Maisha ya ubachela ni vituko

Maisha ya ubachela ni vituko

Hahahah karoti za kuunga mafuta ilikuwa mboga kuu . wiki nzima ugali na karoti. Samaki ni marufuku Kununua wale wa kubwa.

Kuna tule tudogodogo unakuta fungu LA samak 10 kwa jero...hahahahaha. Mtaa wa kiboloroni raha sana. Mchele ni robo na hauna mboga. Unapika na nyanya kabisaaa huo wali. Unatoka unanukia nyaya...ni balaa.

Kufua unafua usiku....ile asubuh mashuka yamekauka....hapa wiz ulkuwa haujaanza.

Siku moja nililetewa maziwa ya mgando ila yalikuwa na maji.
Nikatoa yale maji nkapikia ugali ili nisave mboga.....hahahahah ilishindikana nikamwaga.

Nikapita mahali wanauza nyama...nusu buk2 mh nikachukua ilkuwa nyingi ya kukadiria tuuuu.
Kufika hom kitu kinavutika.....nakata wapi. Ilibidi nitupe nipike karoti zangu.....
 
Maharage nilkuwa siyajui yan..maana ni mwendo wa jiko LA mchina. Hahaha
Ukizima ukilisahau nje kesho ununue lingine......
 
Unaanua nguo kambani unaweka kitandani mpaka wiki inaaisha kuzikunya tu kuweka kabatin inakuwa kazi ngumu kweli.
 
hiyo ya neti banaa! Mdogo wangu hadi leo anatumia hema! Neti haijawai chomolewa!!! Mama kaongea weee mpaka kachoka!
 
Hahaaaaaa umenichekesha sana mkuu.

Umenikumbusha niliwahi loweka nguo zikakakaa maji yakawa yanalenduka hadi utandu wa kijani ukatanda (Zilikua Shuka) Siku ya kuzifua nilienda bafuni nikazifua kama mara kumi. Zimekauka naweka kitandani chumba kizima kinanuka uvundo ikabidi nipulizie Nusu ya perfume ya FIGHTING TEMPTATIO.

MPAKA LEO SILOWEKI NGUO
Hahahah karoti za kuunga mafuta ilikuwa mboga kuu . wiki nzima ugali na karoti. Samaki ni marufuku Kununua wale wa kubwa.

Kuna tule tudogodogo unakuta fungu LA samak 10 kwa jero...hahahahaha. Mtaa wa kiboloroni raha sana. Mchele ni robo na hauna mboga. Unapika na nyanya kabisaaa huo wali. Unatoka unanukia nyaya...ni balaa.

Kufua unafua usiku....ile asubuh mashuka yamekauka....hapa wiz ulkuwa haujaanza.

Siku moja nililetewa maziwa ya mgando ila yalikuwa na maji.
Nikatoa yale maji nkapikia ugali ili nisave mboga.....hahahahah ilishindikana nikamwaga.

Nikapita mahali wanauza nyama...nusu buk2 mh nikachukua ilkuwa nyingi ya kukadiria tuuuu.
Kufika hom kitu kinavutika.....nakata wapi. Ilibidi nitupe nipike karoti zangu.....
 
Ukweli mtupu,
ubachela nikuskia njaa ndo kuanza kupika ni ngumu sana kwanza kwangu haijawahi kutokea napika sina njaa au unapika mchele kilo mbili ili uwe unapasha tu kila unaposkia njaa mboga nayo kama sio mchemsho wa nyama basi ni mayai yamekaangwa wengine maharage tunanunua yaliopikwa jero tu afu unayaunga nyumbani.

Viombo vinaoshwa wakati wa kupika tu siku ukibaki home ndo unaosha viwe visafi.

Demu mpya akija ghetto linakua mbingu ya saba clean as f*

Taulo likichafuka ndo story yake imeisha linakua dekio au kutupwa. Hapo tshirt na mashati yanageuzwa taulo

Wanawake ni muhimu sana tuacheni masihara. Tena ka ulikua unakaa na dem ushazoea anarekebisha kila kitu akiondoka tu wiki ya kwanza utamaintain ya pili aah wapi hamna kitu unarudi kule kule.
 
Bachila kula suti kawaida sana anapika wali hana mboga anawahi maziwa ya Tanga Fresh kwa mangi au ugali maziwa mtindi hahahaaa ubachila kiboko mboga ya majani inakatiwa kwa Mama muuza
Usinikumbushe ile ya kusonga ugali kwanza halafu ndo unaenda kutafuta mboga, sasa ukute siku wale wamama hawajakaanga samaki.....
 
*Fahamu maisha ya ubachela*

Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.

Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.

Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.

Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.
Hahaha.......kweli ubachelor raha jmn
 
Nilinunua vijiko set 2 ss hv cjui hta vmebak vngp......sahn na bakur vyte vmevnjka nmeamua cku hz napka wknd tu cku zlzobak nakla kwa mama ntilie mmoja wa kitanga mpka nahc ananchlewsha kuoa manaake co kwa misoc ile loh!!!
 
Dawa ya mbu.
Mimi situmii chandarua wala dawa ya mbu lakini sijawahi hata kuumwa na malaria. Huyo mbu ndani anaingia kutafuta nini wakati kutwa mlango umefungwa na akikaa lazima afe mwenyewe kwa njaa.
 
Back
Top Bottom