jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,369
ndugu mshana mimi nina tatizo la kupenda tigo sana tena sana nikipewa voda jogoo anakataa,je hilo ni pepo au ?
Nahisi unatembea na harufu ya kinyesi
Nilichogundua watanzania tunapenda kulala mika sana kuliko kufuatilia, ukifuatilia id yako unapata tena kwa haraka tu ukikaa nyumbani utakaa sana id zinapatikana kwa muda mfupi tu na katka utaratibu unaokubalika duniani huwez pata passport bila kuwa na id, huo ndio utaratibu dunia nzima, nikwambie passport ya Tanzania ni nzuri sana wageni wengi wameibeba kujifanya watz mwisho wao umefika kwenye id, maana kule utajulikana asiki yako ni wapi, wengi wanafanya uhalifu wakijifanya watz namshukuru rais sana anakomesha hili, tafuta id ndugu ndio utaratibu mahali popote pale sio agizo toka juu ni utaratibu unaokubalika na inapataikana wala haichukui muda...ila ukikaa chini utalalamika sana.
Mtafute pastor katunzi..si wa upako kanisa liko mbagala stand ya shamba juu inapita reli eagt city center hapoo utapona tu.
id mixer passport what for?