pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Kaandamane
Ameandika million mbili (2,000,000) siyo lk mbili ndugu yanguPole sana.kuna wengine wana matatizo zaidi kuliko wewe.punguza misaada. Jiwekee malengo. Hiyo hiyo laki mbili ipunguzie matumizi .kama unaweza biashara fikiria unachoweza ili ufanye na huku una kazi yako.nina rafiki yangu mshahara wake ni chini ya huo ila yeye ni mpishi Wa keki ilimchukua miaka 8 kuweza kujenga kisehemu kununua vifaa na kuajiri mtu Wa biashara hiyo ya keki.maana alidunduliza miaka yote. Usiwe na haraka ukajihisi umechelewa.
Pole sana mwanandugu.Ndugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani
Ni 2,000,000 sio 200,000Pole sana.kuna wengine wana matatizo zaidi kuliko wewe.punguza misaada. Jiwekee malengo. Hiyo hiyo laki mbili ipunguzie matumizi .kama unaweza biashara fikiria unachoweza ili ufanye na huku una kazi yako.nina rafiki yangu mshahara wake ni chini ya huo ila yeye ni mpishi Wa keki ilimchukua miaka 8 kuweza kujenga kisehemu kununua vifaa na kuajiri mtu Wa biashara hiyo ya keki.maana alidunduliza miaka yote. Usiwe na haraka ukajihisi umechelewa.
pole mkuu achana na waombezi piga magoti umwambie mungui shida zako mwenyewe, maneno tunenayo sisi yananguvu kuliko yale ya kuombewa,Ndugu zangu,
Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2,000,000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.
Sijui nifanye nini.
Kuna mada za Jamii na Video za ufahamu ndani ya tHL app ambazo zimewasaidia wengi wenye shida kama ya kwako. Jaribu kusikiliza hizo video na soma makala za Jamii ndani ya hiyo app zitakusaidia.Ndugu zangu,
Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2,000,000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.
Sijui nifanye nini.
Njoo pm tuyajenge nkuelekeze chaka moja hivi liko poa sana,ila ye anatumia kitabu hatumii miziziNdugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani
Kujiua sio jambo jepesi kama unavo dhani pia hakutakupatia matokeo chanya kama uzaniavyo!Ndugu zangu,
Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2,000,000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.
Sijui nifanye nini.
Chumvi ya mabonge ndo ipi?Chukua chumvi ya mabonge changanya kwenye maji ya kuogea kisha ogea mara moja ama mbili kwa siku
Kuna vitu viwili chagua kimoja ukivichanganya havitakusaidia.1 Muamini Mungu kwa moyo wako wote. 2 Zama kwenye ushirikina kisawasawa. Changuo zuri ni kusimama na Mungu. ila hapendi kuchanganywa na mambo mengine. anasema uwe moto au baridi. vuguvugu wazee wa michanganyo hawahitaji atawatapika.Ndugu yangu nimebadili nyumba za kupanga nikifikiri labda zina madudu yaani Nina ajira lakini bado nakosa furaha na cjui ni marafiki nilionao nikanunua usafiri lakini cku nimepaki nyumbani nikakuta kitu cha ajabu bonet ya mbele imefunguliwa mtu kachomoa oil stick tu kisha kaweka juu ya injini aikupita cku tatu nilipata ajali mbaya lakini nikapona ucku naota mambo ya ajabu naona sura lakini czfahamu nimeshakutana nazo wapi na ndoto moja inaweza kuja kujirudia mwezi mmoja baadae alafu isitoshe maisha ya utotoni niliteseka sana na uchawi sumbawanga ikiwemo kujikuta nimelala nje wakati nilikuwa ndani isije kuwa bado na andamwa maana kuna vifo vilitokea kwenye familia ni vyakutatanisha koo yangu inaendekeza ushirikina sana hata ndugu upande wa baba hawashikamani mpaka utokee msiba hapo patakuwa na majungu na ugomvi yaani kifupi naichukia family tree yangu inanifanya nisi ishi maisha yangu halisi ya upendo na amani
Inajulikana pia kama chumvi ya maweChumvi ya mabonge ndo ipi?