Maisha yanaenda kasi sana. Ali Choki ndo yupo kule!

Nimeona taarifa za baadhi ya waimbaji wa twanga kuhusianishwa na kufulia, vipi kuhusu waimbaji wa mchinga sound au hakuna anaewafahamu?

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
 
Nimeona taarifa za baadhi ya waimbaji wa twanga kuhusianishwa na kufulia, vipi kuhusu waimbaji wa mchinga sound au hakuna anaewafahamu?

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ
hao ndo nafikiri zaidi
 
Hapo nimekupata uzuri mkuu,sasa hela za kutunza si bora angempa mkewe atulie nyumbani kuliko binti kujituma vile stejini!!!
aisha alikutana na fikiri madinda stegini ,ivyo ikawa ngumu kumwachisha, pia fikiri alikuwa peneshee kumzibiti mcheza show ni rahisi

note:FIKIRI naye ni marehemu ,pia aisha hakuwa na mtoto
 
Najiuliza wale wanamuziki wa Congo wa miaka ya 90 waliwezaje maana wao asilimia kubwa ni matajiri na wengi wao wanaishi Ulaya sisi huku Bongo sijui tunakwama wapi
 
Mapedeshee wengi waliokuwa wanaziwezisha hizi bendi wamepigwa pini na huu utawala wa jpm.unaweza kuhusisha na kufulia kwa wanamziki hawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Haswa. Mapedeshee kwisha habari yao. Hakuna cha papa Msofe, Juma Ngida (Kareem), Makubureta no.
 
... Ata kama maisha yamempiga kiasi gani, hawezi kufkia uongo uliouandika.
Wengi wao waliishi maisha ya kushinda kwa masangoma. Chanzo chao kikubwa cha hela ilikuwa ni Mapedeshee ambao pesa zao zilikuwa ama za nganda rushwa/wizi wa fedha za umma.
 
Wengi wao waliishi maisha ya kushinda kwa masangoma. Chanzo chao kikubwa cha hela ilikuwa ni Mapedeshee ambao pesa zao zilikuwa ama za nganda rushwa/wizi wa fedha za umma.
.. Sikatai mkuu, point yangu hpo ni kwamba ata achoke vp sio rahisi afikia kiwango cha kwenda kuosha vyombo kwa ujira wa chakula kama jamaa alivyotukamata hpo juu.
 
Bora Choki Ukimuona Muumin utamuonea Huruma kweli maisha yanaenda kasi sana...Kuna siku nilimuona kwenye Bajaji za kuchangia jero jero anaenda kunegotiate na manager wa BAR apige show siku ya valentine na siku nyingine tukapanda naye Mwendokasi aiseee yaani mpole anatia huruma.
BINAFSI MIE NADHANI WANGEENDA VIZURI NA ASHA BARAKA WANGEKUWA WAMESIMAMIA PAZURI KIDOGO TATIZO UJUAJE SANA NA KUPENDWA KULELEWA !!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom