Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua makalioHivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Umepata bwana, umempenda kweli kweli na umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi akakupeleka.
Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu siku ya kwanza umeshinda unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni kumbe wao wanakutazama tu na kukupimia wala hawakwambii kitu.
Siku ya tatu wanakwambia leo ni zamu yako kupika, unaingia jikoni unaona kila kitu kigeni vya huku unaweka kule, vya kule unaweka huku (yaani hujui kupika chochote)
Sufuria unashika kama umeshika power bank, unapika na lipstick, mdomo mwekundu utafikiri mtoto wa jini katoka kufundishwa kunyonya damu tena huku umevaa saa, umevaa culture zimejaa nusu ya mkono, umevaa mini skirt kama wafanyakazi wa Emirates.
Msosi wa wakwe huwezi kupika. Ukiambiwa hufai kuolewa unavuta mdomo utafikiri umenyimwa USB cable ubust smartphone yako.
Unaanza kulalamika wakwe hawakupendi, unalalamika wee, unashindwa kuelewa kuwa wewe ndo tatizo.
Usitake kuolewa ukidhani mumeo atakula chips na wewe utakuwa utakula pizza kila siku, jifunze hata kuchemsha chai basi au unadhani google wataleta app ambayo unaweka USB kwenye simu yako alafu unaielekezea kwenye sahani inaproduce msosi.
#Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua makalio
Pole ukitulizana utapata mume usiwe na wasiwasiZimekatika hazijaisha na kuwa kipara kabisa. Nimeshashauriwa cha kuzifanya
Hivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Ukienda kuolewa kwa lengo la kukwepa Ugumu wa maisha na mume akagundua lengo lako aisee atakusumbua mpk ukome
Endelea kuzipuuzia hadi jua lizame.Proposals zinakuja nyiiiiingiii mi mwenyewe tu mambooo yangu ya Chagua Chagua ndomana nasema si niolewe tyu!
Ndoa si suluhisho La jibu la kuishiwa mama, cha Muhimu ni kukipanga kipato chako vizuri, hao wanaume wa kuombwa ela kila unapoishia unatoa wapi? Hata kama ni mumeo wa ndoa lakini si kwa hivyo! Wanaume wengi wa kwenye ndoa hutoa matumizi kwa mwez mzimaa sasa kama umeshindwa Ku manage kipato chako sasa hata utapopewa na mumeo hakitatosha maana nyakati hizo utakua na watoto + ndugu wa upande wa pili +wa upande wako! Mzigo juu ya mzigo, La Muhimu ukifika kila mwisho wa mwezi panga bajeti yako weka pesa za akiba pia incase of any emergency
Siunasubir mwenye Mark X nyumba kazi nzur utasubir sanaHivi si niolewe tu?? mbona maisha magumu kiasi hiki????? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa wee nikutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee Unga umeisha mchele umeisha baaaaasssi!!! Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa.
Kama saivi gesi imekata gafla mkaa sina Unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.
Aliyekwambia maisha ya ndoa kila kitu afanye mwanaume ni nani? Ingia uone raha na karaha yake
Kinachounganisha watu katika ndoa ni upendo na wala sio pesa. Kama hakuna upendo, hakuna ndoa. Kama unataka kuolewa kwa lengo la kujikwamua kiuchumi; nenda, ukija kulia baadae usiseme kuwa hukuambiwa.