishia kuleta mambo ambayo ni unnecessary mengi
Kweli mkuu hii summary inatakiwa airudie maan imekosa mzuka kabisa,, na story ikiandikwa in deep inakuwa na mafunzo mengi ndani yake sio kuhuzunisha na entertainment nynginezo pekee.Elezea matukio in details bro hao wavivu wa kusoma achana nao hawajalazimishwa kusoma. Hii summary imekosa hook kabisa.
Acheni unafiki, kwann msingemsema kulekuke kwenye uzi wake?, mpka mje kumteta huku🚮🚮🚮🚮Yule Dogo kiazi sana yaani
💪💪💪Sikupingi tunajionea sasa tulivyokua na familia..na always huwa nawaambia watt ni baba ndo katoa ada..ni baba ndo kawanunulia hiki mumwambie asante wasije baadae waone mimi ndo nafanya kila kitu..ni kitu muhimu hii...
We boya kweli, huenda hakuwa baba Yako originalAh wapi.... mimi mwenyewe nimepitia hiyo, mama ndo alikua kila kitu, na alikua hasemi ila mtu ukishafika sekondari unaona yanayoendelea.
Uzuri mshua alifariki muda ambao tunamuhitaji wanae wote lakini cha ajabu maisha hayakuyumba kiuchumi hata kidogo zaidi zaidi kelele zilipungua.
Kuna wababa kweli wapo wapo tu na wamama wa zamani hawakua type za kuomba talaka wanavumilia.
Hiyo pia imenifanya niweze kujijengea mentality na juhudi ya kuwa vema kiuchumi mapema ili chochote kikitokea kwenye familia ugonjwa, kifo au talaka wanangu wapate huduma ile ile
pole sana08November 2022 , nilimpoteza mama yangu mzazi, maumivu yake hayazoeleki.
Nimesoma nilipofikia hicho kipengele mama yako alipoanza kuumwa nikaanza kujilaumu kwanini nimeusoma huu uzi.
NAUMIA.
Pole sana08November 2022 , nilimpoteza mama yangu mzazi, maumivu yake hayazoeleki.
Nimesoma nilipofikia hicho kipengele mama yako alipoanza kuumwa nikaanza kujilaumu kwanini nimeusoma huu uzi.
NAUMIA.