Hao wote zilipendwa na nimeamua zangu kuhamia Digital maana wao naona wameamua kubaki Kilimo Kwanza wakati hata mvua hakuna sijui wanategemea nini!
Hahahahaaaa aisee kweli jamaa hana shida ndio raha ya kuwa na dingi aloenda shule tena sio za kata lol za tarafa!
HahahahaaaaSubutu.... Nani kakwambia daddy angu ana shida na vusenetor vyenu...mwajipa moyo wenyewe lol... "Hampati kitu hapa, hata mtoe chapaa"
Ha:shut-mouth:Ha:shut-mouth:Ha:shut-mouth:Ha:shut-mouth:Ha:shut-mouth:haaaaaaaSidanganyiki ng'o!!!!
Hahahah....naona huu muongozo umekaa kuzengea zengea mabinti zangu!!!
Daddy umeona eehh.... Huyu Mr. Lundenga ana lake jambo. Haiezekani atake ninyi muondoke ati sisi tubaki pekeyetu. Anataka kutufanzaje???????
sweetlady:Maisha ya nyumbani raha.Maisha ya unyumba karaha??Weekend umekaaje wanaCC ... mamboz....
Yaani tangu nimetoka kwa my hezbend C6 naenjoy maisha ya nyumbani.... Kula kulala rahajeeeeeee.... Kha kumbe nilikuwa nabanwa lol!!!!! Sitamani tena kuolewa... Jamani nyumbani raha kweli naenjoy sana na my lovely daddy watu8 na my lovely mummy measkron mpaka na my sis sweetlady anaona wivu...
charminglady hujambo. Nimekumiss wewe kinoma. Hebu nipe report kamili aise nakuonaje ....
Ha:shut-mouth:Ha:shut-mouth:Ha:shut-mouth:Ha:shut-mouth:Ha:shut-mouth:haaaaaaa
charminglady kila mtu si anakwao,ding yako watu8 ana kwako maza wako ana kwao wewe unakwendi ndio hapo ulipo,sasa mkibaki pekeyenu mnafanya siku ya uhuru wa viongo vikaavyo mafichoni,yaan mnavifungulia mnaviweka wazi ili kuupa mwili afya zaidi,unapika ukiwa huru unazunguka ndani kama ulivyo had raha
bahati yako dadii wako anakuendekeza. mzee Mtambuzi alishatangaza kwao, kwa babu na mababu hajawahi kuachika .tu. full kugangamala hapa!
charminglady hujambo. Nimekumiss wewe kinoma. Hebu nipe report kamili aise nakuonaje ....