Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

Nakupa elimu ndogo kabisa, Ni baba yenu ndie alikuwa anatafuta hela za kuwalipia ada shuleni, nguo, chakula, n.k. mama yenu alikuwa anapewa ila mkimuona anavyowalipia / kuwapa mnadhani ni zake.

Nani kama mama ni misemo ya watoto / vijana ambao bado hawana familia zao kujua mfumo kamili wa jinsi mambo yanavyokwenda
uncle upo sahihi sana mkuu wengi hawalijui hilo huishia kuona mama ndo kawasomesha
 
mihangaiko na maumivu wanayopitia kina baba for the sake of the family ni mizito sana pengine inawaathiri kisaikolojia kupelekea hata watoto kuwaona ni wakali,

Mama anakuwa na muda wa kuwepo nyumbani awepo na watoto sababu baba anatafuta nje, Baba akishatafuta anampa mama hela, watoto wanatafsiri vibaya kwamba mama ndie anawajali saabu yupo nao muda mwingi na wanaona pesa wanazopewa zinatoka kwenye mkoba wa mama
mkuu mimi nishawaambia watoto wangu mwenye shida yyt alete kwangu moja kwa moja.. na washajuwa bila mkulungwa hakuna kinachoendelea! huu ujinga wa mama mama kwangu haupo
 
Baba kukimbia majukumu nalo sio suala la kuhitimisha haraka, huenda kuna sababu kama

1. Watoto sio wa kwake
2. Mama anamzuia baba asiwe karibu na watoto huku akiaminisha watoto uongo
3. Mama alikimbia na watoto na baba bila mawasiliano
Kwamba hakuna kina baba wanaotelekeza familia kwa ujinga na ubinafsi wao wenyewe kila baba anayetelekeza watoto basi chanzo ni mama tu
 
mihangaiko na maumivu wanayopitia kina baba for the sake of the family ni mizito sana pengine inawaathiri kisaikolojia kupelekea hata watoto kuwaona ni wakali,

Mama anakuwa na muda wa kuwepo nyumbani awepo na watoto sababu baba anatafuta nje, Baba akishatafuta anampa mama hela, watoto wanatafsiri vibaya kwamba mama ndie anawajali saabu yupo nao muda mwingi na wanaona pesa wanazopewa zinatoka kwenye mkoba wa mama
Unaziongeleaje na zile familia ambazo baba na mama wote wanasaidiana na majukumu ya kutafuta na kuwahudumia watoto
 
SEHEMU YA 11

Tulipoishia

Majibu ya mama mchungaji yalitoka na alikua amechaguliwa kujiunga na chuo cha Mara kule. Hivyo alitakiwa akasome diploma yake huko.
Kwa upande wangu nilikua nishakua na ujanja ujanja wa chuo, nishajua kuvaa kama mwanachuo na nilishanunua smartphone HUAWEI Y300 kama sikosei.

Tuendelee sasa…

Mama mchungaji alifanikiwa kuja Mwanza ili aelekee mkoa wa Mara kwa ajili ya kuendelea na masomo.

Wakati huu mimi nilikua mwaka wa 2 na nilikua nishaanza mahusiano na binti mwingine pale chuoni.

Mama mchungaji alikuaja na mimi ndo nilienda kumpokea pale Nyegezi. Lakini wakati huu sikuwa nikimpenda na kumjali tena kama zamani.
Wakati niko sec year nilishaanza kukaa mwenyewe bila mate. Hivyo haikua shida kwa mama mchungaji kuja kukaa nnapokaa. Sijui ni nini kiliniingia kichwani mara baada ya kumpokea mama Mchungaji na kukaa nae kwa masaa kadhaa nilimwambia ntaenda home kwa mzee then ningerejea baadae lakini kiukweli sikua na plan ya kwenda kwa mzee.

Nilikwacha ndani nikaenda kwenye mambo yangu na siku hiyo sikurudi pale hostel kwangu. Mama mchungaji alilala peke yake pale huku akinitumia sms nyingi tu za kuniuliza narudi saa ngapi.

Kesho asubuhi nilirudi na alitakiwa kwenda chuo siku hiyo. Nilimsindikiza hadi Buzuruga na tukaagana pale akaondoka.
Baada ya kufika Mara sikuwa na mawasiliano mazuri na yeye kwani nilikua busy na mwanamke mpya niliyempata chuo .
Ikumbukwe hali ya kiuchumi ya Mama mchungaji na kwao kiujumla haikua nzuri na alihitaji msaada wangu sana.
Aina ya maisha aliyopitia kule Mara ingekua ni mimi nisingemaliza chuo, au nisingefaulu kabisa.

Mama mchungaji alishindwa kulipa kodi kwa muda mrefu sana hadi ikafikia hatua mwenye nyumba akamruhusu kukaa bure maana alikua anaona hata kula yake tu ni tabu. Familia yake ni kama ilikua imemtelekeza. Kuna siku amewahi niomba just elfu 5 akaprint assignment ila sikuweza kumsaidia kabisa. Alishaniomba msaada mara nyingi lakini sikuwa na msaada kwake.

Mapito aliyopitia kule mkoani Mara yalikua mazito mno lakini mbali na yote hakuacha kunipenda wala kunitafuta. Maskini mtoto wa watu kuna muda alilazimisha kuja Mwanza ili angalau anione lakini niliishia kumwacha tena ndani kwangu na sikurudi siku 2 hadi pale alipoondoka. Sijui ni nini kilikua kimeniingia lakini nilijikuta sitaki kuwa naye karibu.
Ili siku nilimwacha siku 2 ndani hadi akaondoka nakumbuka alinitumia ujumbe mrefu sana wenye kuonyesha ana maumivu kiasi gani na aliahidi kutokanyaga tena kwangu.

Nilirudi hostel kwangu na maisha yakaendelea huku nikiwa na mahusiano mapya na Binti flani wa chuo.
Mawasiliano na mama mchungaji yakakata na kuna siku nilipost picha instagram nikiwa na huyo binti wa chuo.
Mama mchungaji aliona na akanitext “Hii ndiyo sababu umeniacha na kuona sifai?” Mi sikumjibu kitu na maisha yaliendelea.

Kwa tabu sana Mama Mchungaji aligraduate, wakati huo mimi nilikua third year. Wakati anatoka Mara kuja Mwanza alinitafuta akanambia amefikia Lodge flani (iko karibu na stand) aliniomba niende kumwona. Na wakati huo kwakweli nilikua single kwani yule Binti tulikua tushaachana.

Nilienda kumwona Mama Mchungaji na kiukweli aliniuliza maswali mengi ambayo sikuwa na majibu zaidi ya kusema sorry.
Tuliongea sana na alinisamehe na alinitunuku tunda.
Lakini safari hii naona ilikua tofauti, alikua amekua na ka uzoefu flani ambako sijazoea kutoka kwake.
Ilibidi nimwambie “Naona umeamua kunicheat” na nilikua na hasira kwakweli. Alinambia ndiyo nilikua na mahusiano mengine baada ya wewe kutokua na muda na mimi tena. Alianza kulalamika sana na akadai hakumpenda yule mwanaume ila alikua anatafuta faraja tu baada ya kuikosa kwangu, akaongeza kuwa mwanaume yule alikua akimsaidia kidogo matumizi kwani hakuwa anapewa pesa yoyote kwao.
Nilijisikia vibaya sana na nikajiona mkosefu sana lakini sikuwa na namna yoyote.

Asubuhi mama mchungaji alisafiri kuelekea mkoani Shinyanga huko alikua na ndugu yake na alisema atakaa kwa muda kidogo akiwa anahangaika kutafuta kazi kwani asingeweza kurudi kwao, alishachoka na hekaheka za mama wa kambo pale kwao, pia alisema mdogo wake wa kike alipata mimba na kajifungua mtoto na wote wako palepale kwao. Hivyo aliona hawezi kurudi tena kwao Tukuyu.

Mimi nilimwambia sawa na nikaahidi kujirekebisha. Nilirudi chuo na maisha yaliendelea.

Wakati niko third year tuliandaa party ya welcome 1st year na hii ilinipa nafasi ya kuwa karibu na binti mmoja (Tumwite Nelly).

Mama mchungaji alifanikiwa kupata kazi baada ya miezi miwili tu, kuna nafasi zilitangazwa na almashauri ya manispaa ya Shinyanga. Alifanikiwa kufanya interview na alipita (alikua na ufaulu mzuri sana).
Mama mchungaji alipata kazi kama afisa mtendaji wa kijiji huko Kahama ndani ndani.

Maisha yangu chuo yaliendelea lakini kutokana na aina ya maisha niliyokua nikiishi, pesa ilikua haikai hivyo nilikua mtu wa mizinga sana hasa kwa Kaka zangu na watu wengine wa karibu.
Ilifika hatua nikawa nampiga mizinga Mama Mchungaji na kiukweli hakuwahi kuninyima pesa.
Mama mchungaji ndo akawa ananibust elfu 20 hizi au 30 mara nyingine hata 50k licha ya kuwa na mshahara mdogo.

Kwakweli sikuwa najisikia vizuri namna nilivyomfanyia alafu bado binti ana upendo wa namna ile kwangu.

Sasa kama nilivyosema niliingia kwenye mahusiano na binti mwingine ambaye ni Nelly. Nelly alikua binti wa mambo mengi, mwenye kupenda fame, kuendeza pamoja na show off.
Nilivyofika 3rd year niliigiza movie flani chuo na ndio nilikua main character then nikamvuta Nelly akawa mwigizaji pia. Mahusiano yetu yalikua na drama nyingi ma show off sana.

Mama Mchungaji aligundua nna mahusiano mengine na this time aliamua kuachana na mimi jumla jumla.

Niseme tu kama kuna mtu muhimu nilimpoteza ni mama mchungaji. Natamani kuelezea namna nilikuja kupigwa na kitu kizito na huyu Nelly lakini naona ntakua nazungumzia mapenzi sana kwenye huu mkasa.

So sitomgusia Nelly wala mwingine, ntaruka moja kwa moja hadi kwenye maisha baada ya chuo ambapo ndio chanzo cha kuandika story yangu hapa.

TUTAENDELEA leo leo

Nasoma maoni
 
Polee Sana..

I can Feel your pain Through Narrative Words..
Polee sana..
Umenikumbusha Nilivompoteza baba Yangu..
Maumivu ya kupoteza mzazi ambaye pia ni Rafiki yako na anayekuelewa Nayajua vizuri..

Maumivu hayo yalinichukua Muda sana kukaa In Normal States. Sikuwa naamini Kuwa Dunia ni Kitu halisia nilihisi Ni Illusion tu..

Nilikosa huruma,Nilipoteza Muelekeo Ilinichukua Miaka minne Kurealise kwamba Kila kitu Kinapangwa na kinatokea kwa Sababu..

Through nakukumbuka Mzee wangu ila umenifunza Vingi sana Baada ya kifo chako..
Uendelee kupumzika kwa Amani
It's touching,
Nili mpoteza dada angu first born wetu ndio kwanza alikua ameanza utumishi serikalini...

Alikua na umri mdogo na hakua na familia nilikuaga na Imani kua kwenye familia yetu hakuna mtu yeyote anae weza KUFARIKI DUNIA

Aliugua gafla na ndani ya week tukawa tumempoteza dada tangia kipindi icho sikuwai kumuona baba mzazi akiendesha gari lake tena na nikili kua baba alimpenda sana DADA etu kuliko hata watoto wake WOTEEEEE maana dada alikua ni kiongozi wetu na inspiration kwetu

Nilipo pata taarifa ya msiba siku Amin maana niliamini familia yetu Huwa hatufariki...Jeneza lake lilipo letwa kuagwa nyumbani kwetu kabla ya safar still sikuamin WAKATI wa kuuaga mwili nilipo fikia jeneza na kuona dada kalala mauti

Nikaenda pembeni nikawa nalia sana Kwa kwikwi na uchungu mkuu watu na NDUGU ZETU wakanifuata na kunikemea sana wakasema WANAUME HUWAGA HAWALII KAMA WATOTO...

Icho kitu Cha kukatazwa kulia hadharani kilikua kibaya sana ikawa nalilia moyoni...WADAU USIOMBE KULILIA MOYONI inaumizaa sanaa

Hadi jeneza Lina fukiwa chini Mimi sikua na amini niliona ni ni ndoto tu.........

Niliacha kusali na kumkufuru MUNGU na kufuru nyingi nilikua nasema MUNGU hayupo..

Miaka ikapita nikaja angalia muvi ya MASWAHABA WA MTUME MOHAMMAD: VIJANA SABA WA PANGONI

Hiking kisa Cha MASWAHABA WA MTUME MOHAMMAD VIJANA SABA WA PANGONI kilinifundisha sana sana

Japo Mimi ni mkristo nikaweza kuachilia Kifo Cha dada etu nashukuru MUNGU alinisaidia STILL tunamuenzi dada yetu..
 
Tugusie pia kwa ufupi kuwa Nelly alikuja kukufanyaje
 
Polee sana Mkuu!
Naamini umelipita Hilo..pole sana

Japo kisa cha vijana saba wa Pangoni ni kisa cha Dini zote sana sana wakristo japo waislamu walikihodhi ila kinahisika na ukristo
 
Aisee pole sana jamaa
 
Nimeipenda hii 👇👇

Dokta ukisema kinahusika na wakristo unafeli sana, je kwanini nasema hivyo?

Ile ni semina kwa wanadamu wote kuonyesha kuwa watu watakuja kufufuliwa na kuhukumiwa siku ya kiama kwa matendo yao,kulala kwao miaka 309 kisha kurudishwa hai ni funzo kubwa sana.

Lkn pili ni kuonyesha kuwa sisi wanadamu tunatakiwa tusimshirikishe Mungu bali tumwabudu Mungu mmoja tu.

Kwahiyo haijalishi ukristo au uislamu au ubudda kubwa aabudiwe Mungu mmoja tu
 
Nimependa sana hili jibu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom