Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Duh chumvi ni tiba ya magonjwa kama haya??Tumia tiba ya chumvi kila kitu kitakwisha
Duh chumvi ni tiba ya magonjwa kama haya??Tumia tiba ya chumvi kila kitu kitakwisha
Nashukuru ndugu bora ww umelewa matatizo yangu wapo wanaona hii si serious case kwao watu wengi wanakufa kwa msongo wa mawazo wakikosa wa kuongea nao hii hali huwa inanitokea mara kwa Mara lkn napambana nayo naogopa cku ntashindwa coz huwa nakuwa ktk hali ya kulewa sana nikitaka kufanya hivyoMkuu mm nimekuelewa na mwili umesisimka.
Ujue wabongo unafiki tume weka mbele, lakini ushirikina upo kaka. Usilale na wewe pambana ila cha msingi sali sana kwa imani yako unayo amini.
Ila hayo mambo yapo kaka pole sana sana.
Kaka anacho ongea mgeni wa mungu nikweli juzi ulisikia mtoto wa tajiri aliyejiua coz amepewa sheli na mabasi matatu kama hulisi wake na yupo mtu alijiua benk kakutwa na milioni 200 na ana nyumba 3dar es salaam kisa bosi wake. Kazaa na mke wake tunafautiana jinsi ya kulichukulia tatizo we kwako la kawaida lkn kwa mwenzako ni kubwaInasikitisha sana kuona Taifa hili bado kuna viumbe wenye akili na mawazo kama yako. Mungu awaepushe na adhabu za kabri.
Mkuu chumvi kiasi gani nanikila uogapo au?Kuna wenzako wana matatizo kama hayo na hawana kipato kama chako na bado wana survive... Achana na wazo la kujiua
Kuna tiba moja rahisi sana lakini very effective.... Ni tiba maarufu na imewasaidia wengi na mfanyaji ni wewe mwenyewe
Tiba ya kuogea chumvi hasa nzuri ni ile ya mabonge... Hicho tu.. Ogea mara mbili kwa siku kwa mwezi mzima huku kila ukiogea unanuizia mabaya yakuondoke na uwe na ladha kama chumvi
Mafuta yako yawe ya mzeituni... Jaribu hiyo hutojuta na haina side effects wala gharama za kazi
Mkuu inaonekana unaamini sana ushirikina ndio maana hufanikiwi,watu wa upako, waganga wa kienyeji hao wote ni matapeli tu,hamna michezo ya kiswahili,wala kurogwa..jiamini,jifundishe kutoa maamuzi magumu utafanikiwa katika maisha yako..Ndugu zangu,
Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.
Sijui nifanye nini.
Kaka nakuhaidi kufanya hivyo maana hata mm naona kadri navyozidi kulewa nasababisha matatizo mengi kwenye jamii na kwangu piaMkuu inaonekana unaamini sana ushirikina ndio maana hufanikiwi,watu wa upako, waganga wa kienyeji hao wote ni matapeli tu,hamna michezo ya kiswahili,wala kurogwa..jiamini,jifundishe kutoa maamuzi magumu utafanikiwa katika maisha yako..
Mkuu,baada ya kusoma hii stori inaonekana wewe uko na msongamano wa mawazo(depressed) halafu uko stressed(pirika nyinga),unahitaji utulivu,tafuta sehemu ukapumzike,ondoka hapo unapoishi nenda mkoa mwengine kwa mapumziko kama ya wiki mbili mpaka mwezi...,kama unakunywa pombe pumzika pombe kwa mda...,
Nimefurahi kwa kusikiliza ushari wangu,..una mambo matatu makubwa ambayo inabidi uyafanyie kaziKaka nakuhaidi kufanya hivyo maana hata mm naona kadri navyozidi kulewa nasababisha matatizo mengi kwenye jamii na kwangu pia
Tatizo kubwa ni kwamba Vijana wa siku mnaathirika kwa kula chipsi na mayonaizi. Hakuna tatizo kubwa wala dogo maishani....matatizo ni matatizo tu, na yote hayo ni ya kwetu sisi wanadamu.Kaka anacho ongea mgeni wa mungu nikweli juzi ulisikia mtoto wa tajiri aliyejiua coz amepewa sheli na mabasi matatu kama hulisi wake na yupo mtu alijiua benk kakutwa na milioni 200 na ana nyumba 3dar es salaam kisa bosi wake. Kazaa na mke wake tunafautiana jinsi ya kulichukulia tatizo we kwako la kawaida lkn kwa mwenzako ni kubwa
Kaandamane rais amekunyima furaha..! Maana mkikosa pesa shida mkipata shida wapigie wasiojulikana waje kukutoa roho.Ndugu zangu,
Kama nilivoandika kichwa cha habari mimi ni kijana niliye ajiriwa na mapato yangu kwa mwezi nikama 2000000 hivi.
Lakini nimekosa furaha kiasi kwamba sina furaha na maisha pamoja na watu wanaonizunguka hata hiyo pesa yote huishia kumaliza matatizo ya ndugu na kila mwanamke naingia naye kwenye mahusiano basi hata anza kuumwa kiasi pesa yote inaenda kumhudumia mgonjwa.
Sasa najiuliza nitakuwa nimerogwa au na kipindi hiki ndo nimekosa kabisa ujasiri wa maisha sasa je hiyo hali ya kawaida au kuna michezo ya kiswahili nafanyiwa na kama yupo mganga anitibie nikipona ndo namlipa maana nimeenda kwa hawa wa upako naona maigizo kabisa mtu ananiombea sijazimia ananilazimisha kuniangusha na wale wasaidizi wanashika kwa nguvu kama nina matatizo wakati nipo vizuri, ndo nikaona wote hawa maigizo.
Nimeenda kama kwa wa upako wa nne hivi wote hivohivo.
Sijui nifanye nini.
Point yako ni kubwa Sana mkuu Mshana Jr,Tumia tiba ya chumvi kila kitu kitakwisha
Salute bro,Ebu acha kuwa na roho ya kike ya uoga uoga ww, uoga ndio unakusumbua hakuna kingine, kuwa na roho ngumu ngumuuuu sana kunizidi mm, hayo mawazo ya kiuoga uoga na hofu za kipuuzi zitakimbia na kukuacha, kuwa na roho ngumu kunizidi mm nimekwambia, acha ujinga mtoto wa kiume unalegea legea, ningekuwa nakujua ningekuwasha vibao vikali kali kabisa ukomae uwe mwanaume mgumu, simama very strong acha ujinga na uoga kuwa na roho ya chuma cha pua na mkono nyundo kama mm, narudia acha kulegea legea mtoto wa kiume, kuzaliwa mwanaume ni kuwa mgumu sana, akili kubwa & smart na katili ikibidi kuliko shetani then maisha yanakuwa bora kabisa.. Uoga ni ugonjwa mbaya sana, Be very strong
Punguza majukumu yasiyo kuhusu ikiwesekana hata line badilisha chukua no.za watu muhimu tu muda wa kulewa tumia kwa kutafakari neno la Mungu, ukienda ibada usifikirie muujiza wewe pokea lile neno alitowalo mchungaji kalifanyie kaziKaka nakuhaidi kufanya hivyo maana hata mm naona kadri navyozidi kulewa nasababisha matatizo mengi kwenye jamii na kwangu pia
Kitu kingine jumamosi saa 2 asubuhi nenda kanisani kwa mchungaji Katunzi ukapate neno la Mungu, lipo mtongani shukia stend ya shamba kwa mbele kidogo ukipita daraja tu halafu muda huo watu kibao wanaenda huko utakutana nao kapate neno achana na hayo majukumu yasio kuhusu Mungu akutangulie Alien pilotKaka nakuhaidi kufanya hivyo maana hata mm naona kadri navyozidi kulewa nasababisha matatizo mengi kwenye jamii na kwangu pia