trigeminal
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,963
- 2,383
Hayo ni maisha ya uchafu na uvivu sio ubachela..
Sasa huo muda ntaotoa wapi wa kupima.tena unakuta ni sa sita usiku huo unga unakata katikati na maduka yamefugwa hahah![]()
![]()
Sasa wewe wa unga kuishia kati, kwani wakati wa kupika hupimi unga na maji kuona kama vitatoshana, haki nyie watu...lol!
Are you single ?Hivi ni lazima kulala ndani ya chandarua? Mimi hata sikumbuki mara ya mwisho lini nimelala ndani ya net.
KwA sisi tunaopikia gesi tunafanyaje mkuu?Maisha ya ubachela yalifanya nipate mbinu ya kupika maharage napoenda kulala napoamka asubuhi yameiva naunga napika wali wa siku 3, nahifadhi nakuwa najilia tu.
Sasa huo muda ntaotoa wapi wa kupima.tena unakuta ni sa sita usiku huo unga unakata katikati na maduka yamefugwa hahah

Hahaa hii hua noma sana, ilinitokea siku moja nataka nisonge nikakumbuka mwiko umevunji mkono kidogo nisongee upanga..
eti nisongee upangaDarfur..... Umenikumbusha mbali mkuuHahaha hilo la kuloweka masufulia mpk yanatoa harufu umenikumbusha pindi nipo chuo saut hostel za darfuu watu wanaloweka sufulia mpk zinatoa funza kifupi utaratibu unaosha vyombo kila unapotaka kupika sasa ndo hivo tabu sana.
Sasa kukitokea mtu anazaliwa berth day yke basi atamwagiwa yale maji ya ukoko utajuta yan haha
Hahahah karoti za kuunga mafuta ilikuwa mboga kuu . wiki nzima ugali na karoti. Samaki ni marufuku Kununua wale wa kubwa.
Kuna tule tudogodogo unakuta fungu LA samak 10 kwa jero...hahahahaha. Mtaa wa kiboloroni raha sana. Mchele ni robo na hauna mboga. Unapika na nyanya kabisaaa huo wali. Unatoka unanukia nyaya...ni balaa.
Kufua unafua usiku....ile asubuh mashuka yamekauka....hapa wiz ulkuwa haujaanza.
Siku moja nililetewa maziwa ya mgando ila yalikuwa na maji.
Nikatoa yale maji nkapikia ugali ili nisave mboga.....hahahahah ilishindikana nikamwaga.
Nikapita mahali wanauza nyama...nusu buk2 mh nikachukua ilkuwa nyingi ya kukadiria tuuuu.
Kufika hom kitu kinavutika.....nakata wapi. Ilibidi nitupe nipike karoti zangu.....