Maisha ya ubachela ni vituko

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
3,860
2,000
*Fahamu maisha ya ubachela*

Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.

Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.

Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.

Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.
 
kidadari

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
6,874
2,000
*FAHAMU MAISHA YA UBACHELA*

maisha Ya Ubachelor Unaweza Kujishaua Kufululiza Kupika Msosi Hata Mwezi Mzima Ila Vyombo Visafi Vikiisha Ndani Unarudi Kwenye Utaratibu Ule Ule Wa Kula Chipsi Na Paja La Bukujero.

Maisha Ya ubachela Kila Siku Tunapoteza Vijiko Kidogo Kidogo Kwa Kumwaga Maji Ya Ukoko Wa Ugali..

Maisha Ya Ubachela Unaweza Kuloweka Sufuria Ulopikia Ugali Likakaa Na Maji Wiki Nzima Yakianza Kunuka Unamwaga Halafu Unaweka Tena Maji Mengine..

Maisha Ya ubachela Mara Nyingine Neti Hugeuka Kuwa Hema.. Ikichomekwa Haichomolewi Mpaka Siku Utakapopata Mgeni..

Maisha Ya Ubachela Hufika Kipindi Mtu Unageuka Mbwa, Unanusa Kwanza Nguo Ili Ujue Kama Unaweza Kuipa Round Ya Pili Au Hapana..
ubachela unapika ugali mara mbichi
 
atlas copco

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
4,466
2,000
*Fahamu maisha ya ubachela*

Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.

Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.

Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.

Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.

Aisee hilo la nguo ndio imekuwa changamoto kwangu,nnaweza kuloweka nguo hadi siku tano bila kufua
 
jipu

JF-Expert Member
Apr 20, 2015
1,901
2,000
Kuna tofauti kati ya kuwa MCHAFU na kuwa bachelor. Mambo yote uliyoyasema hapo juu ni dalili ya mtu mchafu sana na asiyejielewa na kama hayo ndio maisha yako my brother sio sifa nzuri hata kidogo.
 
zipompa

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
6,218
2,000
kufua kunanikimbiza sana haya mengine fresh kula pia haieleweki mara soda na chips, mara wali kwa mama ntilie yaan vurugu tupu.
 
Wimsha

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
518
500
*Fahamu maisha ya ubachela*

Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.

Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.

Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.

Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.

Ukiwa serious maisha ya ubachela yana raha yake na ni kama adventure fulani hivi. si ajabu ukaanza kupika maharage saa saba usiku. sometime kachumbali huwa mboga kuu. Bila kusahau wakati wowote ni wakati wa chai. Kifupi wengi hutokea kuwa wapishi wazuri ingawa ishue ya kuosha vyombo hasa sururia ni ngoma.
 
koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
436
1,000
*Fahamu maisha ya ubachela*

Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.

Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.

Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.

Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.
hah ha ha, dah hii kali umenikumbusha mda kidgo
 
  • Thanks
Reactions: kas

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom